Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 332
Habari wana wa JF
Karibu katika uzi huu.Kwasababu sisi ni werevu naomba tuoneshe heshima kwa wengine kabla hatujaenda mbele.
Kabla ya kuuliza masuali yangu naamini wazi kuwa kila kitu kimetengenezwa na kimefanisiwa vizuri, na ndio maana hata gari haikuja wenyewe isipokuwa imeundwa.
Swali no 1:
Kwanini sisi wanadamu na vyote vilivyomo duniani pamoja na dunia yenyewe tukawepo na chanzo chetu haswa ni nini?
Swali no 2:
Kama kila kitu kimekuja tu na ni asili kwanini sisi wanadamu tumekuja katika maumbile tofauti? Na hali yakuwa asili haibadiliki muundo wake,sifa zake, na wala ubora wake.
SWALI NO 3:
Kwasababu asili haibadiliki, kwa nini sisi tunakufa na wala sayansi haijagundua tiba ya hili?