Njia za kuacha matumizi X ulaji wa chumvi katika chakula.

goldie ink

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
5,651
2,000
Habari watu wa mungu,
Naamini wazima wa afya.

Kutokana na kichwa cha habari hapo juu, kina eleza namna ambavyo mnaweza kunipa ufahamu yakinifu katika suala X mchakato mzima wa kuacha matumizi X ulaji wa chumvi,

Ni muda mrefu sana nimeanza kula chumvi nyingi ( table salt ) kwenye chakula na nimeshindwa kuacha, tangu 2006 mpaka sasa 2017, nimetumia kila mbinu, kila njia lakini nimeshindwa.

Je....?? Naweza kupata msaada kutoka kwenu, jinsi ya kuacha kula chumvi nyingi kwenye chakula.

NOTE BY:
neno X kwenye mtiririko wa mada hii ina maanisha kiunganishi, ( na ).
 

Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
43,870
2,000
Aisee pole sana mkuu jaribu kupunguza kiasi kidogo kidogo...si unajua tena too much is harmful
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom