miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,815
- 49,031
Habari za jioni wakuu
Jino langu lilikuwa limejazwa sasa limekatika kule kwenye jino la kweli ikabaki ile chokaa.. nataka kutumia superglue kurudisha je kuna madhara kwenye jino?
Nimebaki na meno machache sana wasiwasi wangu sitaki kutoa jino sababu litakuwa jino la nane ..
Asanteni