Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,658
- 11,604
Niswali ambalo sikuzote hua najiuliza, ikizingatiwa sisi (binaadam) wanyama (simba, paka, nge) na mimea (mchungwa, iriki,mbuyu) sote ni viumbe hai.
Kwakua hakuna sehem niliyojifunza kua wanyama na mimea wameumbwa kutokana na nini, so vitabu vya dini vimemuelezea binaadam tu ndio kaumbwa kwa udongo, sasa shauku yangu ni kujua viumbe hai hawa wenzetu wameumbwa kutokana na nini?
Wajuvi wa mambo naomba munitoe tongo tongo.