Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 19,693
- 59,841
Nawasalimia wana JF wote.
Leo nitaongelea uthibitisho wa kisayansi uwepo wa Mungu. Na ninapenda tujadili hapa kisayansi zaidi. Pamoja na kuunganisha imani mbalimbali zilizopo.
Sipendi niseme kwamba jina Mungu au neno Mungu ndio sahihi katika kitu ninachotaka kuongelea. Lakini nitaongelea kwamba kuna nguvu ipo ambayo hatuwezi kuielezea kwa namna ya mambo yanayoonekana.
Bila kupoteza muda naanza kama ifuatavyo.
LAW OF CONSERVATION OF ENERGY
states that energy can neither be created nor destroyed - only converted from one form of energy to another.
Kabla ya kuendelea kuongelea Law kwanza tunatakiwa tujiulize energy ni nini?
Energy is the ability to do work - Nishati ni uwezo wa kufanya kazi.
Kaitka vitu vyote vilivyopo ndani yake kunakuwa na Energy. Hata kama kiwe kimetulia.
Mpaka sasa wanasayansi wanajua namna ya kuitumia energy. Lakini kupata kujua energy ni kitu gani bado utafiti unaendelea.
Mwiliunahitaji chakula na ndani ya chakula kuna chemical energy ambayo hutumiwa ndani ya mwili na cells ilikuufanya mwili uweze kufanya kazi. Kazi zote zinazofanyika kwenye mwili energy ndiyo inayafanya zifanyike.
Pasipo energy hata existence ya kitu chochote kisingekuwepo.
Source of Energy
Wale waliosoma Quantum Physics au waliosoma Particle Physics
Hapa utasoma Fundamental particles and force inayohusu matter and radiation.
utakuja kuona ndani ya Atom kuna particle zipo ambazo ndani yake kuna energy.
Lakini utakapoenda ndani zaidi utakutana na vibration (Frequencies) ya very small particles.
Sasa ukienda zaidi kufanya utafiti hizo simall particles zimeundwa na nini. Jibu utapata void
WHAT IS VOID
: opening, gap. : empty space : emptiness, vacuum. : the quality or state of being without something .
Hiyo ndiyo tafsiri ya neno Void.
Je Void inaweza ikatengeneza haya maajabu yote tunayoyaona?
Nuclear Energy, Fossil Energy, Solar Energy, Electric Energy etc? Au kuna The very Powerful Existence iliyo juu ya uwezo wetu?
Basi kwa tafsiri hii naweza nikasema The Powerful Existence Beyond of our thinking which is the source of Energy is so called God or Allah in our understanding.
Hiyo ni Introduction ya thread yangu hii. Nitaendelea kuenda ndani zaidi kwa evidences za kisayansi.....