Kwanini teknolojia ambazo si biashara hupingwa mfano wa umeme unaojizalisha wenyewe bila kutumia nishati yoyote tunazo zifahamu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,290
2,000
Siri gani ambayo na jaribu kufikilia kwangu, kila siku tuna somesha watu ila baada ya kuvuna tuliyo somesha tunavuna siasa na IQ za kuojiwa na masanja.

Kuna teknolojia nyingi ambazo dunia kama uzipinga,labda itakuja hasara kupata mapato na baishara.
Mfano mkubwa wa jenereta inayofua umeme bila kutumia mafuta, maji kwa ajili ya kusukuma au nguvu ya nyuklia na n.k

Hizi zote utumia mabilioni ya pesa na wataalamu wakila idara ilikupata nishati ya umeme.

Umeme unao jifua wenyewe ni wakushangaza sana huwezi kuisha uwezi kusema maji, mafuta sijui nini labda ukate waya tu

IMG_3014.jpg

Teknolojia hii kiutaalamu utengenezwa na mota ya kuzunguka + mota ya kuzalisha umeme.ambapo mekanizimu ya hiyo kama mota inaweza kuzunguka kwa volti 120 ikizungusha moto ya kuzaa umeme ikatoa umeme volt 500

Mota ya kutoa umeme A=500volt
mota ya kuzunguka B=120volt
A-B=(kuna mashine ya kuchakata na kutenganisha umeme ubaki na umeme wako) ambapo unapata 380 volt

Wataalamu wa umeme
IMG_3017.jpg

IMG_3015.jpg

IMG_3016.jpg

Wanazengo tujadili
 
Chief

JF-Expert Member
Jun 5, 2006
2,494
2,000
Siri gani ambayo na jaribu kufikilia kwangu, kila siku tuna somesha watu ila baada ya kuvuna tuliyo somesha tunavuna siasa na IQ za kuojiwa na masanja.

Kuna teknolojia nyingi ambazo dunia kama uzipinga,labda itakuja hasara kupata mapato na baishara.
Mfano mkubwa wa jenereta inayofua umeme bila kutumia mafuta, maji kwa ajili ya kusukuma au nguvu ya nyuklia na n.k

Hizi zote utumia mabilioni ya pesa na wataalamu wakila idara ilikupata nishati ya umeme.

Umeme unao jifua wenyewe ni wakushangaza sana huwezi kuisha uwezi kusema maji, mafuta sijui nini labda ukate waya tu

View attachment 1648990

Teknolojia hii kiutaalamu utengenezwa na mota ya kuzunguka + mota ya kuzalisha umeme.ambapo mekanizimu ya hiyo kama mota inaweza kuzunguka kwa volti 120 ikizungusha moto ya kuzaa umeme ikatoa umeme volt 500

Mota ya kutoa umeme A=500volt
mota ya kuzunguka B=120volt
A-B=(kuna mashine ya kuchakata na kutenganisha umeme ubaki na umeme wako) ambapo unapata 380 volt

Wataalamu wa umeme
View attachment 1648998
View attachment 1648999
View attachment 1649000

Wanazengo tujadili
Kwa akili yako, unaamini kuwa waweza kufua nishati bila ya kuwa na chanzo cha nishati?
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,290
2,000
Energy ni fixed Boss huwezi kupata Umeme bila kuwa na nishati yoyote ile.Never wewe ni layman katika hii field ili tupate nishati useful kama umeme lazima tufanye conversion

Energy ni mekanizimu mfano ndege inaweza kubeba tani na kuruka au gari kusafiri na tani nyingi wakati ikitumia mafuta sio mengi.
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,290
2,000
Energy ni fixed Boss huwezi kupata Umeme bila kuwa na nishati yoyote ile.Never wewe ni layman katika hii field ili tupate nishati useful kama umeme lazima tufanye conversion

Alafu tesla ndio ushangaza kwa nini gari zinakwenda mda mrefu zikitumia umeme.soma hii cycle electric .hata magari yetu sijui kitaalamu ila bettry uwezi kukuta limekishwa
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
2,837
2,000
Siri gani ambayo na jaribu kufikilia kwangu, kila siku tuna somesha watu ila baada ya kuvuna tuliyo somesha tunavuna siasa na IQ za kuojiwa na masanja.

Kuna teknolojia nyingi ambazo dunia kama uzipinga,labda itakuja hasara kupata mapato na baishara.
Mfano mkubwa wa jenereta inayofua umeme bila kutumia mafuta, maji kwa ajili ya kusukuma au nguvu ya nyuklia na n.k

Hizi zote utumia mabilioni ya pesa na wataalamu wakila idara ilikupata nishati ya umeme.

Umeme unao jifua wenyewe ni wakushangaza sana huwezi kuisha uwezi kusema maji, mafuta sijui nini labda ukate waya tu

View attachment 1648990

Teknolojia hii kiutaalamu utengenezwa na mota ya kuzunguka + mota ya kuzalisha umeme.ambapo mekanizimu ya hiyo kama mota inaweza kuzunguka kwa volti 120 ikizungusha moto ya kuzaa umeme ikatoa umeme volt 500

Mota ya kutoa umeme A=500volt
mota ya kuzunguka B=120volt
A-B=(kuna mashine ya kuchakata na kutenganisha umeme ubaki na umeme wako) ambapo unapata 380 volt

Wataalamu wa umeme
View attachment 1648998
View attachment 1648999
View attachment 1649000

Wanazengo tujadili
Total rubbish,hakuna kitu Kama hicho,
Ipo Sheria moja kwa wale waliosomea uhandisi wa umeme,"energy can not be created,but it can be transformed from one form to another"
Hiyo ni kanuni,inayotumika katika kuzalisha nishati,iwe ya umeme,joto,kimakanika,mwanga,nk.
Aliye waza hili,alitaka kufanya kile kinachotokea kwenye diesel engine,mfano kwenye gari,unaweka switch,kwa kutumia betri na motor,unazungusha injini,injini ikianza kuzunguka,motor na battery havina kazi Tena,lakini kinachomfsnya injini,iendelee kuzunguka,ni nishati ya kikemikali kutoka kwenye petrol au diesel inayochomwa ndani ya injini.
Battery na motor zilitumika kuanzisha huo mchakato tu,
Kwahiyo hapa,ni nishati ya kemikali inabadilishwa kuwa nishati ya mwendo/kimakenika(gari)au nishati ya umeme(genereta),
Uwezi kutengeneza nishati kutoka kwenye utupu,lazima kuwe na mabadiriko,kutoka aina moja kwenda nyingine
 
Nilijua utabisha nenda youtube ukaone hizo project uje kurudia tea kueleza.ndio maana kuna kitu project kama sio biashara ni kama serekali isiwe na kodi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom