Kutoruhusu madaktari katika uwanja
wa lishe, haja ya kushughulikia watoto
na wanawake wajawazito na
wanaonyonyesha ya matunda ya
apricot kuimarisha mifupa na tishu, na
kuepuka...
Habari,
Wadau nasumbuliwa na masikio, naomba mnisaidie namna ya kumpata daktari bingwa wa ENT kwa hapa dar, yupo hospitali gani, iko wapi n.k.
Nashukuru kwa msaada wenu.
Wadau nisaidieni, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu inabidi mimba ya kama miezi 2 itolewe.
je ninjia gani sahihi ya kufanya hii kitu?.
je hapa tz inaruhusiwa kisheria, na ni hospitali...
Nimejaribu kuchunguza tube nyingi za dawa ya meno inayoitwa Whitedent za ujazo mbalimbali nimegundua kuna tatizo kubwa la kuonyesha muda sahihi wa bidhaa hiyo kuendelea kuwepo sokoni na kufaa kwa...
MOJA ya vyanzo vinavyolipatia taifa mapato kupitia makusanyo ya kodi ni pombe.
Lakini pamoja na faida zote tunazozipata, ukweli unabaki palepale kwamba pombe ina athari katika maisha ya binadamu...
Plastics Cancer Link Email - Freezing Plastic Bottles - Plastics In the Microwave or Car
Summary:
Email claims that freezing water or microwaving food in plastic containers or plastic wrap can...
*Utamu wake wamithilishwa na asali
*Miti yake yadaiwa kutibu malaria
*Magamba yake ni mbolea maridhawa
Na Jacob Malihoja
RUVUMA ni mkoa uliojaliwa neema nyingi. Una aina mbalimbali za madini...
TABIA 10 HATARI KWA UBONGO NA MAINI YAKO
Saikolojia na maisha Hapa najaribu kukuchambulia baadhi ya tabia zetu ambazo wengi huzifanya pasipo kuyajua madhara yake na kujikuta zikituharibia ama...
Matatizo ya kiafya katika kibofu cha mkojo yamekuwa
mengi hivi sasa, hasa kwa wanaume wenye umri kuanzia
miaka 50. Kazi kubwa ya kibofu ni kusaidia ukuaji wa
mbegu za kiume, kama kibofu...
Heshima nyingi nawapeni Wadau wangu,nashukuru maana ndani ya Jamvi hili nimepata kuelimika kwa mengi, na napenda kuwapa hongera kwa kuendelea kulisongesha gurudumu, kwa leo napenda wadau mnipe...
Toss: Sneakers
If you had: Athlete's foot.
Most gym shoes can be sanitized in the wash, but if you've had recurring bouts, give them the boot. Fungus can survive a long time in dark, moist...
Yakhe mie yamenikuta yasiyotakiwa kunikuta mie!
Yapata miezi mitatu nimejikuta titi langu la kushoto limetuna na lina kama tudude tumetunatuna na ukilikamua linatoa maji maji japokuwa kwa sasa...
How to Keep Teeth White Naturally
There are many effective methods of teeth whitening available, but some come with heavy price tags. Here are some steps you can take at home to whiten teeth...
Sehemu ya mfululizo wa makala kuhusu Mapendo
Moyo ni mchoro wa mapokeo ya
Ulaya unaowakilisha mapendo. Vipengele Msingi Mapendo kadiri ya sayansi Mapendo kadiri ya utamaduni...
Elimunafsia (pia: saikolojia kutoka Kigiriki ψυχολογία psikhologia) ni fani ya elimu jamii inayolenga kujua nafsi ya binadamu ili kurahisisha ukomavu...
Kifua kikuu au TB ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na vimelea viitwavyo Mycobacterium tuberculosis.
Yaliyomo
1 Kuna aina mbili za Kifua kikuu(TB)
2 Chanzo cha Maambukizi ya...
Wana JF,
Naomba mnisaidie tatizo hili linalonisumbua sana maishani.
Mwanangu ana umri wa miaka 5 na nusu.Na alizaliwa bila tatizo na kwa njia ya kawaida.
Ni msichana.
Tatizo lake kubwa alilonalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.