The Tomorrow War ni Time Travelling theory?

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,220
12,933
Juzi nimeangaalia Movie mpya inayoitwa The Tomorrow War baada ya kuisha nikajikuta natafakari! Je! tayari wataalamu wa mambo wameshasafiri kwenda miaka 10-20 mbele wakarudi ni jibu juu ya kinachokuja huko mbeleni?
images.jpeg.jpg
View attachment 1852626
 
yasemwayo yapo ingawa inafikirisha sana, yani jamaa ameenda future akakuta mwanae amekua mkubwa na anakufa kwenye mikono yake then anarudi tena alipokuwa kwenda kusahihisha makosa ili asije kufa tena huo mwaka ukifika?
Maana yake tunaweza kukimbia kifo hahaha yani naenda future naona kuwa nitakufaje then narudi kupangua sababu za kufa.
 
tiari ushasema ni movie (maigizo) no reality
 
Juzi nimeangaalia Movie mpya inayoitwa The Tomorrow War baada ya kuisha nikajikuta natafakari! Je! tayari wataalamu wa mambo wameshasafiri kwenda miaka 10-20 mbele wakarudi ni jibu juu ya kinachokuja huko mbeleni?View attachment 1852627View attachment 1852626
Basically: One of very interesting topic ambayo inakufanya uwaze dunia kwa marefu na mapana yake. Kwa uelewa wa juu juu tu mtu anaweza kuona kama ni Scientific-fiction fulani hivi ambayo haiwezekani lakini there is something behind juu ya ishu ya Time Travelling.

Hii ishu nimeiona kwenye movie ya Mr.Peabody and Sherman ambayo walikuwa wanatumia Time Machine kwenda kwenye past mbalimbali mfano French Revolution ya mwaka 1789.
Ancient Egypt ( LAND OF THE PHARAOHS) -1332 B.C, na Florence, Italy home of Leonardo Da'vinci 1508 na sehemu nyingine lakini walikuwa na uwezo wa kurudi present kutokea Way Back kwa kutumia Time machine.

I know it's not easy our mind to digest that kind of issue (Time Travelling). But Let's use our Imagination power to evaluate this invisible issue.
 
yasemwayo yapo ingawa inafikirisha sana, yani jamaa ameenda future akakuta mwanae amekua mkubwa na anakufa kwenye mikono yake then anarudi tena alipokuwa kwenda kusahihisha makosa ili asije kufa tena huo mwaka ukifika?
Maana yake tunaweza kukimbia kifo hahaha yani naenda future naona kuwa nitakufaje then narudi kupangua sababu za kufa.

Time tra
Basically: One of very interesting topic ambayo inakufanya uwaze dunia kwa marefu na mapana yake. Kwa uelewa wa juu juu tu mtu anaweza kuona kama ni Scientific-fiction fulani hivi ambayo haiwezekani lakini there is something behind juu ya ishu ya Time Travelling.

Hii ishu nimeiona kwenye movie ya Mr.Peabody and Sherman ambayo walikuwa wanatumia Time Machine kwenda kwenye past mbalimbali mfano French Revolution ya mwaka 1789.
Ancient Egypt ( LAND OF THE PHARAOHS) -1332 B.C, na Florence, Italy home of Leonardo Da'vinci 1508 na sehemu nyingine lakini walikuwa na uwezo wa kurudi present kutokea Way Back kwa kutumia Time machine.

I know it's not easy our mind to digest that kind of issue (Time Travelling). But Let's use our Imagination power to evaluate this invisible issue.

kwenye kwenda mbele nahisi hii ni changamoto kuweza kutokea. may be kutoka future kuja present, au kutoka present kurudi past naona movie nyingi sana saivi wanachomekea hii time travelling. lakini nahisi ni kitu cha kufikirika.
 
Tuseme tuu ukweli movie za time travel zimekua nying sana siku hizi mpk mimi nimeanza kupata hisia inawezekana hicho kitu kipo sabb mzungu atengeneze movie kutufurahisha tuuh

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Acha kutumia neno "mzungu"
Halafu hizo ni Sci-fi movies
Tunachanganya concept kadhaa za sayansi pamoja na fiction(kufikirika)

So sci-fi movies ni uongo ulio tiwa nakshi na concepts kadhaa za sayansi

Time travel ni jambo halisi kulingana na sayansi, lakini aina pekee ya time travel iliyoruhusiwa au inayowezekana ni Forward Time travel, tunaweza kinadharia na wala sio kivitendo (kwa sasa) kwenda mbele ya mda na sio nyuma ya mda

Kwenda mbele ya mda inawezekana, ila kurudi haiwezekani kwa sababu inatupa paradox nyingi...

Mfano hii, Grandfather paradox

Unarudi nyuma ya mda na kwa bahati mbaya una muua babu yako kabla hajamzaa baba yako,

Hivyo mama yako hawezi kutana na baba yako ambaye hajazaliwa baada ya wewe kumuua babu yako

Hivyo wewe hutozaliwa,

Kama huto zaliwa huwezi kurudi nyuma ya mda kumuua babu yako kwa sababu hujazaliwa

Kwa sababu huwezi rudi nyuma ya mda kumuua babu yako, hivyo babu yako ana mzaa baba yako ambaye anakutana na mama yako na kukuzaa wewe

Kisha unarudi nyuma ya mda na kumuua babu yako🤔

Hio loop...

So sayansi na logic zina kataa

Kwa hio nikutoe hofu hicho kitu hakipo kwa sababu hakiwezekani

Ni kitu cha kifikirika kutoka Hollywood

Time travelling movie inayo ingia akilini ni Tenet tu
 
Kisha unarudi nyuma ya mda na kumuua babu yako

Exactly,
Time flows in only one direction, Forward.
 
Juzi nimeangaalia Movie mpya inayoitwa The Tomorrow War baada ya kuisha nikajikuta natafakari! Je! tayari wataalamu wa mambo wameshasafiri kwenda miaka 10-20 mbele wakarudi ni jibu juu ya kinachokuja huko mbeleni?View attachment 1852627View attachment 1852626
Ni bonge la Movie mm pia nmeichek Ilivyotoka Tu ,Ni cospiracy Tu Sema They Imagine kwamba mpaka 2022 kutakuwa na Technologia yakuenda On future Kama Miri .
 
Acha kutumia neno "mzungu"
Halafu hizo ni Sci-fi movies
Tunachanganya concept kadhaa za sayansi pamoja na fiction(kufikirika)

So sci-fi movies ni uongo ulio tiwa nakshi na concepts kadhaa za sayansi

Time travel ni jambo halisi kulingana na sayansi, lakini aina pekee ya time travel iliyoruhusiwa au inayowezekana ni Forward Time travel, tunaweza kinadharia na wala sio kivitendo (kwa sasa) kwenda mbele ya mda na sio nyuma ya mda

Kwenda mbele ya mda inawezekana, ila kurudi haiwezekani kwa sababu inatupa paradox nyingi...

Mfano hii, Grandfather paradox

Unarudi nyuma ya mda na kwa bahati mbaya una muua babu yako kabla hajamzaa baba yako,

Hivyo mama yako hawezi kutana na baba yako ambaye hajazaliwa baada ya wewe kumuua babu yako

Hivyo wewe hutozaliwa,

Kama huto zaliwa huwezi kurudi nyuma ya mda kumuua babu yako kwa sababu hujazaliwa

Kwa sababu huwezi rudi nyuma ya mda kumuua babu yako, hivyo babu yako ana mzaa baba yako ambaye anakutana na mama yako na kukuzaa wewe

Kisha unarudi nyuma ya mda na kumuua babu yako

Hio loop...

So sayansi na logic zina kataa

Kwa hio nikutoe hofu hicho kitu hakipo kwa sababu hakiwezekani

Ni kitu cha kifikirika kutoka Hollywood

Time travelling movie inayo ingia akilini ni Tenet tu
Kuna huyu Germain Tobar - profesa wa Fizikia kutoka Chuo Kikuu cha Queensland kule Australia. Yeye anadai kuwa makalikyulesheni yake yamemwonyesha kuwa hii Grandfather's Paradox inaweza kuepukwa kwa sababu muda una uwezo wa "kujiponya" wenyewe...
Screenshot_20210715-203015_Chrome.jpg

Kuna huyu Germain Tobar - profesa wa Fizikia kutoka Chuo Kikuu cha Queensland kule Australia. Yeye anadai kuwa makalikyulesheni yake yamemwonyesha kuwa hii Grandfather's Paradox inaweza kuepukwa kwa sababu muda una uwezo wa "kujiponya" wenyewe...
View attachment 1855420

kuna alternative theories za ku solve grandfather paradox

Moja ni Consistency principle au Consistency History kama sikosei

Inasema historia nzima inabidi ikubalieni kuhusu tukio hilo, yaani kwa mfano Babu yako ameshawahi kukusimulia kuhusu kijana anayefanana na wewe aliyekutana nae Miaka mingi iliyopita hata Kabla haja mzaa baba yako

Kwa kushangazwa na hii hadithi ukaamua kutengeneza time machine ya kurudi nyuma ya mda ili kufahamu huyo Kijana Anayefanana na wewe ni nani

Unakutana na past version ya babu yako akiwa kijana.... Na kumbukumbu hii ana kaa nayo mpaka siku atakayokuja kukusimulia wewe

(wewe ni yule kijana aliyekutana nae), so historia Nzima inakubaliana bila paradox

Key premise kwenye hii theory ni kwamba, law of physics zitahakikisha ufanyi jambo lolote litakalo badili kabisa direction ya historia kwa mfano kumuua babu yako

Aidha risasi itamkosa au vipi... Chochote kile kitatokea kuzuia😁

Hii nadharia ilikataliwa na wanasayansi

Inayokubaliwa na wanasayansi ni Many worlds interpretation

Yaani kila tendo utakalofanya kubadili past litatengeneza instance au copy ya ulimwengu mwingine

kwa case ya grandfather paradox, kutakua na copy ya ulimwengu ambao wewe hautozaliwa baada ya kumuua babu yako

Sijasoma kuhusu huyo prof, ila na bet yake inacheza kwenye hio ya kwanza
 
wameshasema Science Fiction tubaki humu...na ukiona movie za kitu fulani zinakua nyingi ujue tunalishwa yajayo ili yasitushangaze yakitukia...
Hivi vitu kwa 50% Fiction ambazo ni research/Prediction za watu wenye maono ambao ndio Time travellers..
50% ni science yenyewe ambazo ni project za watu.
Na wakati mwingine unakuta baadhi ya fiction zipo ila ni za kiimani kwahiyo zinakua ni CONFIDENTIAL! maana hazithibitiki kisayansi.
 
once your simulation is passed no one can change that . eg if you go back in time lets say 1993 and kill you grand pa. then if you travel to the next year your grand pa is there.😅 his simulation tayari imepita. so walimuona na kuzika babu yako 1993 nao simulation yao isha pita so universe itawapa flash simulation lakin watakuwepo na huyo mzee 1994 in simulated time. ila flash simulation wamezika 1993, in flsh simlation also their body is flash so wata endelea kuish kwenye iyo flash to infinity na wafiwa walio hai 2021 watakuwa na yule mfu wa 1993 but in real simulatiing time.
so what if this world wenlive me and you is flash simulated world. ( not orginal)
if you live in a world that some one able to see the future the answer is your world is ...................😅😅malaria
Acha kutumia neno "mzungu"
Halafu hizo ni Sci-fi movies
Tunachanganya concept kadhaa za sayansi pamoja na fiction(kufikirika)

So sci-fi movies ni uongo ulio tiwa nakshi na concepts kadhaa za sayansi

Time travel ni jambo halisi kulingana na sayansi, lakini aina pekee ya time travel iliyoruhusiwa au inayowezekana ni Forward Time travel, tunaweza kinadharia na wala sio kivitendo (kwa sasa) kwenda mbele ya mda na sio nyuma ya mda

Kwenda mbele ya mda inawezekana, ila kurudi haiwezekani kwa sababu inatupa paradox nyingi...

Mfano hii, Grandfather paradox

Unarudi nyuma ya mda na kwa bahati mbaya una muua babu yako kabla hajamzaa baba yako,

Hivyo mama yako hawezi kutana na baba yako ambaye hajazaliwa baada ya wewe kumuua babu yako

Hivyo wewe hutozaliwa,

Kama huto zaliwa huwezi kurudi nyuma ya mda kumuua babu yako kwa sababu hujazaliwa

Kwa sababu huwezi rudi nyuma ya mda kumuua babu yako, hivyo babu yako ana mzaa baba yako ambaye anakutana na mama yako na kukuzaa wewe

Kisha unarudi nyuma ya mda na kumuua babu yako🤔

Hio loop...

So sayansi na logic zina kataa

Kwa hio nikutoe hofu hicho kitu hakipo kwa sababu hakiwezekani

Ni kitu cha kifikirika kutoka Hollywood

Time travelling movie inayo ingia akilini ni Tenet tu
 
kuna alternative theories za ku solve grandfather paradox

Moja ni Consistency principle au Consistency History kama sikosei

Inasema historia nzima inabidi ikubalieni kuhusu tukio hilo, yaani kwa mfano Babu yako ameshawahi kukusimulia kuhusu kijana anayefanana na wewe aliyekutana nae Miaka mingi iliyopita hata Kabla haja mzaa baba yako

Kwa kushangazwa na hii hadithi ukaamua kutengeneza time machine ya kurudi nyuma ya mda ili kufahamu huyo Kijana Anayefanana na wewe ni nani

Unakutana na past version ya babu yako akiwa kijana.... Na kumbukumbu hii ana kaa nayo mpaka siku atakayokuja kukusimulia wewe

(wewe ni yule kijana aliyekutana nae), so historia Nzima inakubaliana bila paradox

Key premise kwenye hii theory ni kwamba, law of physics zitahakikisha ufanyi jambo lolote litakalo badili kabisa direction ya historia kwa mfano kumuua babu yako

Aidha risasi itamkosa au vipi... Chochote kile kitatokea kuzuia😁

Hii nadharia ilikataliwa na wanasayansi

Inayokubaliwa na wanasayansi ni Many worlds interpretation

Yaani kila tendo utakalofanya kubadili past litatengeneza instance au copy ya ulimwengu mwingine

kwa case ya grandfather paradox, kutakua na copy ya ulimwengu ambao wewe hautozaliwa baada ya kumuua babu yako

Sijasoma kuhusu huyo prof, ila na bet yake inacheza kwenye hio ya kwanza
Hapa nimekuelewa mkuu hata ukiangalia series ya Loki ndio maana halisi ya Many worlds interpretation inaeleweka.
 
Hii pambano lilifanyika miaka 5 nyuma huko japan kabla ya Covid ila ukiangalia kwa makini utaona mashabiki wamevaa barakoa..swali nalojiuliza walikua washaiona covid hvyo wanajiandaa na vita ya covid..?
Screenshot_20210720-170259_YouTube.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom