ILLUMINATI - 1
Illuminati ilianzishwa rasmi tarehe 1 mwezi wa 5 mwaka 1776 na Adam Weishaupt huko Ingolstadt, Germany huku lengo kuu likiwa "Into the bright" wakati kinaanzishwa walikua na malengo...
Mengi yalizungumzwa kuhusu ulinzi wa Rais Magufuli. Wengi wakakosoa kwamba analindwa na maaskari wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi huku wameshikilia mabunduki makubwa.
Ni viongozi wengi tu...
Kiranga hapa unasemaje? Mawe na sepeto viliweza kufanya maajabu haya au ni Alliens? Will Science be bale to give explanations for this work let's in the future? And because it does not at the...
Ndugu zangu,
Naona wengi wetu tunapinga vikali masuala ya Ukoloni mambo leo. Na tumekuwa tunasoma kuwa mataifa ya Magharibi, Marekani, Russia na Uchina yamekuwa yakitumia Scholarships kama njia...
Habari wana jamvi
Ni tumaini langu kuwa mko wazima kabisa (kwa namna pekee napenda kutoa pongezi kwa team nzima ya Jamii Forum kwa kazi kubwa wanayoifanya bila kuchoshwa na mitazamo ya watu as we...
Mimi ni Mkristo Mkatoliki na napenda sana dini yangu. Ila zaidi napenda sana kujifunza hasa pale ambapo panakua na ugumu ama mkanganyiko.
Narudia tena, nitaomba mnisamehe kama nakosea ila nina...
Mimi ni nani? Pasina shaka sifahamu, Je huyu anayeongea ndani yangu ni nani?
La! nahisi ni akili au nafsi au roho ama tuko binadamu wawili katika mwili mmoja yaani mmoja anaongelea nje(kwa...
Kwa mujibu wa thread ambayo niliianzisha kuhusu uwezo wa kutenda miujiza, kuna watu wengi sana wameniuliza maswali na nikaahidi kuwa nitaanzisha thread inayoongelea Kabla ya kuzaliwa hapa duniani...
Salamu
1. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiambiwa kwamba ndege hazivuki bahari ya pacific!
Hili kwanza nataka kujua kama ni kweli ndege hazikatishi hii bahari! Kwa mtu yoyote anayefahamu hili...
Siri gani ambayo na jaribu kufikilia kwangu, kila siku tuna somesha watu ila baada ya kuvuna tuliyo somesha tunavuna siasa na IQ za kuojiwa na masanja.
Kuna teknolojia nyingi ambazo dunia kama...
Vita, njaa, vifo, maradhi ni vitu ambavyo wengi wamevisikia na kuvifahamu kuhusu Afrika.
Lakini sasa ni wakati wa kubadili mtazamo huu.
Afrika ni bara la kushangaza ambalo ni tofauti kabisa na...
Ubongo wetu unatumia kanuni ya "KAMA KITU HAKITUMIKI BASI HAKINA UMUHIMU" hivyo huwa ngumu kwa ubongo kukupatia majibu kwa haraka kwa vitu ambavyo havijaonyeshwa umuhimu na wewe mwenyewe.
Kuelewa...
NCHI 10 ZINAZOLIPA VIZURI MISHAHARA DUNIANI
Je, ulishawai kujiuliza nchi ambazo wafanyakazi wanalipwa mishahara ya juu? Hebu tuangalie nchi kumi ambazo wafanyakazi wanapata malipo makubwa ya...
Dr. Yuval Noah Harari, Mwandishi wa Kitabu kiitwacho, "Masomo 21 Kwa Ajili ya Karne ya 21 (2018)
Mwaka 2018, mwanahistoria wa huko Israel, Profesa Yuval Noah Harari, aliandika kitabu kiitwacho...
Habari wakuu,nasikia korea kusini na kaskazini ilikuwa taifa moja yaani korea.Sasa sababu gani ilsababisha taifa hili la korea kumeguka na kuzaliwa Korea mbili?mwenye data tafadhali
Natumaini Ijumaa kuu inawaendea vyema wana jamvi wakati huu taifa likiwa kwenye maombolezo ya kitaifa. Bila kupoteza muda, niende moja kwa moja kwenye hoja.
Wengi wetu kama sio wote tunafahamu...
SEHEMU YA KWANZA
Saikolojia: Jifunze mambo yakayokusaidia kuwa na maisha yenye furaha duniani ( na fahamu vigezo vilivyotumiwa kuichagua Finland kuwa nchi ya kwanza (Juu) kwa watu wenye furaha na...
Annunaki. Inasemekana walikuja duniani miaka mingi iliyopita na kuna mambo yalifanyika.
Kifupi huku walikotoka walipata majanga kwenye vyombo chao (space ship) hivyo wakatakiwa kurekebisha...
Ifahamu TISS
Madhumuni, kazi na nguvu yao juu ya usalama wa nchi,
Angalieni hapo kwenye vipengele vya nguvu zao na limitation zao,
Kwa ufupi ni lazima wapate approval ya polisi au wizara...
Habari za wakati huu ndugu zangu watanzania na wasio watanzania, Mlioko ndani ya mipaka ya kisiwa Cha Amani au Nje ya Kisiwa Hiki.
Nianze na musema poleni kwa msiba wa Kiongozi wetu pendwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.