Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Salam wajuvi. Nimeshawahi kuona baadhi ya watu hasa watoto kuwa na vitovu vikubwa. Je hii kitaalam inaweza kuwa ni nini? Unapokuwa mkubwa kitovu hicho hurudi na kuwa kama ambavyo wengi wetu tupo...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Kwanza napenda sana kuwashukuru wote ambao huwa mnanitia moyo katika safari yangu ya kupunguza uzito. Katika shauri nilizopata kuna mdau alikuja PM akaniambia nichemshe giligilani ninywe kila...
1 Reactions
88 Replies
13K Views
Si mwanaume au mwanamke mara pua zikipitisha hewa yenye perfume (harufu) mbaya wengi hutema mate. Kwa wajawazito huhusiana na ishu za hormone, je kwa wengine ambao sio waja wazito hua mnatema mate...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari jamani, Hivi mkojo unatumika kusahaulisha stress za mapenzi tu? Au hata stress zingine?! Kama mfano mtu kafiwa gafla ameumia sana mpaka inakaua ngumu kujizuia, unaweza mpa mkojo wake...
2 Reactions
119 Replies
23K Views
naomba msaada ndgu zang kiuno na tumbo (chini ya kitovu) mnawaka moto sanaa..na haja inatoka ngumu kweli kama ya mbuz na nimesumbuka sana walikua wanadai kisonono baridi lkn nafanya hili na lile...
0 Reactions
3 Replies
975 Views
Mwenzenu wiki nzima mgongo unaniuma bado sijajua tatizo ila ningeomba kujua labda ni dalili za ugonjwa gani..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mtoto anamiezi miwili lakini analia sana.. Si mchana si usiku.. Tumejaribu remedy mbalimbali ikiwemo kumtoa gesi tumboni kwa kumlazia tumbo lakini bado hali tete.. Sababu inaweza kuwa nn?
0 Reactions
124 Replies
20K Views
Nimekaa kwenye gari na mtu ambaye nahisi ana TB na hajaanza kutumia dozi. Anakohoa kikohozi kikavu sana na kwa muda mrefu. Huko nyuma alishawahi kuugua TB na kupona. Kikohozi nilichokiona leo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello JF Doctors, Mwenzenu nina tatizo la kupiga chafya kwa miaka isiyopungua mitano, tatizo huongezeka ninapokunywa maji mengi basi usiku hakuna kulala ni makamasi na chafya ndo mpango...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Habari wana jamii.. Kama una fahamu dawa zinazotumika kupunguza depression na msongo wa mawazo, Please naomba unifahamishe.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Je, mwanamke/binti asiye na kizazi aweza enda katika siku zake-MP? Naomba kuelimishwa wandugu zangu
0 Reactions
14 Replies
18K Views
Je kuna ulazima wa kuwaua nyoka wote kama baadhi ya watu wenye mitizamo ya kwamba nyoka kila akionekana ni kupigwa mpaka afe ? 1.kwanza itakuwa sio fair kwenye eco system kuna baadhi ya wanyama...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Baada ya kubahatika kumpata mtoto mmoja, mke wangu alitumia NJITI kama njia ya uzazi wa mpango sasa baada muda akagundua njiti imepotelea mwilini. Tumejaribu kumtafuta mtoto pasipo na mafanikio...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Soya ni nafaka ambayo ikitumiwa vzur huleta afya nzuri na kuondosha magonjwa ya aina mbalimbali Faida chache za kutumia soya nafaka -huleta kumbukumbu -huondoa kolesto -kuongeza king a mwilini...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari waungwana poleni na mihangaiko ya kutafuta ridhiki.Ngoja niende katika mada husika na nimekuja hapa jf kupata upembuzi wa jambo hili linamkabili dada yangu kwa majuma kadhaa ana vidonda...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mimi ni ME,Sina mchepuko ila nimeoa, nimehisi muwasho ndani ya miezi 2 sasa wakati wa kukojoa na ninapokuwa nimekaa kuna kauchafu kama majimaji hunitoka na huwa nahisi maumivu wakati nimekaa ila...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza napata maumivu ya viungo vya mwili vinauma sana na kusababisha misuli yote ya tumbo inauma mbaya. Je kuna dawa ya kuchua au nifanyaje haya maumivu yaishe?
1 Reactions
1 Replies
4K Views
ndugu ... nimeoa mwaka wa pili sasa ila ninafanya tendo la ndoa kwa dakika zisizozidi tano,nakua nimesha "mwaga" sasa naona kama ni tatizo kama kuna msaada wa tiba au dawa nahitaji sana. kama ni...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Wadau Nipeni Possibles Katika Hili Mana Mzee Wangu Ana Tatizo La Kushindwa Kula Ama Kula Kwa Kujilazimisha Na Kumeza Kwa Shida
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamii forums naombeni msaada wa hospitali nzuri inayotibu au hata ushauri musuala ya uzazi wa kina mama au doctor yenye bei nafuu kidogo nipo serious katika hili ASANTENI SANA...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom