Msaada : Mjamzito kutoa Uchafu

kitumbotala

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
516
623
Wakuu habari zenu wataalam wa haya mambo,ninahoja inayonichanganya kidogo kwa mtu mwenye mimba kutokwa na uchafu kama dalili ya Bleed hii imekaaje na nn kings yake? Uchafu unatoka sio kwa kiwango kikubwa...
 
Mjamzito kutokwa na damu, uchafu, maji maji hasa yenye harufu, miguu kuvimba kwa chini, tumbo kuuma sana hasa baada ya wiki ya 10, maumivu ya tumbo hasa upande wa kulia si dalili nzuri. Awahi hosp na hasa umuone Daktari wa akina mama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom