Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Ifahamu TISS Madhumuni, kazi na nguvu yao juu ya usalama wa nchi, Angalieni hapo kwenye vipengele vya nguvu zao na limitation zao, Kwa ufupi ni lazima wapate approval ya polisi au wizara...
5 Reactions
79 Replies
94K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu watanzania na wasio watanzania, Mlioko ndani ya mipaka ya kisiwa Cha Amani au Nje ya Kisiwa Hiki. Nianze na musema poleni kwa msiba wa Kiongozi wetu pendwa...
12 Reactions
107 Replies
18K Views
Lini haswa tulianza kuwahesabu wanawake na watoto kwenye mambo ya Mungu na mengineo ya msingi? Tukirudi nyuma hata idadi ya waliolishwa mikate na Yesu, watoto na wanawake hawakuwepo kwenye ile...
9 Reactions
133 Replies
20K Views
Mimi sina uzoefu wa uongozi wa kiserikali lakini nikiwa mume mwenye wake wanne nina uzoefu sana na mambo yanavyokwenda majumbani mwetu. Raisi au mfalme ni mtu mkubwa katika taifa lolote lakini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasaalaam, Anubis ni mungu wa Misri Huyu alikuwa mungu wa utunzaji wa maiti na maisha ya baadaye na pia mungu wa walinzi wa roho zilizopotea na wanyonge. Yeye ni mmoja wa miungu ya zamani zaidi...
6 Reactions
36 Replies
5K Views
George Stinney Junior alikuwa na umri wa miaka 14 tu wakati korti ya South Carolina ilimhukumu kifo. Aliuawa siku tarehe, 16 Juni, mnamo 1944, kijana wa mweusi mmarekani alikuwa mtu mdogo kabisa...
9 Reactions
39 Replies
6K Views
CHARLIE CHARLIE IS DEMONIC CHALLANGE Wassalam Nadhani tumeishuhudia sana hii challange vijana wakiicheza katika siku hizi hapa nchini kwetu imeibuka kasumba ya hii challange ya Charlie Charlie...
2 Reactions
68 Replies
10K Views
Inafahamika kwamba usalama wa taifa au secret service kwa kimombo ni moja ya kitengo kinachofanya kazi zake kwa siri mno, hii ni kutokana na majukumu waliyo nayo juu ya taifa lakini pia na aina ya...
19 Reactions
77 Replies
22K Views
Kwakuwa Usalama wa Taifa ni kama kinyonga wanafiti popote,basi wangevaa uniform za shule ya msingi na sekondari na kuingia madarasani kama wanafunzi ilimradi tu wawe wanajulikana na walimu ili...
7 Reactions
19 Replies
4K Views
Katika dunia ya leo mataifa hayategemei tu majeshi ya nchi peke yake bali pia taasisi za kiintelijensia zinazosimamia usalama wa taifa na kulilinda dhidi ya vitisho vya ndani na nje ya nchi. Kwa...
25 Reactions
141 Replies
31K Views
Dunia hufanya mizunguko ya aina mbili;hujizungusha kwenye mhimili wake pia wakati huo huo hulizunguka jua.(Earth rotation and revolution). Dunia inapojizungusha kwenye mhimili wake, huwa tunapata...
11 Reactions
11 Replies
5K Views
Pesa ina historia ndefu sana lakini leo napenda tujadili status iliyonayo pesa leo. 1. Pesa kama pesa haina thamani yeyote, ni makaratasi tu. Thamani ya pesa inatokana na wananchi kuamini kuwa...
10 Reactions
44 Replies
5K Views
Dhana ya uwepo wa kitu cha siri imeghubika nembo za kwenye sarafu na kufanywa kuwa ishara au alama inayoonekana. Alama ya 'Jicho' - hili ni jicho ndani ya umbo la pembe tatu - ni moja ya alama...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wana JF, nadhani mko poa sana,niko hapa kuomba ushauri wenu juu ya changamoto nayokutana nayo,nilipokuwa nasoma advanced secondary school bording, nilipoanza form five baada ya kupita miezi...
10 Reactions
187 Replies
40K Views
Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani. Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa...
24 Reactions
49 Replies
12K Views
Nina imani tu wazima wa afya, leo katika kuwaza na kuwazua akili ikanituma kufikiria juu ya kuenea kwa mila na tamaduni za kiyahudi (waisraeli),kiarabu na kihindu duniani kote bila kukumbana na...
1 Reactions
3 Replies
860 Views
Israeli space chief says aliens may well exist, but they haven’t met humans After retired space pioneer Haim Eshed claims aliens visited Earth, made deals with people, Isaac Ben-Israel says he...
8 Reactions
68 Replies
9K Views
Kikawaida na imezoeleka hivyo Mandela kuonwa kama shujaa wakiafrika ila ukweli makabulu wanacheka sana, katika hili shirika la kijasusi la kikaburu boss limeonekana shirika bora kwakuweza kulinda...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu habari Hii kitu nimeiona kwenye Uzi mmoja hivi nikaona sio mbaya kuja kuuliza kupata ufafanuzi zaidi. Lina faida gani katika ulinzi wa Rais na mambo mengine
2 Reactions
69 Replies
13K Views
Unaweza kufikiria ilikuwaje mtu ambae hajawahi kuishi kupata mtoto? Familia moja huko marekani ilipata mtoto na baba alipoamua kufanya kipimo cha DNA majibu yalimshangaza Hakuwa baba wa mtoto...
9 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom