Kitendo cha mtu kukojia sana hata akinywa maji machache

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,709
2,373
Habarini...
Hii imenikuta... lani nimekinywa maji machache sana kama nusu kikombe vile.... alafu unakuja kukojoa zaidi ya lita moja... pia mkojo ukiwa na rangi ya njano kwa mbali..

Nimepima sukari nimekutwa ninayo normal.... tena nimepima kwenye hospital kubwa inayo heshimika hapa tz

Je labda inaweza kusababishwa na nn?
 
UNAPOKOJOA SANA NA HUJANYWA MAJI MENGI NI DALILI YA MWILI WAKO KUPOTEZA MAJI MENGI ZAIDI KWA NJIA YA MKOJO PEKEE.YAN MIFUMO MINGINE YA UTOAJI TAKA INAKUWA HAIFANYI KAZI VEMA
 
Kama hupati oxygen ya kutosha pia figo zinalinda mwili kwa kufidia oxygen na hii inakifanya ukojoe sana kutoa cabornic acid.
 
KUKOJIA.........

MAJI MACHACHE.......

JITU JEUSI........

Haya maneno sound the same though mean different.
 
Habarini...
Hii imenikuta... lani nimekinywa maji machache sana kama nusu kikombe vile.... alafu unakuja kukojoa zaidi ya lita moja... pia mkojo ukiwa na rangi ya njano kwa mbali..

Nimepima sukari nimekutwa ninayo normal.... tena nimepima kwenye hospital kubwa inayo heshimika hapa tz

Je labda inaweza kusababishwa na nn?
Kuna ugonjwa unaitwa DIABETES INSPIDUS.., huu husababishwa na hormone inayocontrol uwezo wa kuabsorb/kutopoteza au kuexcrete/kupoteza maji kwa njia ya mkojo kulingana na hali/mazingira.., ie mwili ukiwa na maji mengi yasiyo na kazi hii hormone huwa inazuiwa ama kutotengezezwa kabisa.., maji yakipungua mwilini huwa inatengenezwa au inakuwa released kwenye damu na kusababisha absorption ya maji kuongezeka kupitia figo/kidneys...!!!)))
Hii hormone inatengenezwa kwenye ubongo.., kazi inafanyia kwenye figo/kidneys.., tatizo linakuja pale ambapo..,
1)Ubongo unashindwa kabisa kuitengeneza.., inamana figo/kidneys zitapoteza maji mengi bila kujali mwili una maji au la.., ie kizuizi hakipo.., hii inaitwa CENTRAL DIABETES INSPIDUS..!!!)))

2)Figo/kidneys kushindwa kuitikia/respond kwa hormone..,ingawa ubongo unaitengeneza.., pia figo/kidneys zitapoteza maji mengi.., hii inaitwa NEPHROGENIC DIABETES INSPIDUS...!!!)))
Jaribu kwenda Hospital muulize daktari wako kuhusu uwezekano wa hii kitu..!!!)))
 
Dalili ya lubwa ya kisukari, kapime.

.....increased urination (also known as polyuria) are classic diabetes symptoms. When you have diabetes, excess sugar (glucose) builds up in your blood. Your kidneys are forced to work overtime to filter and absorb the excess sugar.
 
Back
Top Bottom