Chanzo Cha Hernia

Sugamadex

Member
Oct 13, 2016
49
125
Wadau Niambieni Chanzo Cha Hernia Ni Nini Babu Ana tatizo Hilo
Vyanzo viko vingi mno.., kuandika hapa haitokuwa rahisi kihivyo sabu kila mtu mwenye tatizo lolote ataangukia kwenye chanzo/vyanzo vyake yeye binafsi..!!!)))
Unachotakiwa kufahamu ni kwamba Hernia haitibiwi na vidonge wala sindano.., hernia ni UASUAJI kwa tiba halisi kama kweli ni hernia...!!!)))
Mpeleke Hospital atajieleza.., daktari atakupa uwezekano wa chanzo cha hernia yake kulingana na jinsi atakavyojieleza.., pia utapata nafasi ya kuulizia nini kinaweza kuwa chanzo/vyanzo vingine mbali na mtakavyoambiwa..!!!)))
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom