Eti kwa mwanamke ambae siku zake ni abdormal , yani anaingia period baada ya miezi miwili . Je siku zake za hatari zinahesabiwaje! Ni siku ipi ambayo anaeza pata ujauzito!! Natakuliza shukrani.
Kwa kuwa ni abnormal huwezi kuhesabu lazima utakosea. Utahesabuje sasa kitu ambacho hakieleweki?? Azingatie tu ni kwanini siku hazieleweki kama mawazo, lishe na mazingira. Zikirudi normal endelea na kazi.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.