Habari za leo wana JF ni kipindi kirefu sijaweka mada humu kutokana na majukumu mawili matatu ila leo nimeweka hii mada ili tuendelee kujifunza kwa pamoja masuala mbalimbali ya ulimwengu huu...
Linaweza kuwa swali lisiloeleweka haraka, Labda nianze na simulizi kwanza
Mwaka 1979 Tanzania iliingia kwenye vita na Uganda maarufu kama vita ya KAGERA. Mwaka 1995 nilikutana na mzee...
Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake”
wewe Fanya observation utaona
Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili...
Akili
Akili ni uwezo wa mtu wa kufikiri, kuchambua mambo, kuelewa, na kutatua matatizo kwa njia ya asili (yaani, bila kujifunza rasmi). Akili hutokana na kipaji cha kimaumbile; mtu huzaliwa nacho...
Mgogoro kati ya Iran na Israel ni wa muda mrefu na umechochewa na sababu kadhaa za kisiasa, kijeshi, kiitikadi na kijiografia. Hapa kuna sababu kuu zinazochochea mgogoro huu:
1. Tofauti za...
Wengi tunajua kuwa akili inaundwa kipindi tupo kwenye matumbo ya mama zetu na inakuwa kamili tunapokuwa watu wazima ila kuna kitu kinaitwa genetic memory hizi ni kumbu kumbu ambazo anakuwa nazo...
As the oldest profession of physical deception is prostitution, the oldest profession of mental deception is religion.
If the Europeans and Arabs kept their opinions about their God to...
Jamani wadau katika pita pita zangu nilijikuta katika mjadala mkali kuhusu kifo, Mjadala ulikua hivi:
1. Je watu wanahofia kufa kwa sababu ya uoga wa kutojua mbele kuna nini? (motoni na peponi)...
Hii ndiyo halisi ya habari Tanzania . Naleta makala hii japokuwa ni ya muda kidogo ili iweze kuingia kweney record. Je ni kwa sababu hii ndiyo maana waandishi wanalamba viatu vya JK ?
HEADLINE...
Niwaslimu ndugu zangu hapa!! Kama Bado unayo pumzi basi vuta pumzi Kisha ipe akili kazi.
Nani yupo salama??? Tupo kwenye nyakati zinazohitaji akili kubwa kuliko Moyo mkubwa(Moyo mzuri)
1-Nyuma...
Sumu zinazotumiwa na majasusi kuua mtu, hata akiwa kwenye msongamano wa watu, kwa kawaida huwa za hali ya juu, za haraka, na ngumu kugundulika. Baadhi ya sumu zilizotajwa katika visa vya...
Habari zenu wakuu - Nitatoa ufafanuzi kama kichwa kinavyoeleza, Hizi hoja zote ni matokeo ya uchambuzi wangu wa kina wa biblia:
NInakubaliana na fumbo la utatu wa Mungu - Baba, Mwana na Roho...
Wakati wa mawingu umekwisha.
Dunia inaungua moto na bado mamilioni wanazunguka juu yake wakiwa wamelewa furaha ya bandia, wakijificha nyuma ya kauli ya “upendo na mwanga,” wakitumaini kwamba kwa...
Hii ni orodha ya makampuni yanayomilikiwa na RA pamoja na mdogo wake anaiyetwa AKRAM AZIZ pamoja na Mohamed Enterprises.
Africa Tanneries Ltd- Mwanza
Tanzania Leather Industry Ltd- MOROGORO...
Instructions ⚠️Acha uvivu Mwenye Akili atasoma hadi mwisho wa haya maelezo na maswali yanayokuguide na utaona kuna kitu. Na Tumia imagination
Anayetumia imagination kwenye haya maswal ataelewa...
Za jioni wana jf,
Ninachotaka kuwaeleza hapa ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express. Nilikuwa nikisikia tetesi nyingi sana kuhusu mmiliki wa mabasi haya wengine wakisema ni mtoto wa Rais ambaye...
Kumekucha baadhi ya maeneo lakin kwingineko bado ni usiku na kwingineko inaelekea mchana,
Katika kazi zangu nimepata bahati ya kukutana na dada mmoja jina ntamuita code name MNBQX
Huyu dada...
Haya ni mahojiano flani niliyanasa kutoka huko YouTube 👈Kijana mmoja akieleza kuhusu hili neno Freemanbase lakini mwandishi akawa anaiekezea Freemason nikajaribu kujidadisi kwanini huyu mhojiwa...
🜏 JINA LA KWELI LA MUNGU
Walikwambia jina la Mungu ni YHWH.
Walikwambia ni Elohim, au Adonai, au El Shaddai, au Yehova, au Allah, au Chanzo, au Yule Mmoja.
Hakuna hata moja kati ya hayo lililo...
kwa muda wa miaka kumi nimekuwa nikifanya research kuhusu familia inayojulikana kwa jina la ROCKAFELLERS
kuna mada ililetwa humu kuhusu rothschild ilikuwa ni mada nzuri
na katika baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.