Kufunga kunaletaje afya njema... Naomba kufaham.

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,647
23,477
Hili suala linanitatiza sana. Hawa wenzetu kila msimu wa mfungo unapoanza huisisitiza sana slogan hii 'kufunga huleta afya njema'.

Naomba kufaham... HOW!!?

AHsanteni ndugu zangu Waislam.
 
FAIDA ZA KUFUNGA MWEZI WA RAMADHAN

Watu wengi hufunga mwezi wa ramadhan kama wajib lakini ni wachache wanaojua faida za afya zipatikanazo kwa ajili ya kufunga. Kufunga ni mazoezi mazuri ikiwa utafunga inavo takikaniwa. Katika baadhi ya faida zake ni:

1.Kusafisha mwili:
Vyakula vingi haswa vya tayari kama vile vya mikebe hutiwa aina ya kemikali kusaidia visiharibike kwa haraka. Kemikali hizi hubadilika na kuwa sumu ndani ya mwili na baadae sumu hiyo kuhifadhiwa ndani ya mafuta ya mwili. Wakati wa kufunga, mafuta haya huchomwa na sumu na kemikali hizi hutoka mwilini.

2.Kupumzisha mashine za mwili:
Wakati wa kufunga, maida ya chakula tumboni hupumzishwa, ijapo kuwa kazi huendelea mwilini lakini katika viwango vya chini. zoezi hili husaidia katika kusaga chakula kwa kiwango kinacho tosha, kuleta balance ya maji mwilini na mwili kupata nishati mzuri.

3.Kupoza maradhi:
Baadhi ya tafiti zaonesha kuwa kufunga husaida katika kuponya maradhi kama vile allergy na maradhi ya mishipa. Baadhi ya wataalamu pia wadai kuwa hupelekea kupoa kwa vidonda vya tumboni kama vile ulcer.

4.Hupunguza sukari mwilini:
Kufunga hupelekea sukari ndani ya mwili kuvunjika (breakdown) kwa haraka, ili mwili kupata nishati. Jambo hili hupunguza uzalishaji wa insulin na kufanya pancreas (sehemu ya kusambaza sukari mwilini kutoka kwenye damu) kupumzika. Na faidayake ni kuwa sukari hupunguwa mwilini.

5.Kupunguza uzito wa mwili:
Wakati wa kufunga, sukari huyayushwa mwilini ili kutoa nishati (energy). Sukari ikipungua hupelekea kuchomwa kwa mafuta yaliyomo mwilini ili kuendeleza nishati na hii hupelekea mtu kupunguza uzito na mwili. Hata hivyo, pamoja na kufunga ni lazima kupunguza utumiaji wa sukari na mafuta mingi kwenye chakula na kuongezamatunda na mboga.

6.shinikizo la damu (pressure)
Kufunga ni moja ya njia ya kupunguza shinikizo la damu pasi na kutumia madawa. Husaida kupunguza athari ya magonjwa ya atherosclerosis ambayo ni kuzibika kwa mishipa ya damu na chembe za mafuta. Wakati wa kufunga, mafuta haya huyayuka, mwili hufanya kazi kwa kiwango cha chini kwenye mipaka inayotakiwa na hii hupunguza maradhi ya shinikizo la damu (high blood pressure)

7. kuongeza kinga ya mwili na afya:
Mtu anapo funga na kufuturu kwa kula chakula kizuri cha afya, huongeza afya yake, hupunguza sumu mwilini, hupunguza uzito na mafuta. Vitamins huenea kwa haraka mwilini.

8. kupunguza uraibu:
Kufunga hupunguza hamu yautumiaji wa madawa ya ulevi na uraibu kama vile sigara, bhangi na mirungi
.
 
Jibu mujarabu....
 
Ahsante kwa maelezo haya..

Ila bado hujanishawishi hata kidogo..
 
Ahsante kwa maelezo haya..

Ila bado hujanishawishi hata kidogo..

Swali dogo tu... ni kwanini watu wanene (obese) huwa wanaambiwa kupunguza kula kwa afya yao? Je unadhani ni kwanini kuna diet programs mbali mbali, je huoni kuwa kupunguza pombe, sigara, au vilevi vingine ni kujenga afya ya mtu?

Sasa unataka nini uelewe..
 
Bado ... Hujajibu..
 
Sio kufunga mwezi wa ramadhani tu,
Kila baada ya Muda flani ukifunga kwa Misingi ya dini au afya huboresha afya ya akili na mwili...
 
Mimi si muislamu wala sina dini lakini nafunga vipindi virefu karibu mwaka mzima. Kwa sababu za kiafya.
 
FAIDA ZA KUFUNGA MWEZI WA RAMADHAN

Watu wengi hufunga mwezi wa ramadhan kama wajib lakini ni wachache wanaojua faida za afya zipatikanazo kwa ajili ya kufunga. Kufunga ni mazoezi mazuri ikiwa utafunga inavo takikaniwa. Katika baadhi ya faida zake ni:

1.Kusafisha mwili:
Vyakula vingi haswa vya tayari kama vile vya mikebe hutiwa aina ya kemikali kusaidia visiharibike kwa haraka. Kemikali hizi hubadilika na kuwa sumu ndani ya mwili na baadae sumu hiyo kuhifadhiwa ndani ya mafuta ya mwili. Wakati wa kufunga, mafuta haya huchomwa na sumu na kemikali hizi hutoka mwilini.

2.Kupumzisha mashine za mwili:
Wakati wa kufunga, maida ya chakula tumboni hupumzishwa, ijapo kuwa kazi huendelea mwilini lakini katika viwango vya chini. zoezi hili husaidia katika kusaga chakula kwa kiwango kinacho tosha, kuleta balance ya maji mwilini na mwili kupata nishati mzuri.

3.Kupoza maradhi:
Baadhi ya tafiti zaonesha kuwa kufunga husaida katika kuponya maradhi kama vile allergy na maradhi ya mishipa. Baadhi ya wataalamu pia wadai kuwa hupelekea kupoa kwa vidonda vya tumboni kama vile ulcer.

4.Hupunguza sukari mwilini:
Kufunga hupelekea sukari ndani ya mwili kuvunjika (breakdown) kwa haraka, ili mwili kupata nishati. Jambo hili hupunguza uzalishaji wa insulin na kufanya pancreas (sehemu ya kusambaza sukari mwilini kutoka kwenye damu) kupumzika. Na faidayake ni kuwa sukari hupunguwa mwilini.

5.Kupunguza uzito wa mwili:
Wakati wa kufunga, sukari huyayushwa mwilini ili kutoa nishati (energy). Sukari ikipungua hupelekea kuchomwa kwa mafuta yaliyomo mwilini ili kuendeleza nishati na hii hupelekea mtu kupunguza uzito na mwili. Hata hivyo, pamoja na kufunga ni lazima kupunguza utumiaji wa sukari na mafuta mingi kwenye chakula na kuongezamatunda na mboga.

6.shinikizo la damu (pressure)
Kufunga ni moja ya njia ya kupunguza shinikizo la damu pasi na kutumia madawa. Husaida kupunguza athari ya magonjwa ya atherosclerosis ambayo ni kuzibika kwa mishipa ya damu na chembe za mafuta. Wakati wa kufunga, mafuta haya huyayuka, mwili hufanya kazi kwa kiwango cha chini kwenye mipaka inayotakiwa na hii hupunguza maradhi ya shinikizo la damu (high blood pressure)

7. kuongeza kinga ya mwili na afya:
Mtu anapo funga na kufuturu kwa kula chakula kizuri cha afya, huongeza afya yake, hupunguza sumu mwilini, hupunguza uzito na mafuta. Vitamins huenea kwa haraka mwilini.

8. kupunguza uraibu:
Kufunga hupunguza hamu yautumiaji wa madawa ya ulevi na uraibu kama vile sigara, bhangi na mirungi
.
good mkuu
 
Ahsante kwa maelezo haya..

Ila bado hujanishawishi hata kidogo..

Ukisikia ujinga ndio huo sasa..unadhani watu wapo kwa ajili ya kukushawishi hapa?.. wewe nani hasa mpaka watu watumie nguvu na muda wao kukushawiahi..we baki na tumbo lako lilojaa mafuta
 
Back
Top Bottom