Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,041
- 4,297
Habari za wakati huu ndugu zangu watanzania na wasio watanzania, Mlioko ndani ya mipaka ya kisiwa Cha Amani au Nje ya Kisiwa Hiki.
Nianze na musema poleni kwa msiba wa Kiongozi wetu pendwa.! Tulimpenda ila Muumbaji wake kampenda zaidi.
Ngoja niende kwenye hoja..! Mzee Magu kipindi cha uhai wake kama Rais alikuwa analindwa kwa kila namna na Jopo la watu Makini sana...Usalama Wa Taifa.
Swali langu ni dogo tu, Kama hivi ilivyotokea waliyekuwa wanamlinda tayari ameshaitwa kwa Mwenyezi Mungu, hawa walinzi wake wanapangiwa majukum memgine au inakuwaje..!??
Naomba unisaidie kama unalo jibu ila kama huna si vibaya ukamuita anayefahamu mambo haya ya Protocol