nsharighe
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 1,441
- 2,218
Poleni Sana kwa majukumu ya kujenga Taifa..
Mzazi wangu Wa kike (Mama) umri kiaka 50s anasumbuliwa na uvimbe kwenye kizazi according to vipimo vya madakari.
Aliandikiwa dawa na anakaribia kuzimaliza, hofu ni kwamba tumbo lake linavimba na anasikia vichomi.
Nawaomba wakuu, Mnipe ushauri Wa kidaktari juu ya nini kifanyike kwa hali Kama hii..
Mungu awe nanyi