Adenomyosis ni nini hasa...?

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,312
2,000
Heshima kwenu nyote...
Naomba kujulishwa......adenomyosis ni ugonjwa gani......chanzo chake....tiba yake...na kwa kiswahili unaitwa nini......??..
Kwa heshima na taadhima naomba nisiambiwe nigoogle.......maana ningekuwa naelewa....singeuliza........
Asanteni sana
 

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,568
2,000
Heshima kwenu nyote...
Naomba kujulishwa......adenomyosis ni ugonjwa gani......chanzo chake....tiba yake...na kwa kiswahili unaitwa nini......??..
Kwa heshima na taadhima naomba nisiambiwe nigoogle.......maana ningekuwa naelewa....singeuliza........
Asanteni sana
nimecheki you tube nimeelewa ila nashindwa kukuelimisha
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
50,500
2,000
Adenomyosis is the presence of islands of endometrial glands surrounded by begins endometrial stroma within the uterine myomere in. It commonly develops during late reproductive years with the highest incidence among women in their forties
 

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,568
2,000
ayaaaaaa......sasa nitajuaje......?......kwa kiswahili inaitwa nini.....?....
kuvimba kizazi
FB_IMG_1479375632436.jpg
Asalam alaykum warhmatullah wabarakatul mpenzi msomaji wa makala hii natumaini unaendelea vizuri na majukumu ya kila siku, namshukuru Mungu kuniwezesha leo tena kuandika makala ili kukuwezesha ndugu msomaji kufahamu mambo mengi kuhusu Afya ya mwanamke na mzunguko mzuri wa hedhi, leo napenda kuzungumzia tatizo la kuvimba kwa kizazi cha mwanamke ambapo kitaalamu tunasema ni ADENOMYOSIS pia tatizo hili kwa zamani lilijulikana kama ENDOMETRIOSIS INTERNAl

DENOMYOSIS NI NINI?


 • ~Ni tatizo ambalo nyama hutokea na kukua kama tabaka au ukuta mwingine juu ya misuli ya kizazi(ectopic glandular tissues)
 • ~tatizo hili huwaathiri zaidi wanawake walio kati ya miaka 35_50, ingawa katika Hali isiyo ya kawaida hutokea katika umri wa chini ya miaka 35
 • ~tatizo hili la kuvimba kwa kizazi linapotokea huambatana na damu nyingi wakati wa hedhi na kupata maumivu makali wakati wa hedhi pia maumivu huongezeka zaidi pale tabaka la ndani ya kizazi linapojikita katikati ya misuli ya kizazi na hivyo mwanamke mwenye tatizo hili la kuvimba kwa kizazi hupata maumivu makali chini ya tumbo ktk kitovu Muda wote pasipo kupata damu ya hedhi hata kama tarehe za kupata damu (period) zimefikia, pia damu huweza kutoka kwa wingi pia kizazi huendelea kuvimba kutokana na tabaka la ndani (basal endometrium) kujipenyeza ndani ya misuli ya kizazi na hivyo kusababisha kila siku kizazi kuendelea kukua na mwanamke kuonekana kama ana ujauzito na tumbo huwa gumu hata hivyo tatizo hili ni tofauti na tatizo la uvimbe katika kizazi (fibroids)
 • CHANZO CHA TATIZO HILI LA KUVIMBA KWA KIZAZI

  • ~Chanzo halisi cha tatizo hili bado hakijafanikiwa kuwa wazi ingawa misuli ya kizazi (uterine trauma) huchangia hili kwa kuwa huondoa ukingo wa tabaka la ndani ya kizazi kuelekea katika misuli ya kizazi pia utoaji wa mimba hovyo husababisha mirija kuchubuka pia matokeo mabaya ya uwekaji wa lupu  DALILI ZA TATIZO HILI
  Dalili au viashiria vya tatizo hili ni vingi ila hata hivyo Kuna baadhi ya wanawake wenye tatizo hili hawaonyeshi dalili yoyote huku kizazi kikizid kuvimba na wengine huhisi maumivu makali ya kizazi Muda wote au wakati wa hedhi
  Dalili zenyewe ni Hizi

  • Chembechembe za tabaka la ndani ya kizazi linapojikita katikati ya misuli ya kizazi huendelea kutoa damu hivyo kusababisha damu kuvujia ndani kwa ndani Bila damu hiyo kutoka nnje
  • Mwanamke huhisi uchungu wa uzazi na kuhisi kama vile anataka kujifungua kwa kuwa hupata shinikizo ukeni
  • Mwanamke huhisi maumivu makali chini ya tumbo Muda wote na kila akienda katika hospital hukutwa ana uti kitu ambacho sio kweli
  • Mwanamke huhisi maumivu makali zaidi kipindi cha upevushaji mayai (ovulation) au kipindi cha period (hedhi)
  • Mwanamke huhisi mkojo kila wakati kutokana na kibofu kugandamizwa na shinikizo la kizazi
  • Mwanamke hutoka damu kupita kiasi hadi pedi huwa hazitoshelezi pia wakati wa hedhi tumbo hubana au kukaza (abdominal eramps) Muda wote na mwanamke hutamani kuinama tu  MATIBABU NA VIPIMO
  matibabu ya tatizo hili hufanyika katika kliniki Za akina mama kwenye hospital za mkoa, private na daktar hutibu kutokana na Majibu yaliyopatikana katika vipimo vya MRI, ULTRASOUND na matibabu hayo huweza kuwa ya dawa za HOMONI kutegemea na ukubwa wa tatizo pia tiba nyingine ni upasuaji hasa wa kuondoa kizazi kitu ambacho hugharim sana maisha ya mahusiano iwapo mhusika hakuzaa na pia endapo mwanamke atapata tatizo hili akiwa mjamzito basi mimba Yake hutoka na hupata uchungu mapema kabla ya siku ya kujifungua

  USHAURI :WANAWAKE WENGI HUWA NA DESTURI YA KUPUUZA KWENDA HOSPTAL KWA KUONA TATIZO NI DOGO HVYO NDUGU RAFIKI HAKIKISHA UNAENDA KUPIMA AFYA YAKO MARA KWA MARA ILI KUWEZA KUTAMBUA MATATIZO MAPEMA HIVYO TUACHE TABIA YA KUPUUZIA KITU HATA KAMA NI KIDOGO.
  Makala hii imeandaliwa na Dr Naytham S Masoud
  Email:nsalum998@gmail.com/+255623026602/+255746465095
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
50,500
2,000
Evidence based research shows that 53% of women taking tamoxifen presents symptoms. Adenomyosis may be associated with abnormal menstrual bleeding, dysmenorrhea, uterine enlargement and uterine tenderness
 

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
36,425
2,000
Heshima kwenu nyote...
Naomba kujulishwa......adenomyosis ni ugonjwa gani......chanzo chake....tiba yake...na kwa kiswahili unaitwa nini......??..
Kwa heshima na taadhima naomba nisiambiwe nigoogle.......maana ningekuwa naelewa....singeuliza........
Asanteni sana

Adenomyosis is a condition in which the inner lining of the uterus (the endometrium) breaks through the muscle wall of the uterus (the myometrium).

Adenomyosis can cause menstrual cramps , lower abdominal pressure, and bloating before menstrual periods and can result in heavy periods . The condition can be located throughout the entire uterus or localized in one spot.

Though adenomyosis is considered a benign (not life-threatening) condition, the frequent pain and heavy bleeding associated with it can have a negative impact on a woman's quality of life.

What Are the Symptoms of Adenomyosis?

While some women diagnosed with adenomyosis have no symptoms, the disease can cause:
Heavy, prolonged menstrual bleeding
Severe menstrual cramps
Abdominal pressure and bloating

Who Gets Adenomyosis?

Adenomyosis is a common condition. It is most often diagnosed in middle-aged women and women who have had children. Some studies also suggest that women who have had prior uterine surgery may be at risk for adenomyosis.
Though the cause of adenomyosis isn't known, studies have suggested that various hormones -- including estrogen ,
progesterone, prolactin , and follicle stimulating hormone -- may trigger the condition.

Diagnosing Adenomyosis
Until recently, the only definitive way to diagnose adenomyosis was to perform a hysterectomy and examine the uterine tissue under a microscope. However, imaging technology has made it possible for doctors to recognize adenomyosis without surgery. Using MRI or transvaginal ultrasound , doctors can see characteristics of the disease in the uterus.
If a doctor suspects adenomyosis, the first step is a physical exam. A pelvic exam may reveal an enlarged and tender uterus. An ultrasound can allow a doctor to see the uterus, its lining, and its muscular wall. Though ultrasound cannot definitively diagnose adenomyosis, it can help to rule out other conditions with similar symptoms.

Another technique sometimes used to help evaluate the symptoms associated with adenomyosis is sonohysterography. In sonohysterography, saline solution is injected through a tiny tube into the uterus as an ultrasound is given.
MRI -- magnetic resonance imaging -- can be used to confirm a diagnosis of adenomyosis in women with abnormal uterine bleeding.
Because the symptoms are so similar, adenomyosis is often misdiagnosed as
uterine fibroids. However, the two conditions are not the same. While fibroids are benign tumors growing in or on the uterine wall, adenomyosis is less of a defined mass of cells within the uterine wall. An accurate diagnosis is key in choosing the right treatment.

How Is Adenomyosis Treated?

Treatment for adenomyosis depends in part on your symptoms, their severity, and whether you have completed childbearing. Mild symptoms may be treated with over-the-counter pain
medications and the use of a heating pad to ease cramps.

Anti-inflammatory medications . Your doctor may prescribe nonsteroidal anti-inflammatory drugs ( NSAIDs ) to relieve mild pain associated with adenomyosis. NSAIDs are usually started one to two days before the beginning of your period and continued through the first few of days of your period.

Hormone therapy . Symptoms such as heavy or painful periods can be controlled with hormonal therapies such as a levonorgestrel-releasing IUD (which is inserted into the uterus), aromatase inhibitors, and GnRH analogs.
Uterine artery embolization. In this minimally invasive procedure, which is commonly used to help shrink fibroids, tiny particles are used to block the
blood vessels that provide blood flow to the adenomyosis. The particles are guided through a tiny tube inserted into the vagina through the cervix . With blood supply cut off, the adenomyosis shrinks.

Endometrial ablation. This minimally invasive procedure destroys the lining of the uterus. Endometrial ablation has been found to be effective in relieving symptoms in some patients when adenomyosis hasn't penetrated deeply into the muscle wall of the uterus.

Does Adenomyosis Cause Infertility?
Because many women who have adenomyosis also have endometriosis , it is difficult to tell precisely what role adenomyosis may play in fertility problems. However, some studies have shown that adenomyosis may contribute to infertility .

Can Adenomyosis Be Cured?
The only definitive cure for adenomyosis is a hysterectomy, or the removal of the uterus. This is often the treatment of choice for women with significant symptoms.
 

Angry Bird

JF-Expert Member
May 3, 2016
514
500
Kama anayeugua huu ugonjwa amefika miaka 40 na amemaliza kupata watoto ni afadhali atoe kizazi. Ni maisha ya mateso, maumivu na tabu kubwa. Binamu yangu alikuwa na shida hii kwa muda wa kama miaka mitatu. Kila mwezi alikosa kwenda kibaruani kwa siku mbili. Alifanya maamuzi magumu akatoa kizazi.
 

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
36,425
2,000
Kama anayeugua huu ugonjwa amefika miaka 40 na amemaliza kupata watoto ni afadhali atoe kizazi. Ni maisha ya mateso, maumivu na tabu kubwa. Binamu yangu alikuwa na shida hii kwa muda wa kama miaka mitatu. Kila mwezi alikosa kwenda kibaruani kwa siku mbili. Alifanya maamuzi magumu akatoa kizazi.
Hiyo ndio tiba mbadala, nimeielezea kwenye aya ya mwisho hapo kwenye post yangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom