3'rd ww-third world war possibilities!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

3'rd ww-third world war possibilities!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Nivea, Jun 25, 2012.

 1. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Its a good monday again with full of question mark in my head,i heard that there will be III WW,nilikuta watu wanazungumzia hili suala kwa undani sana na nikawauliza je causes za hii war,nikaambulia 2 tu

  1.Resoures hasa sourse of energy-petrol,gas whatever kitakuwa kitu hadimu sana duniani nikaambiwa tena ndio sababu muamerica yeye hachimbi mafuta yake ananunua nakukusanya tu ghalani mwake ili mataifa yote yampigie magoti kipindi kile cha hiyo IIIWW,

  2.MAJI:Bara la afrika ni bara lililona hifadhi kubwa sana ya maji ambayo hayajawahi kutumika kabisa na ambayoyakitumia effectively hata miaka 100 bila mvua tunaweza endesha kilimo nakulisha duinia nzima ,so kutakuwa kunakugombea ardhi,wakanipa na mfano dhahiri jinsi gani sasahivi wazungu wanavyokuja kinyemela kununua adrhi kwakupitia kutoa misaada ,yaaani wenzetu wameshaliona hili,na wameonya uuzwaji wa ardh kwa watu weupe, hapo hapo tukisikiliza naredio ndio ile taarifa ya habari ya jana jumapili saaa4usiku ,ikatangaza na wale wazungu waliokuwa wanatoa msaada kwa shule mmoja ya yatima huko arusha,mwishowe wamefukuzwa kwakutaka kuinunua ile shule waliposhtukiwa wakavunja mkataba haraka ,ni ardhi walikuwa wanataka ,nikaanza kuvuta hisia hili jambo linaweza kuwa na ukweli,na kweli sasahivi hawa watu wanatafuta ardhi hii sana ,

  NB:
  Na mchana pia nilisikia kwenye clouds FM mida ya saa 9alasiri,lijamaa limoja lililodai kuachana na freemasons likisema eti maji yatakauka dunua nzima alisikia hili jambo likijadiliwa na hao masons na sehemu pekee itakayobaki na maji ni sehemu ya kigamboni -DSM na ndio sababu wameamua kuufanya mji mkubwa sana ambao watajenga magorofa na watu weupe wengi watahamia kwenye mji huu kwani utakuwa kama ni almasi wakati huo-sikuiamini ila nilihainisha na namba 2sikuona auhalisia .
  Sasa wana jamii Intelligence nisaidieni nifunguke kweli

  1.is there possibillity for its occurance,
  2.and what are the other factors,
  3.are the two factors above be one of the causes

  nifungueni hapo wakuu nyinyi mnajua nini kuhusu hili
   
Loading...