Andrew Mushi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 630
- 696
Ifahamu TISS
Madhumuni, kazi na nguvu yao juu ya usalama wa nchi,
Angalieni hapo kwenye vipengele vya nguvu zao na limitation zao,
Kwa ufupi ni lazima wapate approval ya polisi au wizara kuingilia uhuru wa watu
Na vile vile inaeleza wazi wasiingilie uhuru wa watu kwenye masuala ya kisiasa, au matamshi yao kisiasa
Na muhimu zaidi iko chini ya ofisi ya Rais, Ndio hapa tunapoona vigugumizi vya wizara husika,
Kwa kweli sina muda wa kutosha kutafsiri lakini naomba wachangiaji waweze kututafsiria zaidi,
Na malalamiko yetu wananchi yafikishwe wapi, kipengele hicho sikioni, lakini bunge likae juu ya kufanya marekebisho MAKUBWA juu ya hichi chombo
http://www.vertic.org/media/National Legislation/Tanzania/TZ_Intelligence_Security_Services_Act.pdf