Uchawi wa kuleta taswira ya mwanamke chumbani(Power Of Mind)

Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,306
3,552
Huu uchawi uliokuwa unatumiwa zamani sana
na baadhi ya jamii za kipindi hiko, inajumuisha uwezo wa ubongo kutengeneza taswira ukisaidiwa na uwezo wa jini anaitwa KABASI.

Unafanyaje
_Chukua picha ya mwanamke ambae unataka kuleta taswira/kivuri chake ndani kwako.

Kula kihasi chakula cha usiku ili ubongo usiwe na Job kubwa yakufanya subiri mida ya saa 5 usiku fanya meditation au tulia kwa kulala au kukaa ilimradi usijishungurishe kwa muda kama nusu saa hivi ili tu ubongo u-refresh takataka zote za mchana baada ya hapo chukua picha yako mida ya saa 6 usiku itazame picha bila kugeuza kichwa muda wa dakika 30 yaani uso kwa uso uitazame nayo ikutazame...baada ya hapo lala fumba macho mpaka usingizi unakupitia.

Hapo ubongo unakuwa hauna majukumu makubwa na taswira ya mwisho kuiona ni uso wa mtu, ubongo unafanya mechanism ya kutengeneza mwili kwenye ile taswira ya uso na kukuletea taswira ya binadamu aliyekamilika kichwani...katika hatua hiyo endapo umeamka ghafra utamuona mwanamke wa kwenye picha kakaa pembeni yako ila inakuwa illusion baada ya sekunde kadhaa utaona hamna kitu ni taswira tu hapo ndipo nguvu ya ubongo inapoishia na kuingia nguvu ya kijini.

Jini KABASI anakuwa ana Idea ya biashara yake anakuwa anatafuta mtaji tu ukifanya Process yote mpaka ubongo kutengeneza taswira yenye mwili KABASI anaingilia Kati nakushika Mind yako anaitengeneza taswira iliyo 90% ni binadamu wa ukweli akishaitengeneza unaamka usingizini utamuona yule mwanamke illusion ila iliyokuwa advanced unaweza mgusa na ukahisi mguso na unaweza kumfanya chochote anakuwa 100% physically akikulalia juu una feel uzito nk, wewe unaweza mfanya chochote ila yeye hawezi kufanya chochote kimsingi ngumu kueleza ila utapomfanya chochote iyo taswira sio kwamba mwenyewe harisi atapata effect ya hiko kitu ile inakuwa Mind yako imekutengenezea taswira na KABASI.

Taswira itadumu kama masaa mawili ukinawa maji kichwa kinarudi kwenye Setting yake ya kawaida.

NB: Try it at your own risk
 
Lina ukweli hili??,kwan n mwanamke tu?
 
"Try it at your own risk"
Ni risk gani tunaweza zipata wakati wa kufanya hili jambo...
 
Back
Top Bottom