Wakuu najaribu tu kuwaza kama heading inavyojieleza, tunalala na tunaamka viumbe wote hai lazima walale tena usingizi wa kutojitambua na pasipo kujua chochote kinachoendelea juu yao.
Kuna...
Habari zenu
Nina maswali ambayo kwa uwezo wa fikra zangu nimeshindwa kuyapatia jibu ,nimeamua kuyaleta kwenu najua siwezi kukosa jibu, maswali yanahusiana na imani zaid
NOTE: usilete utani tupo...
Let's dive in a non spiritual world/ physical one, the world of Newton's laws, the world of wanyonge and wasakatonge.
Does randomness defy creationism? If it doesn't, then how can you explain the...
Mark my Word : “Livafan”
Mheshimiwa kafanya mambo Mengi sana ya kupigiwa mfano kama kama kiongozi wa Taifa letu;-
Hayati Dkt John Pombe Magufuli nina imani na ninaamini kanisa la Tanzania...
Hii picha nimekua nikiitazama mara kadhaa sijaipatia majibu ...........
Nimepnda ku share ili wajuzi muweze kunifafanulia hii picha inamaanisha nini.....
Mwandishi alikusudia nini.......
HIVI BAADA YA SHETANI NA BIBLIA KUCHAPISHWA HAKUNA MALAIKA MWINGINE ALIYE ASI TENA MBINGUNI MPAKA SASA?
Hivi dunia iliumbwa kabla ya shetani kutolewa mbinguni au baada ya shetani kutolewa...
Leo sitoenda mbali sana katika mifano yangu japo sitokuwa jirani sana bali ntawapa soga landana sana na ardhi ya ukwasi,
Bila ajizi waweza dhani waelewa vingi vya sirini lakini vile vya upenuni...
Ukiangalia vumbuzi zote Duniani ni njema, nzuri kwa ajili ya kufanya maisha si tu kuwa mepesi bali bora zaidi. Hakuna uvumbuzi ambao umefanyika duniani ambao ni mbaya.
Kinachokuwa kibaya ni...
Kiukweli wanaojiita hawaamini uwepo wa Mungu hawajui wanachokitafuta.Na shida ni kwamba wanaowajibu pia hawajui wanachokijibu.
.
Uwepo wa Mungu upo ndani ya Mtu. Na ili Mungu awepo kwako ni lazima...
Amani iwe nanyi.
Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa...
Tafadhali ongozana nami kwenye tafakuri hii. Kwa nini katika miili ya viumbe hai kuna kuna ute ute ambao huwa katika formula ya kunata, kuvutika au kuteleza iwe ni mate, shahawa, kamasi, jasho...
OPERESHENI BARRACUDA ILIVYOMUUA LUMUMBA - 01
Alhamisi ya Juni 30, 1960, Congo ilijipatia uhuru kutoka kwa Ubelgiji. Waziri Mkuu Patrice Emery Lumumba akiwa na miaka 35, akawa kiongozi wa jamhuri...
Nimepitia sehemu mbalimbali kuhusu Madiba(Mandela) baada ya kutoka gerezani wanadai kuwa mandela halisi Alisha kufa gerezani aliyetoka Ni GIBson Makanda na sio Mandela ila walimfanyia kitu...
UKWELI KUHUSU MAISHA YA MBELE YA BINADAMU.
Na: @justtalker
Binadamu tunaishi leo, lakini kila mwaka ulioko mbele ambao utauishi, tayari una maisha yake, yaani upo kila mwaka wa mbele ambao...
UTANGULIZI
Toka kilipoandikwa mwishoni mwa karne ya 6KWK, sanaa ya vita ni moja ya vitabu vya kale na maarufu sana kuhusu mbinu za kivita. Kitabu hiki kiliandikwa na Sun Tzu, huyu alikuwa alikuwa...
Vipande vya ngozi vilikuwa na maandiko kutoka kitabu cha nane na cha mwisho cha kitabu cha Waebrania
Mabaki ya machapisho ya Biblia ya kale imepatikana katika kile maafisa wametaja kuwa "uvumbuzi...
Kwanini vitu vinadondoka?
Hili swali kwa muda mrefu nilikua nalichukulia poa (take for granted) lakini sasa nakili kuwa ni moja kati ya maswali magumu zaidi kuwahi kuulizwa na binadamu.
Ukiacha...
Maisha yote ya mtu hayatenganishwi na yanategemea imani. Kwa maneno mengine, maisha ni imani. Ye yote anayeishi duniani maisha yake ni imani yake.
Hatahivyo, swali ni kwamba imani ni nini? Imani...
Kabla ya kuwapo UKIMWI magonjwa yaliokua yanasumbua ni Degedege Pepopunda na mengine ambayo hivi sasa yote yana Chanjo kama Polio.
Ukimwi ulivyoingia miaka ya 80 ndio ulikua ugonjwa tishio na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.