Habari wana JF nimekuwa nikijiuliza hili swali,naomba wataalamu wa mambo mnisaidie kujibu hilo.
Maana ukisoma maandiko ni kwamba maagizo ya kula tunda yalitolewa na Mungu kwa mwanadamu kuwa asile tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya(utashi) na akila hakika atakufa.. na kweli baada ya kula tunaona kifo kikaingia duniani.
Vipi kwa wanyama ambao sio binadamu na ambao mpaka leo hii hawana utashi(kwa maana ya kwamba hawakula tunda la mti ule) nao wanakufa pia,kosa lao ni nini?
Naomba wajuzi wa mambo mnisaidie kujibu hili