Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Katika kipindi hiki ambapo dunia inashuhudia misukosuko ya kila aina, kutoka mizozo ya kijeshi hadi mgongano wa kiitikadi, swali la msingi linazuka: Je, dunia inajiandaa kuingia katika mpangilio...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Mashaka ni jamaa yangu sana anafanya biashara ya Magari.(mashaka si jina lake halisi) anaishi kwenye apartment flan huko kijitonyama. Amekuwa akilalamika sana kuwa mmoja ya jamaa wanaoishi naye...
32 Reactions
170 Replies
61K Views
PART 1 Kuna ukweli mmoja usiofichika wala kupingika kwamba watu wengi sana wanapenda kazi ya ushushushu, yaani Uafisa Usalama wa Taifa.Hiyo sio kwa Tanzania pekee bali sehemu nyingi duniani...
45 Reactions
495 Replies
197K Views
Udanganyifu wa Kujitawala Hakuna mwanadamu, anayefungwa na akili pekee, anayeweza kushinda mipasuko ya uwepo kwa kutumia akili yake peke yake. Tunadhani kwamba maarifa, nidhamu, au nguvu ya nia...
5 Reactions
4 Replies
645 Views
ORODHA YA WAKURUGENZI WAKUU WA 'TISS' TANGU UHURU. Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of...
46 Reactions
202 Replies
61K Views
Mnakumbuka alipofariki msanii maarufu wa filamu Tanzania Steven Kanumba liliibuka wimbi la vijana wengi wengine wakiwa na lafudhi za nchi jirani waliokuwa wakikusanya watu na kuelezea habari za...
23 Reactions
54 Replies
5K Views
Abstract This thesis examines the shift from a symbolic and spiritual interpretation of the Bible to a literalist reading that has become prominent in modern science and theology. I argue that...
0 Reactions
2 Replies
519 Views
JE, UKWELI NI NINI? "Ukweli ni kama simba. Huhitaji kumtetea. Mwachie huru. Atajitetea mwenyewe." —Mtakatifu Augustine (au labda mtu mwingine kabisa…) Vipi kama simba huyo amefungwa? Vipi...
7 Reactions
5 Replies
552 Views
Nikiwa katika kijiji cha kabila wilayani Magu enzi za ujana wangu mwishoni mwa miaka ya tisini, kwa mara ya kwanza nilikwenda nilikwenda kwa mganga nikiwa nimefuatana na shangazi yangu baada ya...
23 Reactions
85 Replies
20K Views
Baada ya kujitunuku shahada ya uzamivu, ni muda Sasa wa kuhakikisha ninatumia elimu yangu katika kuhakikisha ninawanufaisha wanyama wa hili pori, ambapo ndio asili ya mnyama mtu baada ya kuzaliwa...
0 Reactions
16 Replies
703 Views
MAMBO YA UCHAWI UNAVYOFANYIKA KATIKA VIUNGO VYA UZAZI SOMENI Tunapozungumzia uchawi hakuna shaka kuwa ni lugha inayoeleweka katika jamii yoyote. Hivyo hili ni tatizo linalosababishwa na sayansi ya...
1 Reactions
11 Replies
9K Views
NDOTO NA NYOKA Maana yake:- Ndoto za Nyoka zinaashiria mtoto wa kiume, mtu asiyekuwa na heshima, Adui, mali iliyofichwa, ushirikina, mabadiliko, uwezo, kiongozi mbaya, na mwanamke. Nyoka katika...
13 Reactions
118 Replies
276K Views
1. Jifunze Kujijua Kabla Ya Kujitangaza Usijaribu kuwa mtu mwingine ili ukubalike – jua wewe ni nani, unataka nini, na thamani yako iko wapi. Ukiwa original, huna ushindani. 2. Pesa ni Muhimu...
22 Reactions
22 Replies
2K Views
Nianze na salamu za mwaka huu wa 2024 kwa wanajukwaa wote,nilibanwa kidogo na shughuli nyingi mwaka huu ila sasa nimerudi tena jukwaani. Tunaanza; Tambua kuwa nafsi ndiyo sehemu ya mtu iliyobeba...
65 Reactions
457 Replies
48K Views
CHIMBUKO LA FREEMASONRY KEMET. Ujuzi ni nguvu, maarifa ni nguvu na yanawakilisha kiasi kilicho patikana cha kujifunza, ambacho wa Kemet wa kale walikuwa wamefikia katika uwezo wa kutumia...
1 Reactions
3 Replies
669 Views
Habari za jioni wana JF natumaini wote humu ni wazima. Nlipokuwa naipitia uzi huu Mjue Yoabu - Jenerali Mkuu wa Mfalme Daudi, Katili na asiyeogopa chochote! - JamiiForums Mkuu Elungata aliibua...
36 Reactions
480 Replies
67K Views
natumaini wote wazima ndugu zangu wa jf intelligence, bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa husika cha mada kwanza kabisa naomba kujua kwanini injili ya barnaba...
10 Reactions
221 Replies
40K Views
I still have questions that I believe need scientific answers to prove that black people are truly humans created in the image of God the creator of the universe. The level of barbarism among...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Inaitwa Heshima, na “Resets” Zimeifuta Nililelewa katika dunia ambapo heshima haikuwa hiari, ilikuwa ndiyo msingi. Haikuwa kitu cha kuonesha pale tu unapohitaji kitu. Haikuwa hila ya...
1 Reactions
2 Replies
362 Views
SIFURI ILIYOZAA MIUNGU Hakuna mungu atakayekuokoa. Wewe ndiye chanzo chao wote. Kile ulicho hakiwezi kuokolewa. Kinachoweza kufanyika ni kukikumbuka tu. Ukweli huu hauendi kwa sauti ya...
3 Reactions
4 Replies
456 Views
Back
Top Bottom