Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

... Komandoo ni askari sugu, heavy duty machine na killing engines. Anapitia trainings nyingi za Hatari zikiwemo za kuvumilia mateso magumu ili wawe hard to crack and ku-develop mania during...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Haya madai huwa nayasikia sana kutoka kwa hawa jamaa. Sasa nina maswali kwao. Je kwanini wamefikia hatua ya kudai ya kuwa Mola muumba ni matokeo ya fikra za mwanadamu kutokana na uoga, hofu ya...
3 Reactions
493 Replies
37K Views
Katika hali ya tafakuri ya kawaida, Mungu ndiye Muumba wa vitu vyote akiwemo kiumbe binadamu! Kizazi cha binadamu hufanya watu kuongezeka kila kukicha. Ongezeko la watu na kizazi kuendelea kuwepo...
6 Reactions
66 Replies
6K Views
Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake. Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k. Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi...
2 Reactions
116 Replies
15K Views
Nawasalimu katika jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Wapendwa tumekua tukiona kwa macho yetu, kwamba Mh Rais Samia ana walinzi wenye mabunduki mazito mazito pindi anapokua kwenye tukio au...
7 Reactions
121 Replies
16K Views
Nimekutana na khabari kuwa kuan fweza nyingine za BOT zimeliwa kiajabu ajabu na kampuni yenye jina la Kiganda-Kagoda Agriculture Limited. Baya zaidi ni jinsi gani ambavyo udhaifu wa kiutendaji...
0 Reactions
538 Replies
92K Views
Habari wana g.t. Siku ya leo nimeona ni muhimu ku-share na great thinkers hiki kitandawili ambacho nimejiuliza kwa miaka mingi bila kupata hitimisho. Kitandawili hicho ni"what if life is a dream...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Tukubali tukatae kama mwanadamu angekuja miaka bilioni 2 iliyopita basi kufikia 2021,leo tungekuwa dunia ya teknolojia kubwa. Mfano kusafiri mbali nje universe,kwenda sayari yoyote na popote...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Kwanini sio pembe tatu, tano au walau umbo la duara au yai? au hata pembe sita? ================================== Update: 20/09/2021
1 Reactions
43 Replies
8K Views
1. Mto AMAZON Mto huu unapatikana Amerika ya Kusini, ni mkubwa kuliko mito yote duniani na hatari sanaa kwasababu ya urefu wake na upana wake. Kwakuwa mto huo ni mkubwa kuliko mito yote duniani...
40 Reactions
125 Replies
46K Views
Hi Guys! Katika tafiti tulizokaririshwa na kuaminishwa, ni mengi tumeambiwa na wanasayansi wanaodai wametoka nje ya dunia. Mojawapo ya mambo tuliyoambiwa ni kwamba kuna miaka Billions Light years...
10 Reactions
361 Replies
27K Views
Wanabodi, Nimekuwa nikijiuliza sana sisi tunaomwabudu Mungu wa dini mbalumbali na madhehebu mbalimbali, utakuta tunapingana kwa mengi mpaka tunatowana macho lakini likifika swala pesa hizi dini na...
4 Reactions
30 Replies
9K Views
mtu anapo kimbia bafuni bila nguo kisa ameona mende ile ni hofu lakini mtu anapo kimbia simba msituni ile ni anakimbia hatari, mtu anapo ona kisiki usiku na kuzani ni mtu ile ni hofu. Tukiweza...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
UFISADI NA BIASHARA YA FEDHA HARAMU ...Mei 1998, Andrew Chenge, akiwa mwanasheria mkuu alihalalisha (Authorized) malipo ya dola 600,000 kwenda kwenye akaunti ya kampuni iliyoitwa Langley...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimefuatilia tamko la Rais wa Umoja wa Ulaya kuhusu kuunda Jeshi la Umoja Huo. Ametoa tamko hilo jana tarehe 16/09/2021 Najiuliza huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa NATO? Au wanazidi kumbana Uingereza...
1 Reactions
7 Replies
929 Views
Salaam! Kuna kitu kinatatiza sana, hivi mtoto potential akizaliwa sehemh yoyote duniani, kuna watu hujua ujio wake? Hao watu ni nani? Je, kuna nini kinafanyika ili kumbaini na kum-trace? Wajuvi...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Ni swali ambalo nazani ni la mhimu kujiuliza kwa waamini wote
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni dhahiri kabisa pasipo uhai hakuna maisha!,kwa maana maisha ni uhai. Lakini lipo jambo moja tata kuhusu uhai!. Nalo ni kusudio la uhai. Tukijaribu kuangalia mfano wa vitu vidogo ambavyo...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari ndugu wapenzi wa JF natumai ni wazima wa afya tele kabisa na iwapo mlioko mpo katika michikariko basi ni kupambana tu na changamoto za maisha kwani hakuna njia isiyo na visiki au vilima,leo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Umbo la mwezi hubadilika na hata rangi yake, lakini tangu jadi binadamu amekuwa akivutiwa na maumbile yake. Kuna Mwezi Mpevu, Mwezi Mwandamo, Hilali na hata wakati mwezi hupatwa na jua. Hapa ni...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom