Uvaaji wa Bikini unazeesha sana na haraka Uke

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,976
2,000
Professor mmoja wa Kifaransa huko Jijini Paris na ambaye pia ni Mtafiti wa Magonjwa ya akina Mama amesema kuwa uvaaji wa Nguo za ndani Chupi aina ya Bikini kwa akina Dada / Mama huathiri kwa kiasi kikubwa sana Uke / Mbunye zao kwa Kuzizeesha na kuzitengenezea Usugu / Ukomavu fulani hivi uliotukuka.

Professor huyo ameenda mbali zaidi na kusema kuwa katika Utafiti wake kwa akina Dada wengi wao wamekuwa wakilalamika kuwa Marafiki / Mabwana zao wamepunguza hamu ya kufanya nao Mapenzi tokea walipoanza kununua hizo aina za Chupi na kwamba hali hii inawaharibu mno Kisaikolojia.

Professor huyo Mfaransa akasema kuwa sababu kubwa ya Uke / Mbunye nyingi za akina Dada / Mama wanaopendelea kuvaa Bikini kuwa Nzee / Sugu / Zimekomaa ni kwasababu Mwanamke akivaa hizo Bikini huacha sehemu kubwa na hewa kupita kiurahisi na hata Bacteria huweza kupenya kirahisi hivyo kuziathiri Mbunye kwa kiasi kikubwa sana.

Professor huyo Mfaransa ameshauri akina Dada wapendelee sana kuvalia zile chupi zao za zamani ambazo ni pana na zimepimwa kiviwango vyote ili waweze kulinda Mbunye zao kwani Mbunye ikiwa imefunikwa kwa muda mrefu inakuwa tamu kama vile nyama ya kuchoma ambayo ikifunikwa katika Jiko kwa muda mrefu ukija kuitoa na kuila inakuwa tamu sana na kukupa mvuto.

Kila la kheri Dada na Mama zetu wa Kitanzania Mfaransa huyo ameshawapa maujanja hivyo kuanzia sasa mnapoona mnajitahidi kuzivaa hizo Bikini zenu halafu sisi Wapenzi wenu tunashindwa kuwapeni ushirikiano wa Kutukuka wa Kuwabandueni na tunaenda Kubandua nje msiwe mnalalamika kwani Professor wa Kifaransa ameshatoa majibu mujarab kabisa.

Nawasilisha.
 

thatonegAl

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
827
1,000
"Ukomavu uliotukuka"....
Bhac wazungu watakua na huo ukomavu uliotukuka.
Mie wa Manyovu huku ntazipata wapi hizo bikini?
 

Ramea

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
1,698
2,000
bikini inaumiza sana bonde la ufa. nilishindwa kabisa kuzivaa. kidogo inikate rift valley yangu ni mateso makubwa wavae tu vimbao mbao
Kwani kwenye Avatar ni wewe mwenyewe? Kama ni hivyo endelea kutunza rift valley yako iliyotukuka, usiiharibu kwa bikini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Thread starter Similar threads Forum Replies Date
Bigbootylover Uvaaji wa kofia huathiri ukuaji wa nywele? JF Doctor 0
W Uvaaji wa miwani JF Doctor 3
Similar threads


Top Bottom