griffin griffith
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 549
- 440
Salamu
1. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiambiwa kwamba ndege hazivuki bahari ya pacific!
Hili kwanza nataka kujua kama ni kweli ndege hazikatishi hii bahari! Kwa mtu yoyote anayefahamu hili anisaidie, kama lina ukweli wowote hapa
2. Nilipoendelea kudadisi kwa wale ambao wanasema ndege hazipiti hapa! Nilipewa sababu kama mbili Lakini kwa makundi mawili tofauti!
KUNDI A
Hili kundi wanasema ndege hazipiti hili eneo kwa sababu ya hili eneo lina mlango wa kuenda kuzimu! Hivyo ndege nyingi pamoja na vyombo vingine vya baharini vya usafiri vimekuwa vikipotea sana hapa!
Yaani naambiwa kuna kesi nyingi sana za kupotea kwa ndege na vyombo vingine kama meli kwenye eneo hili kwani inasadikika kuwa kuna mlango wa kuzimu!
Hili pia naomba kufahamu undani wake kwa walio na taarifa zaidi(data)
KUNDI B
Wanasema ndege hazivuki hili eneo kwa sababu ukivuka hili eneo(straight lane) hii njia ni ndefu kuliko ukipita pembeni ya bahari(curvature lane)
Straight way
Curvature way
Hebu tuliza akili kidogo! Wanasema straight way is longer than curvature way! Hapa sijakosea kutokana na maelezo Yao!
Hata Mimi nilijua straight way itakuwa shorter than curvature way! Lakini wao walisema si kweli! Bali straight way is longer than curvature way kwa sababu Dunia si flat Bali ni duara ( spherical).
Yaani wanasema kama dunia ingekuwa flat basi straight way ingekuwa shorter than curvature way and vice versa is true!
Hivyo kutokana na ukweli huo! Ndege hazivuki hii bahari maana straight way ni ndefu hivyo wanaepusha mambo yafuatayo.
1. Kutumia muda mrefu
2. Emergency ikitokea kama ndege kuongezewa mafuta ni ngumu kushughulika
3. Safari ni ndefu
Hivyo kwa yoyote anaejua ukweli nakaribisha mawazo juu ya hili
Asanteni nawasilisha