The Power of Meditation ni njia nzuri ya kuwa na Deep Understanding Capability

FAHAD KING

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
301
373
Habari wana JF,Husikeni na kichwa cha habari hapo juu.Binafsi ni mmoja kati ya watu wanaopenda kusoma vitabu viwe vya Novel,Self Awareness,Ujasiriamali au Historia vyote vyote,chochote nitakacho kutananacho huwa nasoma bila mpangilio ili mradi nimalize na kama kuna madini basi niyapate

Lakini hii kitu huwa ni very Confusing unaweza kuwa umepata madini mengi lakini bila mpangilio basi mengine utaona ni kichefuchefu tu au unaweza pata mengine hayana tija kabisa.

Nimegundua kitu
Juzi juzi kwenye mihangaiko yangu pale Mlimani City kuangalia vitabu fulani flani nikakutana na Mzee Mmoja hivi makamu wa umri kuanzia 50-60.Kwangu ni mkubwa tena sana kwa sababu naingia mara mbili ya nusu ya umri wake huo

Tulikuwa tunaangalia wote vitabu lakini cha kushangaza yule mzee hakutaja kitabu alichokuwa anatafuta zaidi ya kuulizia "Kuna kitabu kipya nichukue? " How Comes Nilishngaa sana.Kulikuwa na vitabu zaidi ya 200 yeye anaulizia kitabu kipya? Ina maana vingine ameshamaliza kusoma? Duh!! Ilibidi nikune kichwa kwanza.Kila nikiangalia Vitabu naona vingi sijasoma na kwa haraka haraka kama vilikuwepo 200 basi 199 sijasoma kabisa.Yule mzee anatumiaje muda wake? Ilibidi nimuulize maana ukimya haujengi hata kidogo

Nikamuuliza "Samahani mzee ina maana vitabu vyote hapa ushasoma?"
Mzee akanijibu "Ndio na ndio maana nimeuliza kama kuna kipya kingine nichukue nikasome"

Nikafikiria kuhusu muda wa yeye kujisomea.Ikabidi nimuulize "Je,Unawezaje kusoma vitabu vingi kadri utakavyo?"
Bila hiyana yule mzee akanijibu "Usomaji wa vitabu kwangu ni kitu cha muhimu sana.Ni kitu Continously kwenye daily Routine wala sio pale unakuwa Bored ndo unafungua karatasi za vitabu ndo uanze kusoma.Kati ya watu wanaopenda kusoma vitabu basi na mimi nimo.Nina vitabu vingi kuliko hata nguo zangu mwenyewe.Kabati zangu zimejaa vitabu kuanzia chumbani mpaka dining room sema bafuni tu sijaweka kwa sababu ya uwepo wa maji lkn isingekuwa basi hata humo vingekuwepo

"Asikwambie mtu vitabu vinajenga sana.Unajua nimewatazama wengi wanaonunua vitabu lkn nimegundua kuna kitu hawana kwenye bongo zao nacho ni mpangilio wa kusoma.Wewe umekuja kuangalia kitabu kinahusu nini? In fact ukikisoma una expect nini au upate facts zipi? Je hujui nini ndo maana unasoma hiko kitabu?

Kwanza unajua kuna utofauti mkubwa kati ya Bestselling Author na Best Author? Kwa Best Author ogopa sana hawa watu kwani wanafanya Research zaidi ya miaka mingi ndo huja kuandika kitabu tofauti na hawa Bestselling author's.Best Author's huingia Deep Investigation ili kukufanya wewe uwe na Deep Learning ya kitu ndo maana linakuja hilo swala tofauti ya Bestselling author ambayo huandika vitabu bila Research

Je huwa unapenda vitabu vya aina gani haswa?

Nahitaji wewe ujue neno Deep Understanding of something.Wengi wetu tunasoma vitabu lakini hatujui lengo kuu la mwandishi ni nini.Mtu unaweza maliza kusoma karatasi za kitabu lakini unatoka kapa usijue mwandishi kalenga mada ipi kama kusudio lake.Binafsi napenda kusoma Vitabu kuhusu Meditation

Utawezaje kujua Lengo la Mwandishi kwenye kitabu?

Inabidi nikupeleke mbali sana kijana wangu.Ninaposemea Meditation nina maanisha The Power Of Meditation na umuhimu wake.Umeona hiki kitabu (nakiambatanisha Kinaitwa Mindfull Work?)

Ni kitabu kinachoelezea nguvu ya Meditation.Ngoja nikupe mfano unaweza ukawa bado hujanipata vizuri kuhusu The Power Of Meditation.Thomas Edison Mgunduzi wa Bulb ambayo imefanya ulimwengu kuwa kwenye civilized form kabla ya kugundua hicho kitu alikuwa jailed.Hebu fikiri mtu yupo Jela kwa miaka 7 aliwezaje kugundua Bulb? Basi hii ni nguvu ya Meditation.Alikuwa ana meditate kadri ya uwezo wake ndipo hiki kitu akaja nacho.

Hat kabla ya kugundua Ndege mzungu alikuwa tayari kashapaa angani kupitia Meditation.Kabla ya ugunduzi wa TV pia mzungu alikuwa ashaanza kufikiri kuangalia na kuangaliwa na watu wote ndipo alipogundua TV.Kwahiyo Meditation ni zaidi ya unachofikiria ni nguvu kubwa ambayo akina Einstein, Galileo, Newton, Hawking walitumia kugundua vitu na ndio huitwa Deep Learning Methods na Understanding Capability.Did you Get it?

Nadhani ishawahi kukutokea hata ww au ushasikia kwa mwingine.Ile mtu amekaa halafu baadae anakuja kukuambia kuna mtu fulani amekuja maana nimesikia kanambia kitu fulani.Chakushangaza huyo mtu wala hajaja

Ukiwa na hii Nguvu basi unaweza ongea na mtu yoyote yule kupitia Thought.Unaweza ongea na Bill Gates, Steve jobs, Elon Musk kupitia Meditation

Kwahiyo ili ujue Lengo la Mwandishi lazima uwe na Deep Understanding na hii unaipataje?kupitia Meditation in fact Train your Brain Like a Muscle

Tutaonana "

Dah!! CONVERSATION ilienda namna hiyo kwa bahati mbaya mzee hata namba zake sikuchukua kwani nilikuwa nawaza aliyonambia kwa ukaribu zaidi.The Power of Meditation? Nilijiuliza

USHAURI WANGU
Kama wewe ni msoma vitabu basi kwanza soma vitabu Ujue mbinu hii ya kuwa na Deep Understanding Capability kabla ya kujikusanyia Vitabu vya kusoma.Ukijua Meditation ina maana HATA yale mwandishi anayasema utayajua bila haya ya kupepesa macho.Nadhani unajua waandishi wanavyotumia Lugha za picha hii bila Meditation is nothing itachukua muda kuelewa ni nini anamaanisha mwandishi

Na vi attach vichache kuhusu Meditation Vitabu
Mindfull Work
Karma Yoga
The power of your subconscious mind
Vingine watakuja navyo Wakuu

Ndo nimeishia hapo
 
Hivyo hapo chini ni baadhi ya vitabu kuhusu Meditation

Mindfull Work ndo cha yule mzee
20180319_150629.jpg
20180307_145439.jpg
 
20180319_151019.jpg
 
Asante Ujumbe Mzuri Sana lkn Watanzania tulivyo wagum wa kusoma nahisi hawajakuelewa nimekuwa nakwepa Ku Meditate Tangu mwaka 2011, Inabidi nianze naona kuna madini nayakosa aisee.
 
Pole sana asee kwa kuchelewa hii kitu
Asante Ujumbe Mzuri Sana lkn Watanzania tulivyo wagum wa kusoma nahisi hawajakuelewa nimekuwa nakwepa Ku Meditate Tangu mwaka 2011, Inabidi nianze naona kuna madini nayakosa aisee.
 
Mpaka saivi kitabu changu bora ambacho nishakisoma ni The power of your subconscious mind, madini niliopata humo ni balaa. Tangu nikisome mpaka saivi nafanya meditation.
 
namshukuru Mungu niko kwenye hatua nzuri kwani nimesoma vitabu vingi pia hata mm na bado naendelea kusoma
 
Back
Top Bottom