FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 449
- 408
Kifupi kabisa Freemason ni uhusiano wa moja kwa moja kati ya Mungu na wewe,kujua namna Mungu anavyotenda kazi na baadi ya siri zake na kujua dunia inavyokwenda
Wanawake wote duniani ni freemason ila wanapishana kwa madaraja vile Mungu alivyopanga,Ila wanaume ni baadhi ila kujijua wote wanawake na wanaume mpaka muda au mwaka Mungu aamue kukufunulia fumbo hill LA imani uakuna shule Ila kila nchi Vyombo vya usalama huwajua watoto wanaozaliwa kama ni Freemason na huwalea sana ila huwa siri kuu maana huja kuifanya jamii kuwa na maendeleo
Tofauti na wengine wazungu wote wakike kwa kiume huzaliwa freemason hiyo ndiyo baraka waliyonayo wanajua majira na nyakati dunia itakavyokuwa
Viongozi wengi wa dunia ni Freemason ila wapo ambao sio hivyo huwa na washauri wanaojua dunia inavyoenda mfano gadafi alikuwa mwema ila hakujua siasa ni maisha ya watu hivyo kuna mambo huachwa makusudi ili wanasiasa wapate hoja yeye akamaliza yote jamii ikawa haina cha kufanya
Utauliza nchi zenye maendeleo mbona walikuwa kama Libya kiuchumi,jibu ni kuwa yeye allwadekeza ulaya,marekani au China wanafanya kazi na alikuwa siyo bingwa wa propaganda ndio mana wao ili jamii iende wataibua mikasa kama kuungana kwa ulaya kisha mara huyu kajiondoa,vita hapa ndio wengi husema freemason huwaga damu ila ni sehemu ya siasa,wanahistory wanajua huita seriation vyuo vya juu watachambua vizuri seriation has a ktk kozi ya Archeology
Dalili za kuwa wewe ni Freemason
Kusalimiana kwa kushikana mikono au kukumbatiana mfano diamond alimsalimia harmonize kisha wakakumbatiana maana Freemason huwa wanaupendo sana ktk usiku wa watu wa kusini,pia Freemason anapotembelea mji Fulani hupendwa sana na watoto ndio mana ni vyema kutembeleana,
Kujikuta unalia kwa kuguswa na ama historian ya MTU maarufu ktk TV mfano harmonize akiwa anatenda tendo LA huruma kutoa msaada kwa wafanyabiashara unajikuta unalia au kusikiliza hotuba ya mwanasiasa unajikuta unalia kwa kuguswa na hotuba hiyo has a hotuba za Obama,Freemason roho zao huvutana na huoneana huruma
Kupenda mpira kupita kiasi au mchezo msingine kama masumbwi hii huwa kwa kipindi Fulani ktk maisha so utoto mpaka uzeeni kwani nguvu hupungua ya kushabikia kadri unavyokuwa
Kupenda kuangalia album na kujikuta unatoa machozi baada ya kumuona MTU anaekuvutia ambae Mara nyingi huwa ni freemason
Kuwa MTU wa kushangaza unaweza kuwa unaefanya vyema darasani bila kusoma masomo ya ziada au kujua kuendesha gari au pikipiki kwa kuangalia dereva anavyofanya na wewe ukajua ila utaendelea kulizoea gari baada ya mda japo mwanzo waweza yumba
Pia unaweza Leo kuwa una hela mda ukapigika baada ya kusota unapata tens loose and gain
Huwa no watu makini sana maana akikosea anaweza leta maafa ktk jamii na huwa na historian ya kusota sana kabla ili ajue anapoanza kutumika adhabu huwepo na hutoka juu mbinguni mfano hitler,,amin na kadhalika
Huwa na ufahamu wa hali ya juu so lazima awe kinara darasani ila uelewa wake huwa wa hali ya juu ni zaidi ya bongo moves,ila Maandiko yanasema Mungu ndie msanii mkuu na ndie huandaa michezo yote,God is final artist,
Miziki yote ni Freemason hata Mungj hupenda miziki ndio maana serikali zote ulimwenguni hujua hili ikitokea MTU kaaua huchunguza kama alikusudia au LA mana mengine hutokea kama adhabu MTU kakosea anapewa adhabuna huwa wanajua ila hawezi sema
Nb,wachora katuni wote,michoro ya picha na wapiga Picha ni freemason