Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Kwanini Hatujitambui ? Hili ni swali lilionisumbua kwa kipindi kirefu. Nimekuwa nikikusanyishwa taarfia Toka utoto ila sikuwa naelewa nitazitumia wapi. Kama mtoto nilipenda kuzikusanya kwa...
11 Reactions
14 Replies
1K Views
Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20...
26 Reactions
128 Replies
40K Views
Maswali yanayojibiwa na hichi kitabu ni Mengi sana, mfano... 01. Upendo vs Maovu Biblia imeelezea sana hili neno upendo, faida zake na hasara zake, ni kwanini mwanadamu anapenda na n.k Tabia ya...
31 Reactions
404 Replies
18K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Leo nikiwa nimekaa nimetulia ndan, hii ni baada ya mvua kubwa kunyesha na kinikwamisha kwenda parokian, kanisan kusali Lakini mda huo ambao nikiwa nimekwama...
23 Reactions
105 Replies
4K Views
Hi wana JF, Nimekuwa nikisikia kuwa pesa ya nchi yoyote ile utengenezwa katika nchi ya Uswisi, lakini katika kujua huko nimekuwa nabaki na maswali mbalimbali juu ya hilo. Maswali hayo ni pamoja...
47 Reactions
309 Replies
96K Views
Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani...
7 Reactions
167 Replies
8K Views
Kuna wakati kwenye maisha Mtu unakutana na mitihani mpaka unajaribu kujiuliza kama hiyo ni adhabu ya makosa uliyowahi kufanya, au ni funzo tu unapitia baada ya kutoka kwenye mstari au la ni laana...
2 Reactions
7 Replies
545 Views
Ukikata tunda la Papai ndani utakuta mamia kama sio maelfu ya mbegu, ambazo nazo zinatarajiwa kila moja kuwa Mpapai ambao nao tena utatoa mamia ya Papa yenye mamia ya mbegu ndani kwa ajili ya...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
JE, WAUJUA ULIMWENGU UKUPAO KILA KITU KATIKA KANUNI ZA ASILI ZA MAUMBILE? Apiov S. Lwiwa, PhD. UTANGULIZI Kama ulikua hutambui ni kwamba tunaishi katika Ulimwengu ambao umefungamana, wenye...
24 Reactions
22 Replies
3K Views
Mungu yupo na sababu za kuamini zipo. Sababu zimeandikwa mbinguni na duniani kwa herufi kubwa kiasi kwamba kila aaminiye aweza kuzisoma; nimesema, kila aaminiye aweza kuzisoma. Nikwambie mapema...
6 Reactions
83 Replies
9K Views
JE WAJUA ULIMWENGU UKUPAO KILA KITU UTAKACHO KATIKA KANUNI ASILI YA MAUMBILE? - SEHEMU YA PILI Leo katika mwendelezo wa mada hii, tutaangazia Kanuni nyingine ya Hermes. Katika sehemu ya kwanza...
12 Reactions
9 Replies
2K Views
Nitajitahidi kutumia maneno machache.. japo mada hii kueleweka vizuri inahitaji maelezo mengi sana. Nianze na haya kwanza, 1. Elimu Ukiwa na miaka kama sita hivi unaanza shule. Kujifunza kusoma...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu na za mda huu,jumapili iliyojema na yenye kutulia kuna hoja ya msingi hapa. Vitabu vya dini vinasema kuwa MUNGU aliumba dunia kwa siku 6 na siku ya 7 akapumzika, 1. Msingi wa Hoja...
1 Reactions
2 Replies
337 Views
Mwingereza alipotawala nchi za Afrika Mashariki aligawa nguvu za kijeshi kama ifuatavyo: 1. TANZANIA ikawa ngome ya jeshi la ardhi na hivyo ikaongoza kuwa na vifaa vingi vya ardhini mf. vifaru...
14 Reactions
352 Replies
71K Views
Habari wakuu! Wengi miongoni mwenu huona kila ninapotoa thread huona kama vile hufundisha uchawi lakini kwa mwenye akili timamu hupata mafundisho kwa asilimia kubwa sana. Kumekuwa na tungo...
22 Reactions
281 Replies
87K Views
Huruma Si Malezi Kumpenda mtoto haimaanishi kumuachia kila kitu au kumuogopa akilia. Kuna wazazi huamini kuwa kila kosa la mtoto litapita likisahaulika kwa kumbembeleza, kumkingia kifua au...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Sehemu ya Kwanza Tarehe ya kuzaliwa uwa inabeba taarifa zote muhimu kuhusu maisha ya muhusika na hii ni kwa mujibu wa elimu ya namba (Numerology). Katika hatua ya mwanzo nitaanza kwa kuzungumzia...
26 Reactions
362 Replies
80K Views
Habari za wakati huu jamiiforums. Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau" Mnamo...
30 Reactions
123 Replies
29K Views
Athari za Salafi -Jihad kuenea katika nchi yetu ya Tanzania, Kwanza ningependa kuchukua nafasi hii kumshukuru MwenyeziMungu mwingi wa Rehma na mwenye Kurehemu, Kabla ya hili janga la Corona...
43 Reactions
205 Replies
34K Views
Ngoja nikupe mfano kwa kitu nachotaka ku share nawe hapa. Chukulia wewe ni mfanyakazi ambaye tuseme ni msaidizi wa CEO wa kampuni ya AB. Kila kitu kuhusu AB ,mipango ,waajiri pamoja na shughuli...
24 Reactions
84 Replies
6K Views
Back
Top Bottom