Je, ni kweli kuwa uvumbuzi ni fumbo?

Undava King

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,140
5,231
Mimi ni nani? Pasina shaka sifahamu, Je huyu anayeongea ndani yangu ni nani?

La! nahisi ni akili au nafsi au roho ama tuko binadamu wawili katika mwili mmoja yaani mmoja anaongelea nje(kwa sauti)na mwingine ndani,pengine huu mwili ni kasha tu ndani yake wameinstall program inayojiratibu yenyewe, au yawezekana ni sauti ikaayo ndani ya mwili kiufupi sina uhakika.

Nimewaza vyema lakini nimewaza mambo magumu na makubwa sana, nilipaswa kuwaza kidogo tu kwa yale madogo na ningeweza kuwa chachu ya mabadiliko katika ulimwengu huu, hivi kwanini badala ya kujiuliza mimi ni nani, nilitokea wapi, lipi ni kusudi la uwepo wangu nakadhalika.

Nisijiulize juu ya yale yaliyowezekana kwa akili za mwanadamu; kwanini kompyuta iundwe ikiwa na processor, hard disk,vihifadhi kumbukumbu,window n.k,

kwanini gari liundwe namna hii mfano liwe na mifumo ya umeme, maji, mafuta, lisukumwe na pressure ndogo sana ya pedeli n.k

Ndege yawezaje kupaa,meli yawezaje kuelea, internet, network inafanyaje kazi,ala za sauti zilitengenezwaje, mtetemo upelekeao sauti unafanyikaje n.k

Bila shaka maswali ya namna hii ni lukuki na hayana maana yeyote mbona vyote hivi tiyari vina majibu na uthibitisho wa kisayansi na karibia vyote nimevisoma na nimevichunguza na kuvitumia tiyari na hivyo sioni jipya lakujiuliza hapo.

Ni kweli niwazavyo niko sawa kabisa, lakini kwanini wawe ni wengine tu ndo wavumbuzi na waanzilishi wa vitu hivi na siyo mimi?

Kwani kipi nimefichwa mpaka isiwe mimi na awe mwingine?

Ila kama siyo mimi kwani ugunduzi huu wanamfanyia nani?

Na je kama wanavumbua vitu ile sense ya kiweje na kitumike vipi au kwa sababu gani huwa wanaitoa wapi?

Je, kabla ya kuamua kiweje hicho walichovumbua akilini mwao nini huwa kipaumbele chao?

Mathalani wanayemuwazia siyo mwingine ni mimi, kuwa kama ni chombo nitakiendesha vipi, dawa niitumie vipi,teknolojia niitumie vipi nakadhalika.

Hivyo yawezekana mimi ndiye chanzo cha uwepo wa vitu vyote vilivyo na vinavyoendelea kuvumbuliwa.

Na pengine kupitia mimi vifaa na vitu hivi ufanya kazi sawasawa na ufatisho bandia/usiyo halisia wa mwili wangu ufanyavyo kazi kwa kuwekewa mifumo iliyoigilizia tabia,mifumo,mijongeo,fahamu na hisia ndani na nje ya mwili wangu.

Sasa kwanini vivumbuliwe vifaa hivi katika mifumo inayoelekeana na sifa za mwili wangu na vifanye kazi kweli japo si katika asilimia mia sawa na ninavyopumua automatic,kutenda ama kufikiri.

Bila shaka mvumbuzi hawezi kuvumbua nje ya upeo wa kile anachofahamu kujihusu yeye na mazingira yake ya ndani sawa sawa na yale ya nje ya mwili wake.

Aghalabu nimekuwa nikizingatia mazingira ya mwili wangu kwa nje na kidogo sana ya ndani ila pia kwa kuwa nilisomea mambo ya udaktari basi hapo unifichi kitu kwenye ufahamu juu ya mwili wa kiumbe hai.

Ila je, nimarangapi nimewahi kufikiri kuwa mkono wa mwanadamu nikiuchunguza kwa umakini na unavyofanya kazi naweza vumbua katapila lenye mfano wa kijiko kikubwa kama mkono litumiwe na mainjinia kwenye shughuli zao?

Je, kama mwili wa mwanadamu unatumia maji(kujipooza),nishati nguvu/umeme(kujiendesha),damu=mafuta(kusambaza hewa na

chakula),ubongo+moyo+n.k(mifumo au parts za injini), mishipa (sawa na mirija na pipe zakupitisha fluid)ute ute na vilainishi kwenye maungio na sehemu laini=oil na greese, kutoa taka mwili=moshi n.k
kwanini niendelee kujiuliza kuwa aliyetengeneza gari aliwaza nini kwanza?

Bila shaka huu ni mfano mdogo tu kati ya vingi alivyovumbua na anavyoendelea kuvumbua mwanadamu vyote uanzia katika akili yake kujitafakari alivyo ndipo hapo wazo uja la kuunda chenye ufanano nae kufanikisha lengo lililokusudiwa.

Hivyo basi nikiamua kubadili chochote au kuja na jambo jipya katika mazingira yangu nisikimbilie nje ya mazingira ya mwili kwanza nikidhani ntaweza unda au kuratibu chochote bali sina budi kuanzia ndani yangu ndipo penye ukweli na uhalisia wa kile ninachokifanya.

Nimejifunza kuwa asili ya vyote ipo ndani yangu na kile kionekanacho nje nimatokeo ya ufahamu au dhamira ya ndani kunihusu, hivyo nilichofichwa siku zote ni kuwa nikijitafakari mimi kwanza nikagundua kisha nikaoanisha na mapungufu yangu katika mazingira ya nje, hakuna cha kunizuia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nyuzi kama hizi si rahisi kupata wachangiaji wengi, kwa sababu binaadamu hatujafunzwa kujitambua sisi ni nani kiuhalisia,tukizaliwa tunaambiwa tu kuwa sisi ni binadaamu na chanzo chetu kimejengewa hadisi za adam na hawa/eve ambazo zipo kwenye dini zilojengewa vitisho vikubwa sana ili tuamini kila kitu tunachofundishwa tukiwa watoto,kwa hio tunaishi miaka yote duniani hatujitambui wala hatujui tuko wapi kiuhalisia,hatujui tunatokea wapi au tuna kwenda wapi baada ya kufa,Kwa ufupi kiuhalisia banadamu sote tumepotezwa mbali sana na hali halisi ya kila kitu,tunaishi kwenye mtandao wa uongo.

ukianza kujiuliza wewe ni nani wenzako wataanza kukuona akili zinaanza kukuruka,

umeeleza mambo mengi sana pingine baadae ntarudi kutengeza ufafanuzi zaidi
 
Qur-an Suraya 15 ina kupa Mwangaza.
MAJIBU NIMEPESI SANA TUU
KUNA ALIYEMUUBA BINADAMU ILI AWE NA UWEZIO WA KUVUMBUA KWA KUMPA AKILI na hapa nalazimika upige goti na usujudu kwa aliyeumba kila kitu.
MUNGU KASEMMA
23. Na Sisi ndio tunao huisha na tunao fisha. Na Sisi ndio Warithi(tuavimiliki vyote baada ya mwanadamu kuacha ulimwengu na kufa.). 23

24. Na tunawajua walio tangulia katika nyinyi, na tunawajua waliotaakhari. 24

25. Na hakika Mola wako Mlezi ndiye atakaye wakusanya. Hakika Yeye ni Mwenye hikima na Mjuzi. 25

26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. 26

27. Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto. 27

28. Na Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Hakika Mimi nitamuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. 28

29. Basi nitakapo mkamilisha na nikampulizia roho yangu, basi mumwangukie kumsujudia. 29

30. Basi Malaika wote pamoja walimsujudia, 30

31. Isipo kuwa Iblisi. Yeye alikataa kuwa pamoja na walio sujudu. 31

32. (Mwenyezi Mungu) akasema: Ewe Iblisi! Una nini hata hukuwa pamoja na walio sujudu? 32

33. Akasema: Haiwi mimi nimsujudie mtu uliye muumba kwa udongo unaotoa sauti, unao tokana na matope yenye sura. 33

34. (Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni! 34

35. Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo. 35

36. Akasema (Iblisi): Mola wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watapofufuliwa. 36

37. (Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika walio pewa muhula 37

38. Mpaka siku ya wakati maalumu. 38

39. Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote, 39

40. Ila waja wako walio safika. 40

41. Akasema: Hii Njia ya kujia kwangu Iliyo Nyooka. 41

42. Hakika waja wangu, wewe hutakuwa na mamlaka juu yao, isipo kuwa wale wapotofu walio kufuata. 42

43. Na bila shaka Jahannamu ndipo pahali pao walipo ahidiwa wote. 43

44. Ina milango saba; na kwa kila mlango iko sehemu walio tengewa. 44

45. Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na chemchem. 45

I
46. (Wataambiwa:) Ingieni kwa salama na amani. 46

47. Na tutaondoa chuki iliyo kuwamo vifuani mwao, wawe ndugu juu ya viti vya enzi wameelekeana. 47

48. Humo hayatawagusa machofu, wala hawatatolewa humo. 48

49. Waambie waja wangu ya kwamba Mimi ndiye Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu. 49

50. Na kwamba adhabu yangu ndio adhabu iliyo chungu! 50
 
Hata maandiko yako bado hayajitoshelezi.
 
Aya ya 39, 43 na 45
 
Asante kwa majibu mkuu, ila ujanijibu ipasavyo, mimi sipingi juu ya uwepo wa Allah au Mungu na existence yangu duniani na wala sifikirii kujiuliza maswali magumu ya namna hiyo ambayo mwisho wake majibu sitopata zaidi ya kuamini au kutishwa na stori za jehanamu.

Badala yake nimetafakari jambo rahisi tu inakuaje wengine wawe na kipawa cha kuvumbua especially hawa watu wenye ngozi yenye rangi nyeupe na isiwe ni sisi na wewe?
Ukisema Mungu ndiye aliyetupa akili na kipawa cha kuvumbua wenda uko sawa.

Ila je, ndani ya hiko kitabu kitakatifu cha imani kina majibu yanayojitosheleza juu ya namna ambavyo uvumbuzi utokea hapa duniani?

Au kinatupa mbinu mbadala wa namna ya kufanikisha uvumbuzi?

Ama kinaelekeza tukae tuabudu nakuamini tu nae mwenye uweza atatuvumbulia?

Na kama ndo hivyo mbona wenzetu wanasonga kwa kasi sana licha ya kwamba wote tunamwomba Mungu mmoja au wenzetu labda wana imani kubwa kutuzidi?
 
Swali zuri
 
Qur-an Suraya 15 ina kupa Mwangaza.
MAJIBU NIMEPESI SANA TUU
KUNA ALIYEMUUBA BINADAMU ILI AWE NA UWEZIO WA KUVUMBUA KWA KUMPA AKILI na hapa nalazimika upige goti na usujudu kwa aliyeumba kila kitu.
MUNGU KASEMMA
23. Na Sisi ndio tunao huisha na tunao fisha. Na Sisi ndio Warithi(tuavimiliki vyote baada ya mwanadamu kuacha ulimwengu na kufa.). 23

24. Na tunawajua walio tangulia katika nyinyi, na tunawajua waliotaakhari. 24

25. Na hakika Mola wako Mlezi ndiye atakaye wakusanya. Hakika Yeye ni Mwenye hikima na Mjuzi. 25

26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. 26

27. Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto. 27

28. Na Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Hakika Mimi nitamuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. 28

29. Basi nitakapo mkamilisha na nikampulizia roho yangu, basi mumwangukie kumsujudia. 29

30. Basi Malaika wote pamoja walimsujudia, 30

31. Isipo kuwa Iblisi. Yeye alikataa kuwa pamoja na walio sujudu. 31

32. (Mwenyezi Mungu) akasema: Ewe Iblisi! Una nini hata hukuwa pamoja na walio sujudu? 32

33. Akasema: Haiwi mimi nimsujudie mtu uliye muumba kwa udongo unaotoa sauti, unao tokana na matope yenye sura. 33

34. (Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni! 34

35. Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo. 35

36. Akasema (Iblisi): Mola wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watapofufuliwa. 36

37. (Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika walio pewa muhula 37

38. Mpaka siku ya wakati maalumu. 38

39. Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote, 39

40. Ila waja wako walio safika. 40

41. Akasema: Hii Njia ya kujia kwangu Iliyo Nyooka. 41

42. Hakika waja wangu, wewe hutakuwa na mamlaka juu yao, isipo kuwa wale wapotofu walio kufuata. 42

43. Na bila shaka Jahannamu ndipo pahali pao walipo ahidiwa wote. 43

44. Ina milango saba; na kwa kila mlango iko sehemu walio tengewa. 44

45. Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na chemchem. 45

I
46. (Wataambiwa:) Ingieni kwa salama na amani. 46

47. Na tutaondoa chuki iliyo kuwamo vifuani mwao, wawe ndugu juu ya viti vya enzi wameelekeana. 47

48. Humo hayatawagusa machofu, wala hawatatolewa humo. 48

49. Waambie waja wangu ya kwamba Mimi ndiye Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu. 49

50. Na kwamba adhabu yangu ndio adhabu iliyo chungu! 50
Nasisi ndio tunaohuisha na tunaofisha ... Maneno ya Mungu katika quran hayo .... Je wako wangapi ?? Kwasababu sisi ipo katika wingi ..
 
🙏🙏🙏
 
Ujinga mtupu , Watu wanadiscus vitu vyenye mantiki wewe unaleta mahubiri ,
 
Nasisi ndio tunaohuisha na tunaofisha ... Maneno ya Mungu katika quran hayo .... Je wako wangapi ?? Kwasababu sisi ipo katika wingi ..
Hiii !!! Ndio umejibu Nini Sasa !? Kama hiyo Qur'an ingekuwa Ni jibu la ufumbuzi na gunduzi mbali mbali za kisayansi na technology mbona haitumiki Kama source ya hizo gunduzi!?
 
Aisee.tumefichwa vitu vingi sana na watu weupe,😀😀,hata ikitokea tukafahamu jinsi ya kuvumbua vitu mbalimbali bado watatuwekea vikwazo.

Inasikitisha Sana !
 
Back
Top Bottom