Macheche kuhusu Shirika la Ujasusi la Marekani na namna linavyoandaa vijana ambao huja kuwa majasusi mahiri

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
haya ni maelezo ya aliyewahi kuwa mfanyakazi wa CIA, ndg. Brad Robinson.
muhitimu wa university of california ambaye kwa sasa anafanya kazi kama mchunguzi binafsi(private investigator) katika taasisi ya millennium group huko marekani.

Brad anazungumzia mazingira ambayo CIA walim-recruit na kuja jasusi mahiri wa shirika hilo.

anasema, ilikuwa ni katika mwaka wake wa mwisho wa masomo katika chuo kikuu cha california(UCLA) alipokuwa anachukua degree ya mahusiano ya kimataifa(international relations).

alipata barua kupitia mailbox yake kwamba Mr. Smith ambaye ni muwakilishi wa CIA alikuwa ametembelea mji ambao chuo kipo na atakaa kwa siku kadhaa katika hotel fulani katikati ya mji.

kipande cha karatasi kwenye mailbox yake kilisema endapo kama atakuwa interested, apige namba ya simu ambayo ilikuwa imeandikwa kwenye kile kipande cha katarasi ili kupanga ahadi ya kukutana na Mr. Smith kwa mahojiano zaidi.

japo alikuwa na mashaka, alifanya kama maelezo ya kwenye karatasi yalivyomuelekeza.

siku ya siku alienda kukutana na Mr. Smith na mahojiano yao hayakuzidi hata dakika kumi.

kwa kuwa hakuwa na uzoefu mkubwa wa kufanyiwa interview, siku alipoenda kukutana na Mr. Smith hakujiandaa kimuonekano.hakwenda saloon kunyoa ndevu/nywele, hakuvaa suruali, alivaa kaptula.kwa ujumla dress code yake haikuwa ya kupendeza.

alifanya hivyo kwa kuwa hakuupa kipaombele mkutano wake na Mr. Smith. alienda tu kama sehemu ya kupotezea mda(kuzuga).

wakati wa mahojiano aliulizwa maswali mepesi sana. aliulizwa kuhusu uzoefu wake wa kuajiriwa ambapo alijibu kwa kutoa maelezo kuhusu kazi yake ya kuwa muhudumu wa bar(bartender), pia aliulizwa ni kitu gani hupendelea kukifanya katika mda wake wa mapumziko, alijibu kwamba yeye hupendelea kushiriki katika mbio za magari za mitaani ambazo haziruhusiwi kisheria(illegal street racing).

Baada ya maswali hayo machache, mr. Smith alinyanyuka kumshukuru na kuagana naye.

brat anasema alijuwa dhahiri shairi kuwa huo ndio ulikuwa mwisho wa yeye kuwasiliana tena CIA. moja kwa moja alijiweka katika fungu la kukosa. kumbe haikuwa hivyo.

Baada ya kama mwezi mmoja hivi kupita, alipokea barua kupitia Washington DC postmark, barua hiyo ilikuwa haina anuani ya kuonyesha ilipotoka.

katikati ya barua hiyo kulikuwa na maneno machache tu ya kumpongeza ya "excellent". haikuwa na meneno mengine zaidi ya hayo.

Mwisho wa barua hiyo kulikuwa na namba ya simu ambayo alitakiwa kuipiga ili apewe maelezo zaidi kuhusu ajira yake yake na CIA.

Brad anasema huo ndio ulikuwa mwanzo wa safari yake ngumu, ndefu na yenye changamoto kadhaa iliyopelekea kupata nafasi ya kujiunga katika mafunzo maalumu ya ujasusi katika spy academy ya CIA.

kitu ambacho brat alijifunza katika zoezi zima la kum-recruit ni kwamba watu kama Mr. Smith ni majasusi wastaafu waliokwisha fanyakazi na CIA kwa mda mrefu. wamepewa jukumu la kusaka vijana wenye vipaji maalumu katika vyuo mbalimbali vya marekani.

pia alibaini kuwa, Mr. Smith tayari alisha kuwa na data muhimu huhusu yeye brat kabla hata hajakutana naye. CIA inapata data hizo kupitia mawakala wao maalumu waliopo ndani ya idara za vyuo.

pia alibaini kuwa miongoni mwa maprofesa waliomfundisha chuoni, ni agent wa CIA na ndiye aliyesabibisha akatumiwa barua kwenye mailbox yake iliyomtaka afanye mawasiliano ya kukutana na Mr Smith.
ila mpaka leo hajaweza kutambua jina la profesa huyo.

maelezo haya nimeyatafsiri kutoka katika mtandao wa Quora. karibuni tujadili.
IMG_20190215_214730.jpeg
 
Ki bongo bongo ukishakua mtoto wa mjomba tu, umelamba kazi. (Natania lakini)

Sent from my iPhone using JamiiForums
duh!!.... kwa hiyo yale mambo sijui ya kukufatilia tangu ikiwa shule ya msingi mpaka vyuo unavyoenda kusoma ni porojo tu.
 
Kuna binti flan wa ki Mormon alitokea Utah Marekani walikuja Denmark kama mishenari wa kimormon. Walinikuta Park nimetulia wakanihubiria injili. Kalikuwa kazuri kweli lakini kila baada ya miezi 3 wanabadilishwa kwenda miji mingine ila tulikuwa kwenye full contact. Pia alimuhubiria rafiki yangu.

Alipomaliza umishonari alituaga anarudi Marekani. Rafiki yangu akamuomba asirudi bila kumgegeda. Jamaa alijituma sana uwanjani kweli baada ya mechi akawa anamropokea yeye ni cia recruit.

Ila niliamini kwa sababu alikuwa anasafirigi sana China na mideast
 
Mambo vp kaka nmejaribu kkucheck ni box naona msg zinakataa samahani nina shida kidogo hapo kwako unaweza kunicheck whatssap +27784696692

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna binti flan wa ki Mormon alitokea Utah Marekani walikuja Denmark kama mishenari wa kimormon. Walinikuta Park nimetulia wakanihubiria injili. Kalikuwa kazuri kweli lakini kila baada ya miezi 3 wanabadilishwa kwenda miji mingine ila tulikuwa kwenye full contact. Pia alimuhubiria rafiki yangu.

Alipomaliza umishonari alituaga anarudi Marekani. Rafiki yangu akamuomba asirudi bila kumgegeda. Jamaa alijituma sana uwanjani kweli baada ya mechi akawa anamropokea yeye ni cia recruit.

Ila niliamini kwa sababu alikuwa anasafirigi sana China na mideast
huyo rafiki yako bado yupo hai mpaka leo?.

maana niliwahi kutazama movie moja hivi ya kijasusi, jamaa alikuwa anataka sana kujua siri ya kundi fulani hivi, yule mkuu wa lile kundi akamwambia "i'm gonna tell you everything about us as you have requested, but after i'm done, i will have to kill you".
 
haya ni maelezo ya aliyewahi kuwa mfanyakazi wa CIA, ndg. Brad Robinson.
muhitimu wa university of california ambaye kwa sasa anafanya kazi kama mchunguzi binafsi(private investigator) katika taasisi ya millennium group huko marekani.

Brad anazungumzia mazingira ambayo CIA walim-recruit na kuja jasusi mahiri wa shirika hilo.

anasema, ilikuwa ni katika mwaka wake wa mwisho wa masomo katika chuo kikuu cha california(UCLA) alipokuwa anachukua degree ya mahusiano ya kimataifa(international relations).

alipata barua kupitia mailbox yake kwamba Mr. Smith ambaye ni muwakilishi wa CIA alikuwa ametembelea mji ambao chuo kipo na atakaa kwa siku kadhaa katika hotel fulani katikati ya mji.

kipande cha karatasi kwenye mailbox yake kilisema endapo kama atakuwa interested, apige namba ya simu ambayo ilikuwa imeandikwa kwenye kile kipande cha katarasi ili kupanga ahadi ya kukutana na Mr. Smith kwa mahojiano zaidi.

japo alikuwa na mashaka, alifanya kama maelezo ya kwenye karatasi yalivyomuelekeza.

siku ya siku alienda kukutana na Mr. Smith na mahojiano yao hayakuzidi hata dakika kumi.

kwa kuwa hakuwa na uzoefu mkubwa wa kufanyiwa interview, siku alipoenda kukutana na Mr. Smith hakujiandaa kimuonekano.hakwenda saloon kunyoa ndevu/nywele, hakuvaa suruali, alivaa kaptula.kwa ujumla dress code yake haikuwa ya kupendeza.

alifanya hivyo kwa kuwa hakuupa kipaombele mkutano wake na Mr. Smith. alienda tu kama sehemu ya kupotezea mda(kuzuga).

wakati wa mahojiano aliulizwa maswali mepesi sana. aliulizwa kuhusu uzoefu wake wa kuajiriwa ambapo alijibu kwa kutoa maelezo kuhusu kazi yake ya kuwa muhudumu wa bar(bartender), pia aliulizwa ni kitu gani hupendelea kukifanya katika mda wake wa mapumziko, alijibu kwamba yeye hupendelea kushiriki katika mbio za magari za mitaani ambazo haziruhusiwi kisheria(illegal street racing).

Baada ya maswali hayo machache, mr. Smith alinyanyuka kumshukuru na kuagana naye.

brat anasema alijuwa dhahiri shairi kuwa huo ndio ulikuwa mwisho wa yeye kuwasiliana tena CIA. moja kwa moja alijiweka katika fungu la kukosa. kumbe haikuwa hivyo.

Baada ya kama mwezi mmoja hivi kupita, alipokea barua kupitia Washington DC postmark, barua hiyo ilikuwa haina anuani ya kuonyesha ilipotoka.

katikati ya barua hiyo kulikuwa na maneno machache tu ya kumpongeza ya "excellent". haikuwa na meneno mengine zaidi ya hayo.

Mwisho wa barua hiyo kulikuwa na namba ya simu ambayo alitakiwa kuipiga ili apewe maelezo zaidi kuhusu ajira yake yake na CIA.

Brad anasema huo ndio ulikuwa mwanzo wa safari yake ngumu, ndefu na yenye changamoto kadhaa iliyopelekea kupata nafasi ya kujiunga katika mafunzo maalumu ya ujasusi katika spy academy ya CIA.

kitu ambacho brat alijifunza katika zoezi zima la kum-recruit ni kwamba watu kama Mr. Smith ni majasusi wastaafu waliokwisha fanyakazi na CIA kwa mda mrefu. wamepewa jukumu la kusaka vijana wenye vipaji maalumu katika vyuo mbalimbali vya marekani.

pia alibaini kuwa, Mr. Smith tayari alisha kuwa na data muhimu huhusu yeye brat kabla hata hajakutana naye. CIA inapata data hizo kupitia mawakala wao maalumu waliopo ndani ya idara za vyuo.

pia alibaini kuwa miongoni mwa maprofesa waliomfundisha chuoni, ni agent wa CIA na ndiye aliyesabibisha akatumiwa barua kwenye mailbox yake iliyomtaka afanye mawasiliano ya kukutana na Mr Smith.
ila mpaka leo hajaweza kutambua jina la profesa huyo.

maelezo haya nimeyatafsiri kutoka katika mtandao wa Quora. karibuni tujadili.
View attachment 1023606
INFO au INTEL
 
Back
Top Bottom