Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Habari za asubuhi wana JF, Kama nilivyouliza hapo juu, ili tupeane mawazo.kama tukisoma kwenye kitabu cha Agano la kale, baada ya Mungu kuwaonya binadamu na wakawa shingo ngumu, na kuamua kuachia...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Angalia link hii kisha toa maoni yako nani hasa alimuua Kabila
6 Reactions
95 Replies
31K Views
Nimetafakari sana baada ya uwepo wa taarifa za Kagame kuhimiza wanywarwanda kuwekeza kanda ya ziwa (Mwanza). Baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Tayari Kagame ndio...
2 Reactions
57 Replies
9K Views
Huyu aliyepo hii leo ndiye asiye kuwepo badae na asiye kuwepo ndiye aliyepo. Hiki unachokiona leo siyo hicho walichokiona waliokuwepo, lakini ndiyo hicho kilichopo, ambacho kila aliyekuwepo...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Nimekaa na kutafakari sana hasa nikitazama sisi waafrika na kulinganisja na watu wa mabara mengine kimaendeleo katika nyanja mbalimbali kama vile kiuchumi, kijamii na kiasia. Sikuishia hapo tu...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
Wanefili ni nani? wanefili maana yake ni majitu makubwa, hawa majitu kama Goliathi, Ahimani, sheshai, Talmai, Safu, Lahmi nk walijulikana katika agano la kale. Hawa walikuwa ni wanadamu...
19 Reactions
671 Replies
136K Views
La petit Mort, tamka (la petii mwa) neno la kifaransa hili lililopata umaarufu zaidi karne ya 19th century.. Likiwa na maana "little death" kwa kiingereza na "kifo kidogo" kwa kiswahili. Ukisikia...
51 Reactions
159 Replies
25K Views
Inasemekana ni mtaalam wa mafunzo ya kulenga shabaha na uokozi.Jamaa huyo alijizolea sifa/pongezi toka kwa wananchi wa Kenya kwa namna alivyojitahidi kuwaokoa wahanga wa tukio baya kabisa lililo...
22 Reactions
215 Replies
27K Views
*JE, UNAMFAHAMU MTU ALIYEGUNDUA MITIHANI YA DARASANI?* Kuna utata katika swala hili. Wapo watu wanatajwa kuwa mmojawapo ndiye aliyegundua mitihani ya darasani. Fatilia ufafanuzi wangu...
8 Reactions
32 Replies
16K Views
ukimsikiliza kwa makini huyo jamaa hapo mwishoni anasema kuna nchi za afrika kuna waafrika walishatoweka kabisa kwa mfano misri nk. kwa misingi hiyo inamaana waafrika tusipo kaa sawa tutakuja...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
katika maisha uwezi kujua dunia mengine tufanye ni ulimwengu uliopo tusio jua.!? kwa nini ! Marais wawili wakuu wa Merika waliuawa kwa sababu ya haki Novemba 22, 2003 ni alama ya kumbukumbu ya...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Habarini za uzima wakuu, naomba kuleta kwenu uzi huu unaohusu mambo kidogo juu ya mchezo wa Jumanji ambao umepelekea mpaka kutolewa kwa movie mbili zenye matukio ya kufanana. Karibuni. Kwa wale...
4 Reactions
116 Replies
15K Views
Kila Taifa duniani ili lisimame imara lazima idara hii iwepo, mfano US utawakuta CIA AU NASSA, Urusi wapo KGB na kadhalika. Tunasema Malaika hasa kulingana na ugumu na upekee wa kazi yenyewe, Wao...
5 Reactions
45 Replies
15K Views
Tarehe 8, mwezi wa 8 mwaka 2005, saa tatu asubuhi ikiwa ni siku ya Jumatatu, moja ya tawi la Bank Kuu ya Brazil lililopo katika mji wa Fortaleza katika jimbo la Ceara, lilifunguliwa kama kawaida...
74 Reactions
122 Replies
28K Views
Intelijensia: Pandikizi Chochezi Source: Agent provocateur - Wikipedia Suala la Intelijensia, ujasusi na ushushushu ni kitu adhimu sana kukifahamu si tu kwa manufaa ya usalama wa nchi bali pia...
40 Reactions
60 Replies
16K Views
@From: maalim hassan Kila mtu anataka kujua namba yake ya bahati na namna ya kuitumia kwa faida yake. Baadhi ya watu wanataka kutumia namba zao za bahati kwa kupanga tarehe zao muhimu na kufanya...
4 Reactions
45 Replies
90K Views
habari wakuu . Kiukweli ninachangamoto katika utambuzi wa Tarehe yangu ya kuzaliwa na mwezi. japo mwaka unatambulika. nahii ilitokana na kutopata data kamili kutoka kwa mlezi. sasa naomba kujua...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Defection is the desertion of one's country or cause in favor of an opposing one. Edward Snowden mfanyakazi wa shirika la kijasusi la marekani alikimbia nchi yake na kwenda Russia ambapo Russians...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Kitendo cha kufundisha kipo toka enzi na enzi,kila mzazi ama mtu mzima huwafundisha watoto ama wadogo zao jinsi ya kutenda ,kufanya ama kutekeleza jambo fulani kwa utaratibu uleule. Sasa je ,ni...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam wanajukwaa, Kwa mara ya kwanza nami napost mada katika jukwaa hili baada ya kuwa msomaji wa mada mbali mbali kama za kina Pasco, Mshana Jr. e.t.c. Katika jukwaa hili kumekuwa na mada...
16 Reactions
320 Replies
43K Views
Back
Top Bottom