Ushahidi wa Biblia: Majitu (Giants) waliokufa kwenye Gharika, ni uzao wa Wana wa Mungu na siyo wa Waanunnaki (Wanefili). Waanunnaki walijificha wapi?

Daimler

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
556
973
IMG_9368.JPG

Wana wa Mungu walilala na mabinti wa wanadamu.

Kulingana na Biblia, wanadamu walipoongezeka duniani, Wana wa Mungu waliona mabinti wazuri na kuwachukua kuwafanya wake zao na kuzaa nao watoto. Huo uzao ulikuwa wa watu hodari na giant. Walikuwa wanakula vyakula vingi pamoja na mahitaji mengine (kama ngono) ambapo wanadamu walishindwa kuhimili kuwahudumia kwa ubora na hivyo kusababisha mateso makubwa kwa wanadamu.

Kutokana na wanadamu kushindwa kuhimili mahitaji ya majitu hayo, walikuwa wakiwakimbia na kujificha kwa hofu ya kuuawa. Majitu hayo yalianza kupambana yenyewe kwa yenyewe na hivyo kuleta machafuko kwa wanadamu duniani.
IMG_9366.JPG

Ubabe wa Giants ulipelekea vifo vya wanadamu wengi.

Mungu aliposikia kilio cha wanadamu, kutokana na maovu yaliyokuwa yakitendeka, akaamua kuwafutilia mbali hao wanadamu wote kupitia Gharika. Hivyo, alimteua Nuhu na familia yake kujiponya kupitia Safina, ambapo aliweza kukusanya pair ya wanyama wote duniani na ndege ili kuepuka gharika.

IMG_6491.jpg


Kulingana na Biblia:
  • Walikuwepo Wanefili (uzao wa Anunnaki) waliokuwa Giants kabla Wana wa Mungu (Watchers) hawajaja duniani. Hivyo, Wana wa Mungu walipokuja duniani, waliwakuta tayari Waanunnaki.
IMG_6492.jpg


  • Wana wa Mungu (Watchers) walikuja duniani baada ya kuwaona mabinti wazuri wa wanadamu huku duniani. Hivyo wakazaa nao watoto ambao walikuwa hodari na giants (kama walivyokuwa Wanefili/Waanunnaki). Swali: Mbona hao watchers hawakuwa wamewahi kuja duniani kabla? Je, madai ya Wataalamu kuwa, Anunnaki ndio walimfundisha mwanadamu namna ya kujiremba, yanaweza kuwa, yalipelekea mabinti kuanza kupendeza na hivyo kuvutia Wana wa Mungu?

  • Kwenye gharika, Aliens waliokufa ni Giants wa uzao wa Wana wa Mungu (Watchers) lakini Wanefili/Waanunnaki hawakufa na gharika. Ndiyo maana Mussa alipotuma wapelelezi kwenda Canaan, waliripoti kukuta hao Wanefili. How?
IMG_9258.jpg


  • Katika Kitabu cha Watchers, Enoch alichukuliwa na Malaika na kupelekwa Mbingu ya Tano, ambako huko alijionea kundi kubwa la Askari walioitwa Grigori waliofanana na binadamu. Walikuwa na maumbo makubwa zaidi kuliko Giants wa duniani.
    IMG_9273.jpg

Kama Wanefili ndio hao hao waliozaliwa na Wana wa Mungu, basi hii inaonyesha wazi kuwa, gharika haikuwahi kutokea ya kuua wanadamu wote, ndiyo maana Wanefili walisalimika.
IMG_9369.jpg


Pamoja na Wanefili (Nephilim), neno la Kiebrania "Rephaim" linajumuisha aina zote za makundi ya majitu (Giants) ya Canaan. Akina Goliath na wengineo wote walikuwa ni mabaki ya aina mbalimbali za Waanunnaki.
IMG_9270.jpg
 
Ushahidi wa kisayansi hadi sasa, haujaweza kuthibitisha kama kuliwahi kutokea gharika Dunia nzima na kuigharikisha kwa maji kwa wakati mmoja kiasi cha kuua binadamu wote. Hii inaweza kuwa sababu ya kwa nini, Giants waliendelea kuwepo duniani hata baada ya Gharika.

Hata hivyo, kuna Wataalam wanaeleza kuwa, kuna scenarios mbalimbali zilizopelekea uwepo wa Wanefili baada ya gharika.
  • Wana wa Mungu (watchers/fallen angels) walirudi tena duniani na kuwa na wanadamu.
  • Jeni (genomes) za Wana wa Mungu zilikuwa zimerithiwa na Nuhu ama mke wake, hivyo uzao wao ndio uliokuja kuwazaa tena Giants.
  • Wanefili kutokana na uwezo wao wa kubashiri matukio (necromancy), walitengeneza genetic transmutation, ambapo baada ya mafuriko, walifufuka tena.
  • Kuna baadhi waliweza kuepa mafuriko hayo ama kwa kutoka duniani ama kwenda chini ya Dunia (Contigency Atlantis). Hii scenario ndiyo inayokubalika sana.

 
Hakuna namna yoyote tunayoweza kukataa kuwa, Aliens hawapo. Kuna watu wengi wanashikilia msimamo kuwa, binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu: je, hii inamaanisha nini?
Kwa mfano wa Mungu inamaanisha tunafanana mwili na roho.
IMG_9462.jpg


Je, hizo sifa, Aliens (Anunnaki/Syrians) hawakuwa nazo?
Mbona tunaambiwa kuwa huko mbinguni kuna viumbe wasio na sura za kibinadamu kibao tu?
IMG_9394.jpg


Vilevile, Enoch anapoeleza kuwa, Malaika alimpeleka Mbingu ya Tano na kushuhudia Askari wa Grigori wenye sura za kibinadamu - hapa anamaanisha nini? Je, hiyo haimaanishi kuwa aliviona ama vipo viumbe wengine wasio na sura kama za kibinadamu?
IMG_9273.jpg
 
Historia ya mwanzo wa binadamu, pamoja na uhusiano wake na viumbe wengine bado ina utata na haieleweki vya kutosha, so ni wajibu wetu kujichallenge kwa yaliyo ndani ya capacity yetu.
Inasikitisha nikikumbuka jinsi nilivyochelewa kufahamu kuwa, kabla ya Eva (Hawa), Adam aliwahi kuwa na mke wa kwanza Lilith ambaye walishindwana kwa kuwa alikuwa na akili nyingi kuliko Adam, hivyo alitaka kuwa at par na Adam hasa kwenye mapenzi - kwamba Lilith alikuwa akimtaka Adam wawe na usawa kwenye anga za 18: "leo ni zamu yako kulala chini na mimi niwe juu yako."
 
Historia ya mwanzo wa binadamu, pamoja na uhusiano wake na viumbe wengine bado ina utata na haieleweki vya kutosha, so ni wajibu wetu kujichallenge kwa yaliyo ndani ya capacity yetu.
Inasikitisha nikikumbuka jinsi nilivyochelewa kufahamu kuwa, kabla ya Eva (Hawa), Adam aliwahi kuwa na mke wa kwanza Lilith ambaye walishindwana kwa kuwa alikuwa na akili nyingi kuliko Adam, hivyo alitaka kuwa at par na Adam hasa kwenye mapenzi - kwamba Lilith alikuwa akitaka Adam atimize hili lengo: "leo ni zamu yako kulala chini na mimi niwe juu yako."
Mmmhh
 
Nani alishawahi kusumbuka kujiuliza kwa nini Dunia nzima majina ya Wanefili (Nephillim), ndiyo yametawala kila mahali:
  • Majina ya Sayari
  • Majina ya Miezi
  • Majina ya siku za Wiki.
  • Majina ya Mabara - Europa, Asia, Atlantis
  • Majina ya Makampuni - Nike, Versace, Amazon, Starbucks, etc.
  • Majina ya magari - Odyssey.
  • Majina ya filamu zilizobamba Hollywood - Hercules, etc.
  • Jina la Michezo ya Olimpiki - Olimpia.
IMG_9285.jpg
 

Attachments

  • IMG_9319.jpg
    IMG_9319.jpg
    67 KB · Views: 92
  • IMG_9322.jpg
    IMG_9322.jpg
    39.9 KB · Views: 90
  • IMG_9324.jpg
    IMG_9324.jpg
    41.2 KB · Views: 98
  • IMG_9326.jpg
    IMG_9326.jpg
    57.1 KB · Views: 84
  • IMG_9347.jpg
    IMG_9347.jpg
    32.9 KB · Views: 85
  • IMG_9358.PNG
    IMG_9358.PNG
    209.3 KB · Views: 91
Hata siaminigi vitu kama hivyo
Usiamini mzee, soma ili upate elimu ya kimaisha. Kwa nini usijiulize kuwa Biblia imetaja maneno haya mara kadhaa:
  • Sons of God.
  • Fallen Angels.
  • The Watchers.
  • The Nephilim.
  • The Giants.
  • The Anak.
Watofautishe hao sasa kama unaweza. Ukweli utawaweka huru.
 
Mkuu unapoanza mambo ya Adam na hawa huu uzi unajichanganya sasa,Mimi iyo hadithi ya biblia uwa siielewi,kwa mwendo uo ntakutoa kwenye leli.
 
Moderate
Thread Hii Na Zote Zinazohusu Jambo Hili
Nashauri Kwa Nia Njema Moyo Mkunjufu
Kuna Members Wengi Sana Wametuletea Hii Habari Kwa Kadiri Ya Uwezo Wao
Nawapongeza Wote Elimu Tumeipata Nzuri Sana




Itapendeza Iwapo Zote Zingeunganishwa Na Kuwekwa Sticker Halafu Zikawa Front Line Hapo Kwaajili Ya Kujipatia Maarifa Kila Iitwapo Leo
Jamiiforums.com
Home Of Greater Thinkers
We Dare To Talk Open
😁✌🤝🤝
 
Hakuna namna yoyote tunayoweza kukataa kuwa, Aliens hawapo. Kuna watu wengi wanashikilia msimamo kuwa, binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu: je, hii inamaanisha nini?
Kwa mfano wa Mungu inamaanisha tunafanana mwili na roho.
View attachment 898230

Je, hizo sifa, Aliens (Anunnaki/Syrians) hawakuwa nazo?
Mbona tunaambiwa kuwa huko mbinguni kuna viumbe wasio na sura za kibinadamu kibao tu?
View attachment 898252

Vilevile, Enoch anapoeleza kuwa, Malaika alimpeleka Mbingu ya Tano na kushuhudia Askari wa Grigori wenye sura za kibinadamu - hapa anamaanisha nini? Je, hiyo haimaanishi kuwa aliviona ama vipo viumbe wengine wasio na sura kama za kibinadamu?
View attachment 898244

Hakuna namna yoyote tunayoweza kukataa kuwa, Aliens hawapo. Kuna watu wengi wanashikilia msimamo kuwa, binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu: je, hii inamaanisha nini?
Kwa mfano wa Mungu inamaanisha tunafanana mwili na roho.
View attachment 898230

Je, hizo sifa, Aliens (Anunnaki/Syrians) hawakuwa nazo?
Mbona tunaambiwa kuwa huko mbinguni kuna viumbe wasio na sura za kibinadamu kibao tu?
View attachment 898252

Vilevile, Enoch anapoeleza kuwa, Malaika alimpeleka Mbingu ya Tano na kushuhudia Askari wa Grigori wenye sura za kibinadamu - hapa anamaanisha nini? Je, hiyo haimaanishi kuwa aliviona ama vipo viumbe wengine wasio na sura kama za kibinadamu?
View attachment 898244

ukiwaambia watu kuwa Aliens ndo kila kitu wanakataaa....kuna nyuzinpia niliwahi tupia huku kuhusiana na hiyo ila wapo walionielewa na baadhi wakawa wanapinga...

We are real programmed from higher life forms aise...naamini hicho kitu.

Lets make man from our own image...hivi hapa mtu unahitaji kuambiwa maneno gani ili uweze kuelewa...??

Wenzetu walishalitambua hilo miakaa ya zamani na kuamua kufanya negotiation na Annunaki ndo mana kila kitu kipo wazi kwao...ngozi nyeusi inapenda sana kuamini matango yanayotafsiriwa tifauti kwenye biblia...

yani sijui biblia wanaisomaje
 
Hicho kitabu cha henoko niliwahi kukisoma. Kuna mambo mengi humo si ya kweli. Hasa kuhusu hilo la uasi wa Semzaba. Kitabu cha pili cha Adamu na Hawa ambacho no masimulizi juu ya maisha ya Adamu na hawa baada ya kufukuzwa bustanini. Kinasema kwamba wana wa Mungu walikuwa uzao wa Sethi ambao walidumu kumwabudu Mungu. Binti za wanadamu ni uzao wa kaini. Hivyo jamii ya watu wa Mungu na jamii ya wapagani wakazaa na matokeo yake ikawa machafuko na Mungu akaamua kuingilia kati. Hii inakubaliana na Biblia. Kumbuka ili kufanya breeding na kutoa viable offspring sharti wote wawe one species. Malaika na wanadamu ni species tofauti hivyo hawawezi kuinterbreed. Pia malaika hawana jinsia!
Kile kitabu cha henoko kina upotoshaji mwingi. Ni heri kusoma tu hii canon. Huko kuna hadithi nyingi za ukweli na nyingine za uongo. Ni vigumu kujua ukweli ni upi na uongo ni upi.
 
Hii ishu naona bado ni ngeni kw wengi na watu wanachangia kimazoea zaidi...

Miongoni mwa mambo ya kutisha kabisa katika historia ya binadamu ni tukio hili ambalo kimsingi lilianzia pale Eden,wengi hatuelewi ni nini klitokea pale...

Muendelezo wa jambo hili ni pale kwenye mlima Hermon ambapo ndipo tukio zima la kuwepo hawa majitu lilianzia hapo..

Majitu si Malaika waasi ila ni machotara wa malaika hao...
 
Back
Top Bottom