Huyu ni nani? Abdulhakim Mulla - katika biashara ya Usafirishaji wanyama... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ni nani? Abdulhakim Mulla - katika biashara ya Usafirishaji wanyama...

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Mzee Mwanakijiji, Aug 29, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kuna habari mbalimbali kuhusu huyu bwana hususan hata kuhusiana na wanyama waliotoroshwa na biashara ya wanyama kwa ujumla. Lakini sidhani kama ni miongoni mwa watu waliofikishwa mahakamani... Jina lake liliwahi kutajwa na CNN mwaka 2001 kuhusiana na uuzaji wa Tanzanite SOMA TRANSCRIPT HERE

  Lakini pia anahusiana karibu na viongozi wengi tu wa serikali na wenye madaraka na ndani ya chama tawala. What do we know about him and his relations to major gem and wildlife resources...
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Video clip mkuu
   
 3. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  anakitalu cha uwindaji longodo shareholder na zakhia meghji anaranchi king'ori , alikuwa mwanahisa tanzanite one akajitoa wakati flani baada ya kuhusishwa na mtandao wa bin laden anamiliki duka la vito vya thamani glita gems ofisi yake inatazamana na ya mwale , aliuziwa magari ya tawico wanatumia mpk sasa yakiwa na namba su na stg
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mnetueleza pia ni mindi au mwarabu au mswahili?
  kama mswahilli kabila gani?????alisoma wapi?
   
 5. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mwarabu wa singida
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Warabu hawana jina la' Mulla', huyu atakuawa Muirani, au Mpakistani, au Muafghanistan. Lakini nahisi ni Mburushi, wanaotoka mpakani kati ya Pakistan na Iran.
   
 7. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  yep! kina Mulla ni wa buluchi wa iran
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Endeleen kutujuza!
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kwanini hajafikishwa mahakamani kuhusiana na lile sakata la wanyama "wetu" waliotoroshwa na dege la jeshi la Qatar?
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Ana Ukaribu gani na Rostam Aziz au Chama cha Mapinduzi?
   
 11. C

  CottonEyeJoe JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni wabulushi wa Iran by origin lakini wametokea Singida; Ndio wenye kampuni kubwa ya mawe inaitwa Glitter Gems; na pia walikua na usiaono wa karibu na Tanzanite One, Wana vitalu kadha vya Gemstones na vile vile wana thamini midogi kadhaa, wana Vitalu vingi vya kuwindia na vile vile ndio wamiliki wa sehemu ya kuhifadhia wanyama ambayo ikokaribu na KIA
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Ni mfanya biashara maarufu na mtu mwenye fedha zake. Na licha ya kuuza madini na vitalu vya uwindaji ana biashara nyingi tu na ni Mtanzania mwenye asili ya kibulushi (baluch) kama ilivyo RA.

  Ukoo wake upo Rujewa, Bukene, Arusha, Dar, Bagamoyo.

  Aliyesema ni Mwarabu wa Singida huyo ni muongo hamjui Mulla.

  Alihusishwa na Binladen kwa jina lake tu (Mulla) na utajiri wake.
   
 13. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  mi najua anahusika na kufanikisha kusafirisha uranium kwa njia haram...ikitokea kongo kupitia hapa tanzanoa.......
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Tupe ushahidi wacha vumba!
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Kuna kampuni ya ujenzi inaitwa Highland Estates. Who owns it? Je sio hao waliokuwa subcontractor wa Kajima wakajenga barabara ya Kilwa road ambayo sasa inavimba kwa sababu ya kuwekwa hamila badala ya lami? Just curious as we all know curiousity has its own reason to exist
   
 16. t

  toby ziegler Senior Member

  #16
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwanakijiji

  You are barking at the wrong tree
   
 17. THE PERFECT

  THE PERFECT Member

  #17
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, huyu jamaa ni rafiki wa karibu sana na RA pia nae ni mfadhili wa JK na CCM kwa ujumla jamaa wa madini wanamfahamu.
  Mulla ni mwezeshaji wa mipango yote ya kifisafi TZ na nchi za uarabuni... ok kwenye hili sakata atakuwa ndio kinara ofcourse wizara ya fedha, madini na utalii ndio wanamfahamu uzuri huyu jamaa... nikiwa zanzibar niliwahi kuonyeshwa huyo chalii. yup mahakamani hawezi fikiswa mkuu
   
 18. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Ningeshangaa kama huyu fisadi angekosa watetezi, na bado !
   
 19. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #19
  Aug 29, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu, unakumbuka kuna thread moja uliwahi anzisha ukihitaji kujua na anamausiano na RA? Katika post mojawapo huyu alitajwa kuwa wanauhusiano na King maker
   
 20. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Huyu na RA lazima watakuwa wanajuana, ukiangalia mitandao yao ya wizi wa mali za nchi zinafanana fanana. Wote na wa Iran wezi wakubwa!
   
Loading...