Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habar ndugu zangu . naomben msaada kuna mtoto wa ndugu yangu nimekuja kumuona huku kijijin bahat mbaya ana tatizo la ulimi mzito yaani hawez kuongea vizuri japo anatamka maneno machache...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari za jioni wakuu Jino langu lilikuwa limejazwa sasa limekatika kule kwenye jino la kweli ikabaki ile chokaa.. nataka kutumia superglue kurudisha je kuna madhara kwenye jino? Nimebaki na meno...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Professor mmoja wa Kifaransa huko Jijini Paris na ambaye pia ni Mtafiti wa Magonjwa ya akina Mama amesema kuwa uvaaji wa Nguo za ndani Chupi aina ya Bikini kwa akina Dada / Mama huathiri kwa kiasi...
9 Reactions
102 Replies
19K Views
Habari watu wa mungu, Naamini wazima wa afya. Kutokana na kichwa cha habari hapo juu, kina eleza namna ambavyo mnaweza kunipa ufahamu yakinifu katika suala X mchakato mzima wa kuacha matumizi X...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu wataalam wa haya mambo,ninahoja inayonichanganya kidogo kwa mtu mwenye mimba kutokwa na uchafu kama dalili ya Bleed hii imekaaje na nn kings yake? Uchafu unatoka sio kwa kiwango...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa kipindi cha hivi karibuni nimekutana na cases kama nne hivi za watoto wadogo kuota nyama Puani zinazowasababishia matatizo ya kupumua. .. Ma Dr. Mnaweza kutoa ushauri namna ya kukinga hii...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Heshima kwenu nyote... Naomba kujulishwa......adenomyosis ni ugonjwa gani......chanzo chake....tiba yake...na kwa kiswahili unaitwa nini......??.. Kwa heshima na taadhima naomba nisiambiwe...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
Hili suala linanitatiza sana. Hawa wenzetu kila msimu wa mfungo unapoanza huisisitiza sana slogan hii 'kufunga huleta afya njema'. Naomba kufaham... HOW!!? AHsanteni ndugu zangu Waislam.
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Habarini... Hii imenikuta... lani nimekinywa maji machache sana kama nusu kikombe vile.... alafu unakuja kukojoa zaidi ya lita moja... pia mkojo ukiwa na rangi ya njano kwa mbali.. Nimepima...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kumekuwa na dawa nyingi za malaria sokoni mpaka mtu unashindwa uchague ipi. Hata hivyo ufanisi wa hizi dawa nao ni wakutiliwa mashaka! Ipi dawa yako unayoiamini ya kutibu malaria?
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wadau Niambieni Chanzo Cha Hernia Ni Nini Babu Ana tatizo Hilo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za usiku wapendwa!Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima.Wadau mimi nipo Mwanza nina shida na mafuta ya peppermint oil,naomba kama kuna mtu anajuwa wapi yanauzwa anielekeze.Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Eti kwa mwanamke ambae siku zake ni abdormal , yani anaingia period baada ya miezi miwili . Je siku zake za hatari zinahesabiwaje! Ni siku ipi ambayo anaeza pata ujauzito!! Natakuliza shukrani.
0 Reactions
7 Replies
862 Views
Pamoja na kuwa ni ugonjwa unaotokana na kuzidisha kula lakini jamii nyingi za kiafrika zimekuwa zikiutafuta kwa hali na mali ili kuweza kupata heshima kwenye jamii.Mtu mwenye ugonjwa huo hupewa...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Za Humu ndani wadau.. Naomba kuelkezwa psychiatrist mzuri kwa hapo Dar.. Natokea mkoani nimeambiwa muhimbili kuna foleni....pia Kama ntapata nmbr za sim
0 Reactions
2 Replies
814 Views
Poleni Sana kwa majukumu ya kujenga Taifa.. Mzazi wangu Wa kike (Mama) umri kiaka 50s anasumbuliwa na uvimbe kwenye kizazi according to vipimo vya madakari. Aliandikiwa dawa na anakaribia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi Great Thinkers.The Title Expresses Itself.Keep On Commenting For I Know Jf Is Every Thing.I Also Welcome Our National Language Iff Necessary.Thank You.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini Naomba kuuliza kwa mkoa wa mwanza ni hospitali gani naweza kupata vipimo vikubwa vya HIV ? Lengo la kuuliza ni kutokana na matokeo tofaut ninayoyapata kwa mdogo wangu aliepata ajali miaka...
1 Reactions
7 Replies
934 Views
Nimefanya jitihada za kujipunguza uzito ila naona nimeshindwa nazidi tu kuongezeka siku baada ya siku. Wenzangu wakiongeza mahela mimi naona naongeza kilo. Mazoezi nafanya kidogo naacha naona...
2 Reactions
90 Replies
14K Views
Wadau vimeota vipele kuzunguka uume kwa ndugu yang hilo no tatizo gan
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Back
Top Bottom