Mwenye utaalamu wa majini ya pesa

Mwenye utaalamu wa majini ya pesa

kama kweli hilo jini unalotaka kumpa litampatia pesa huyu ndugu yetu, kwanini tena utake pesa kutoka kwake wakati jini ni lako? si ungekua nazo za kutosha kutoka kwa huyo jini? au hii imekaaje?

....mkuu Yesu tu ndo amesema mmepewa bure toeni bure baraka zake, shetani hata siku moja hawezi kutoa bure, lazima alipe kafara in one way or another. na mbele ya safari masharti yatazidi kuwa magumu kwake mpaka ya kuua ndugu wa damu....
 
....shetani ameshapokea ombi lako atatuma msaidizi wake akuandikishe rasmi kwenye ufalme wake. Aliwahi kumwambia Yesu ukinisujudia ntakupa Mali zoooote hizi, Yesu akasema ineandikwa msujudie Mungu baba peke yàke.....
 
....shetani ameshapokea ombi lako atatuma msaidizi wake akuandikishe rasmi kwenye ufalme wake. Aliwahi kumwambia yesu ukinisujudia ntakupa mali zoooote hizi, yesu akasema ineandikwa msujudie mungu baba peke yàke.....

by waugh
nashukru kwa aliyeheshimu mada yangu.
Nia iliyonifanya niandike ww huwezi kunibadilisha,na mimi nimetamka wazi kwa wahusika tu na sijahitaji wenye matusi na kejeli.kwanini?watanzania mnapenda matusi na lawama? Haiwezekani kila kitu ni lawama.
 
huyo jini ni umasikini tu usijaribu nakushauri.achana na huo mpango.mtumikie Mungu atakuongoza kupata hela za halali maana hao wenye majini wanaishi kwa shida sana japo unawaona wana hela nyingi ila tabu wanazopata ooooh wanakutamani hata usie na kitu maana unaishi kwa raha bila mashariti.
 
MziziMkavu kama kweli hilo jini unalotaka kumpa litampatia pesa huyu ndugu yetu, kwanini tena utake pesa kutoka kwake wakati jini ni lako? si ungekua nazo za kutosha kutoka kwa huyo jini? au hii imekaaje?
1381613_683236345038086_627223464_n.jpg


MABILIONEA WAKIRI KUTAJIRISHWA NA SHETANI!

Mabilionea maarufu duniani wamethibitisha kujipatia utajiri wao kupitia ushirikiano na shetani kama inavyofafanuliwa hapa kupitia kauli zao! Naona afya yangu imezoroteka nitafanya mkataba na shetani (faust bargain) ili kurejesha afya yangu."- Anasema bilionea Andrew

Carnegie. "Watu hawa wanaomwabudu lusifa (faust bargain) mafanikio na utajiri wao umekuwa mkubwa kupindukia anasema prof.Ri
chard sharpe mkurugenzi wa mradi wa watu wenye matukio yasiyo ya kawaida (EEP). Profesa sharpe anashuhudia watu walioko

kwenye mradi wake (EEP) kupona UKIMWI, kansa, kisukari, B.P, n.k. hasa wale wanaoamua kufanya agano na shetani lusifa (faust bargain) Pichani ni mtakatifu wolfang akhifanya agano na shetani (faust bargain). Pichani ni mtakatifu wolfang akifanya agano na shetani (faust bargain) ili mambo yake yamnyokee. "Katika ibada 50 za kilusiferi, ibada ya 7 ni ya kufunga mkataba na shetani
 
MziziMkavu nashkuru kwa somo lako fupi lakini je ni kuulize wenye pesa za majini wanaushirikiano na freemason?
Ndio...... kaka falcon mombasa

Michael Jackson alikuwa Freemanson‏


Michael Jackson alikuwa Freemanson, Akawa tajiri sana na maarufu Duniani kote.
Mdogo wake siku mmoja akamweleza kaka yake kuwa hatima ya kuwa Freemanson ni kutupwa motoni siku ya kiyama.
Michael Jackson aliogopa sana, Akaanzisha Safari ya Uarabuni, Huko Uarabuni aliamua muslimu kwa siri ili freemanson wasijue, Uarabuni alinunua Shamba la Ekari 1500 kwa ajili ya kujenga Msikiti wa Aina yake na kujenga shule ya kuwasomesha watoto yatima na kuwapa misada Wajane.
Aliporudi Marekani freemanson walipata tetesi kuwa Michael Jackson amesilimu.
Hata hivyo hawakuwa na uhakika.
Michael Jackson aliimba wimbo unaosema freemanson iponyeni DUNIA watoto wanauliwa huko Iraq na Africanstan bila sababu, Iponyeni Dunia.
Freemanson wakaamini kuwa kweli huyu Jackson amebadili DINI NA KUWA Mwislam.
Hata hivyo Michael Jackson alisema anataka kufanya shoo moja kabambe na Dunia nzima itashangaa.
Freemanson waliposikia habari hiyo wakatengeneza Ugonjwa wakamtumia.
Michael Jackson alipelekwa Hospitali ya Aga Khan ambayo ni ya freemanson.
Alitibiwa na freemanson. Walichofanya freemanson walimchoma sindano ya sumu, na kumuambia kuwa si umetusaliti kufa utuachie Dunia yetu tuipotoshe.
Kweli Michael Jackson alikufa na kuacha mabilioni ya mapesa.
Freemanson walijua kuwa angetangaza kuwa amesilimu angesababisha watu wengi kusilimu, kwakuwa ange tangaza ubaya wa serikali ambazo zinawatesa binadamu wenzao kwa visingizio mbali mbali, Mara ooo tunatafuta magaidi kumbe nia ni kuwaua Waislam.

Michael_Jackson_Cannescropped.jpg
 
Last edited by a moderator:
by waugh
nashukru kwa aliyeheshimu mada yangu.
Nia iliyonifanya niandike ww huwezi kunibadilisha,na mimi nimetamka wazi kwa wahusika tu na sijahitaji wenye matusi na kejeli.kwanini?watanzania mnapenda matusi na lawama? Haiwezekani kila kitu ni lawama.
Mbna ndugu yangu hajalalamika sema amesema kweli,chukua ushauri wake ufanyie kazi.Umeleta mada watu wana responde.Kuwa msikivu na mnyenyekevu utapata kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom