Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Kwa wengi Hushpuppi alionekana kuwa ni mfano halisi wa mtu aliyefanikiwa,mtafutaji aliyezikamata pesa za kutosha na kutokuzionea huruma katika kuzitumia, kwenye akaunti yake ya instagram yenye...
41 Reactions
124 Replies
21K Views
  • Poll Poll
Idadi kubwa ya wakiristo na wasiyo wakristo wamedanganywa kwa kuaminishwa kuwa yesu ni white[Mzungu] Hata michoro mingi inayotumika kumwakilisha yesu imekuwa ikimsadifu kama whiteman Jaribu...
19 Reactions
458 Replies
83K Views
Sumbawanga ndiyo nyumbani kwetu, na kitongoji maarufu kiitwacho Mazwi ndiko hasa nilikozaliwa, kukulia na kujanjarukia! Umbali wa takribani mita mia moja tu kutoka nyumbani kwetu, mahali...
21 Reactions
106 Replies
24K Views
  • Poll Poll
Habari wakuu hope mpo njema sana na sawia, kabla sijaingia katika maada kwanza tupeane pole kwa mtikisiko wa sasa unao ikumba hii Dunia yetu, hatuna Dunia ingine ya kuhamia kwa uharaka...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa mimi naitwa Dgombusi Leo ntaenda kuzungumzia siri moja kubwa ambayo asilimia 1 au 2 ya watu wanifahamu vizuri kuhusu dunia yetu Aslimia 99 yatu wengi hawa ifahamu siri hii...
16 Reactions
45 Replies
8K Views
Jamani miaka 20 imepita naninachokiona kinanitisha. Tukio la kwanza nipale nikiwa shule ya msingi miaka 20 iliopita kuna kijana alinivua nguo nakunichania nguo ya ndani. Jambo lile alikuniacha na...
28 Reactions
179 Replies
36K Views
Stori: Oscar Ndauka, UWAZI DAR ES SALAAM na mitandao: Ile Sayari ya Nibiru au Planet X ambayo wanasayansi duniani wamedai inaielekea dunia kwa kasi ya ajabu na huenda ikaipiga, habari mpya ni...
4 Reactions
60 Replies
11K Views
Habari ya leo Ndugu zangu, Mambo yamekua mengi kidogo dunia ya leo, wakati kuna pande mbili zinavutana juu ya uhalali au ufanisi wa chanjo hizi za corona, kuna wale wanagoma kuchoma sindano...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, naomba kuuliza kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Je ni mwanajeshi mstaafu ama mwandamizi? Nadhani wengi wetu hatufahamu. Makongoro Nyerere anakubalika sana na wananchi. Sisi wananchi...
5 Reactions
220 Replies
30K Views
Ulimwengu Wa Plastiki Au Dunia Ya Watu. Waziri Wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mheshimiwa January Makamba aliwai kusema “Ndugu zangu sina budi kuwa kumbusha kuwa siku...
9 Reactions
44 Replies
9K Views
Kila siku zaidi ya tweets milioni 500 zinaandikwa na watu mtandaoni duniani ambazo ni sawa na tweet bilioni 200 kwa mwaka duniani. Ongeza na picha zinazokadiriwa kufika milioni 350 ambazo huwekwa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
heshima kwenu waakuu nina kaswali kangu simple kila mtu anajua kwamba baada ya ten,inafuata eleven (11)twelve(12),thirteen (13)n.k, swali langu ni kwanini baada ya ten haifuati ten one(11),ten...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Kukamatwa kwa mfanyabiashara mwenye uraia wa Haiti ambaye anaishi Florida ambaye vyombo vya usalama vinadai kwamba ni mhusika mkuu wa mauaji ya aliyekuwa raisi wa Haiti, kunazidi kuongeza maswali...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeukuta huu mjadala wadau,tafadhali kwa wenye kujua tufafanulieni kuwa Soda ya Pepsi au Cocacola ikimwagiwa kwenye mashimo ya maji ya choo hupunguza kwa 70% hivyo inaweza kuokoa gharama ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Dah Mimi sio mtaalam kabisa wa mambo haya. Mambo ya udukuzi.lakini nimeingiwa na hofu Sana. Pegasus Ni kifaa kilichotengenezwa na kampuni binafsi ya Israel. Pegasus spyware inaweza kupenya kwenye...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Ebu tujadili kidogo kuhusu Executive Protection ya maraisi, Hapa chini nimeweka picha za inner cycle za ulinzi wa Rais JPM, Samia, Ndayishimiye (Burundi) na Mnangagwa (Zim). Sasa twende...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza iweje idadi kubwa ya wanadamu hutumia mkono wa kulia,kwa kufanya shughuli mbalimbali hasa kuandika.Wakati ilipaswa tutumie mkono wa kushoto kwa maana katika...
1 Reactions
78 Replies
17K Views
Kwa sababu ya matatizo mbalimbali kama kuonewa, kudhurumiwa, kuuwawa, vita vya wenyewe kwa wenyewe, uharamia, wanyama wakali, na kila aina ya vitisho vya utumiaji wa nguvu, watu wa jamii na...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
General Paul Kagame had hoped to cash on the fight for saving the US$20 billion French investments in liquefied natural gas in northern Mozambique. He was ready to send his armies to fight the...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
..mkamate sana elimu, usimuache aende zake.. Najiuliza sana hapa anazungumzia elimu kama elimu au kuna nafsi inazungumziwa? kwanini aseme "M"kamate.. "U"simuache.. "A"ende zake.. ni nani huyu...
4 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom