Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Money Vs Education choose your side Money is Better Than Education or Education Is Better than Money Pesa Vs Elimu Je wewe unaona Pesa ni bora kuliko elimu Je Elimu ni bora kuliko Pesa?
0 Reactions
8 Replies
500 Views
Katika historia, kumekuwa na mijadala kuhusu kama maandiko ya zamani yalitabiri ujio wa nabii wa mwisho. Watu wengi wamechunguza vitabu vya kale wakitafuta dalili zinazoelezea mtu atakayekuja na...
30 Reactions
2K Replies
59K Views
Upinzani Unaodhibitiwa Mstari wa Mwisho wa Udanganyifu --- Adui Hatari Zaidi Tusiyeona Kamwe --- Wakati pazia linaanza kuinuliwa, unapaanza kuuliza maswali kuhusu mfumo, kuona kupitia...
2 Reactions
1 Replies
407 Views
Vestiges ni viungo katika miili ya wanyama ambavyo vinaweza visiwe na kazi katika baadhi ya wanyama lakini vinakuwa na muhimu na ni vya lazima katika miili ya wanyama wengine. Mfano 'tail bone' /...
28 Reactions
428 Replies
39K Views
Mungu, Nafsi, na Uumbaji Tafsiri Mpya ya "Aliyeitwa" “Mungu” Ni Nani? Neno "Mungu", kwa kiingereza "God", linatokana na chimbuko la Kijerumani la kale, likimaanisha "aliyeitwa" au "the invoked."...
2 Reactions
4 Replies
555 Views
Mengi, This Day wamjibu Mahalu, Wasisitiza si mwaminifu, pia alidanganya. Waeleza alivyoweka fedha akaunti tofauti. Wasema kavuliwa ubalozi, ilibainika Dar na Mwandishi Wetu. MWENYEKITI Mtendaji...
1 Reactions
215 Replies
42K Views
Salute comrades NB: bandiko hili nimetumia maandiko ya biblia hata kama unaona haikuhusu nakusihi endelea kusoma unaweza pata kitu. Katika dunia yetu hii tumeona ni sentensi ya maneno kadhaa tu...
145 Reactions
432 Replies
60K Views
Kuna habari mbalimbali kuhusu huyu bwana hususan hata kuhusiana na wanyama waliotoroshwa na biashara ya wanyama kwa ujumla. Lakini sidhani kama ni miongoni mwa watu waliofikishwa mahakamani...
10 Reactions
155 Replies
32K Views
Wadau poleni na majukumu. Nimekuwa nikisoma makala mbalimbali zinazoonesha maswali kwamba, ni nani hasa mjenzi wa majengo ya Piramidi ambayo yapo kwenye nchi ya Misri. Lakini pia baadhi ya nchi...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Magofu ya Uwanja wa Baalbek, Lebanon Nchini Lebanon, eneo la Baalbek, kuna magofu ya Uwanja mkubwa wa Ndege ambao wajenzi wake hawafhamiki. Hata hivyo, hudhaniwa kuwa, ni Uwanja uliokuwa...
26 Reactions
455 Replies
77K Views
Wana wa Mungu walilala na mabinti wa wanadamu. Kulingana na Biblia, wanadamu walipoongezeka duniani, Wana wa Mungu waliona mabinti wazuri na kuwachukua kuwafanya wake zao na kuzaa nao watoto. Huo...
7 Reactions
45 Replies
17K Views
We all want to improve. We dream of becoming better, stronger, and more successful. But when it’s time to 𝐬𝐭𝐞𝐩 𝐨𝐮𝐭 𝐨𝐟 𝐨𝐮𝐫 𝐜𝐨𝐦𝐟𝐨𝐫𝐭 𝐳𝐨𝐧𝐞𝐬, we hesitate. - We want to be healthy, but we don’t want...
16 Reactions
28 Replies
1K Views
Ni chombo cha kisayansi kilichorushwa na shirika la maswala ya anga NASA mwaka 1977,kusudi la kurushwa chombo hiki ni kwaajili ya kupeleleza anga ndani na nje ya mfumo wetu wa jua. Voyager 1...
36 Reactions
340 Replies
44K Views
Nawasalimia wana JF wote. Leo nitaongelea uthibitisho wa kisayansi uwepo wa Mungu. Na ninapenda tujadili hapa kisayansi zaidi. Pamoja na kuunganisha imani mbalimbali zilizopo. Sipendi niseme...
25 Reactions
410 Replies
19K Views
Bila shaka mko vizuri wanajukwaa... Leo wacha niwape maneno ya yule mzee ili mnisaidie kuyatafakari. Huyu mzee alianza kwa kuniambia kwamba kimsingi ndani ya kila mtu kuna mbawa za kuruka juu ya...
19 Reactions
29 Replies
2K Views
Salaam, shalom!! ( Isaya 6:1-10), Mwanzo 1:26-28). (Matendo 9:4) Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere. Hapo hapo maandiko...
15 Reactions
514 Replies
20K Views
Machi Mosi 1896, Kibanga alimshushia mkoloni kipigo cha mbwa koko katika ardhi ya Ethiopia. Majeshi ya Dola ya Italia yaliyojaa uroho wa kujimilikisha rasilimali za Ethiopia yalipata tabu sana...
36 Reactions
58 Replies
15K Views
“Kwa nini maisha ni ubatili” ni la kina sana—ni swali ambalo watu wengi mashuhuri wa falsafa, dini, na roho wamejiuliza kwa maelfu ya miaka. Hapa kuna majibu kwa mitazamo mbalimbali: 1. Mtazamo...
10 Reactions
120 Replies
5K Views
Mfalme OG anatajwa kwenye vitabu vya dini kuu tatu za mashariki ya kati i.e uislam,ukristo na uyahudi.... Inaelezwa alikuwa ni mfalme aliyetawala eneo la Canaan (palestina/israel ama jordan ya...
55 Reactions
789 Replies
182K Views
Habari wana JF nimekuwa nikijiuliza hili swali,naomba wataalamu wa mambo mnisaidie kujibu hilo. Maana ukisoma maandiko ni kwamba maagizo ya kula tunda yalitolewa na Mungu kwa mwanadamu kuwa...
47 Reactions
194 Replies
23K Views
Back
Top Bottom