Dawa bora ya Malaria

Truth Matters

JF-Expert Member
Apr 12, 2013
2,244
4,430
Kumekuwa na dawa nyingi za malaria sokoni mpaka mtu unashindwa uchague ipi. Hata hivyo ufanisi wa hizi dawa nao ni wakutiliwa mashaka!
Ipi dawa yako unayoiamini ya kutibu malaria?
 
Back
Top Bottom