mwamba c
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 690
- 2,362
Habarini
Naomba kuuliza kwa mkoa wa mwanza ni hospitali gani naweza kupata vipimo vikubwa vya HIV ?
Lengo la kuuliza ni kutokana na matokeo tofaut ninayoyapata kwa mdogo wangu aliepata ajali miaka miwili iliyopita.Mpaka sasa mdogo wangu kashapima zaidi ya mara sita lkn majibu hayaji ya kufanana bali yanakuja tofaut kila anapopima kwa kutumia vipimo vya Bioline.Vipimo hivi vimeleta majibu ya positive mara mbili na negative mara nne.Je ni hospital gan kwa mwanza naweza pata vipimo vikubwa visivyo na utata?
Asanteni,kumradhi siitaji matusi wala kejeli tatizo lipo siriaz xana,damu nzto kuliko maji nna uchungu ndio maana natafuta msaada ea kuweza kumsaidia mdogo wangu