Dr WA psycho Mzuri Dar

Arsenalist1

Senior Member
Jul 13, 2015
163
49
Za Humu ndani wadau.. Naomba kuelkezwa psychiatrist mzuri kwa hapo Dar.. Natokea mkoani nimeambiwa muhimbili kuna foleni....pia Kama ntapata nmbr za sim
 
Afu haukuwa clear, nlivoona heading nkajua unahitaji psychologist, uku chini nkaona unahitaji psychiatrist. Ueleweki
 
Back
Top Bottom