Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Wasalaam Juzi nilipata kupitia nyuzi fupi ya bwana ndege JOHN , Aliyojaribu kuuliza kuhusu Dragons, kwa namna moja ama nyingine nimeshindwa kuiattach hapa. Lakini nikaona si mbaya nami...
12 Reactions
40 Replies
12K Views
Wasalaam, Naomba kujua tofauti Kati Ugaidi na Uajsusi,hasa kwenye vitendo. Kwa mfano watu wa nchi moja wakie da nchi nyingine na kumuua mtu Fulani wa nchi nyingine,nchini kwake ama akiwa nchi...
5 Reactions
33 Replies
6K Views
Wana Jamii wa humu natumaini hamjambo kabisa, napenda kuuliza huvi, ikitokea msafara wa Rais unapita halafu ikatokea ambulance inamgonjwa kutoka sehemu flani inampeleka hospitali, je, nani...
1 Reactions
31 Replies
9K Views
The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru. Ninakushauri uanze kwa kusoma thread hii...
3 Reactions
103 Replies
13K Views
UZI HUU SIO WA KIDINI LICHA YA KWAMBA IMETUMIKA MIFANO KUTOKA KWENYE VITABU VYA DINI, HIVYO NAOMBA USIPELWKWE KWENYE JUKWAA LA DINI. Waislamuini Korani na Wakristo wanaiamini Biblia, wote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sayansi haisemi uongo, Ila uongo unaweza kujitengenezea sayansi yake. Uchunguzi wa kimahakama wa matukio ya uhalifu ni uchunguzi wa kisaynsi unaolenga kukusanya ushahidi usio na shaka na kisha...
19 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari wanaJf, nizame straight kwenye mada mtanisamehe kwenye uhandishi mbovu dhumuni content ifike na tujadili. Tukiwa kama binadamu wote tumeumbwa na choyo na ubinafsi ya kiasi ndani yetu...
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Ukiwa unatembea, wenzako wanakimbia, ndivyo naweza kusema kwa lugha ya haraka kutokana na teknolojia inavyotupa picha kuwa siku moja binadamu ataweza kupika akiwa safarini au kupaa kwa kutumia...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
"I am your god and teacher.I am the devine way,the torch that lights up the dark.There is no god but Ali solih." Haya ni maneno yake marehemu Ali solih aliyekuwa raisi wa Visiwa vya...
13 Reactions
25 Replies
7K Views
Kuelekea mwishoni mwa vita ya pili ya dunia 1945 , vita upande wa Ulaya ni kama ilikuwa imeisha, hata hvyo upande wa Pacific ndo ilikuwa inashuhudiwa pambano kubwa zaidi kuwahi kutokea , kisiwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Immortality haina maana ya kwamba kutokufa kabisa, bali kuishi miaka mingi/kurefusha muda wa kuishi. Kiumbe anaye ishi maelfu au mamia ya miaka kwenye ulimwengu, basi huyo kiumbe anakuwa ame...
5 Reactions
38 Replies
6K Views
MTU anaishi baada ya kufa? Mara nyingi kume kuwa na mafundisho mengi ya upotoshaji, nazaidi wengi wao wakifanya kama alivyo Fanya shetani kutumia maandiko matakatifu kumjaribu Yesu mwanawa Mungu...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Je mauaji yanayodhaminiwa na serikali yanaweza kutumika kama mkakati? Na mauaji kama hayo yanaweza kukubalika kweli? Serikali hazikubali hilo, lakini wanasayansi wa nyuklia wa Iran wanajua...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Tafadhali naomba wajuvi wa mambo wanijuze kuhusiana na hili, hivi hili sanduku la agano lilikuwa na nini ndani yake na madhumuni yake yalikuwa nini? Kwa nini Makuhani ndio waliolibeba na wengine...
2 Reactions
134 Replies
17K Views
1960s KGB CLOAK-AND-DAGGER SEXPIONAGE SPARROWS WITH LOVE FROM MOSCOW: Kisa cha Balozi Malaya wa Ufaransa na Majasusi wa Kike wa Russia (Femme Fatales) Ninakushauri uanze kwa kusoma kwanza makala...
9 Reactions
61 Replies
15K Views
Kila mwanadamu ni sehemu moja ya muundo mkubwa, wa milele - gia za kibinafsi katika saa ambayo haina mwisho. Ingawa hauwezi kuelewa kabisa kusudi lako, sehemu yako ni muhimu kama wafalme na malkia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Two letters from father of four, lament his separation from his family - and warn others about the danger of drug trafficking to Hong Kong. 2021 - Letters from Southern African inmates Jan 30...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugai asiposikia tena hili ndo basi tena. Sauti ya leo ni sauti ya mwisho na asipoelewa atakuwa na tatizo la akili. Wananchi wamesema kwa muda mrefu, wataalamu wamesema, viongozi wa dini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mnamo mwaka 1803 katika kisiwa cha Mtakatifu Simon (St. Simon Island) Kundi wa watu wa kabila la Igbo kutoka Nigeria waligoma na kuanzisha vurugu ndani ya jahazi ambalo walikuwa wakisafirishwa...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom