Msaada wa Peppermint oil

Matata25

Member
Feb 5, 2012
45
95
Habari za usiku wapendwa!Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima.Wadau mimi nipo Mwanza nina shida na mafuta ya peppermint oil,naomba kama kuna mtu anajuwa wapi yanauzwa anielekeze.Natanguliza shukran zangu na natumaini mtanisaidia ndugu zangu
 

msindikizaji

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,503
2,000
Kuna mdada insta anajiita mamkenzo naturals yuko mwanza huyu.. mcheki atakua nazo au kama una ndugu dar basi akakuchikulie pale kariakoo maduka ya dawa za kisunna kwa abdu swamad
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom