Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

We used to sleep on bed mattresses made of more or less natural untreated stuff. But now, they tell you that you ain't cool, man, if you do not have a visco-elastic polyurethane foam (also...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
:spider:For the past decade, there has been a fairly constant stream of nightly local news features on how cell phones might cause brain tumors or baldness or straight up sterility, but the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAGONJWA yasiyo ya kuambukizwa, ambayo wanasayansi wameyaweka kwenye kundi la magonjwa kujitakia kwa binadamu, yamebainika kuwa ndiyo yanayoongoza kwa kusababisha vifo vingi katika nchi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii video inatukumbusha Kwa nini wanawake waliojifungua wanatakiwa kuheshimiwa Kuwa sio wataalamu wote wanatoka ulaya wanakuja kujitolea kama wanavyodai. wengine wanakuja kufanya practical za...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanaharakati na wadau wa masuala ya kupambana na Ukimwi, Malaria na Kifua Kikuu wametoa wito kwa serikali na wadau wengine kote duniani kutoa ahadi kwa hiari za kuchangia fedha zisizo pungua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KUNA wasiwasi mkubwa wa kuibuka kwa ugonjwa wa polio, ambao husababisha kupooza, baada ya ugonjwa huo kugundulika kwenye nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, serikali imeeleza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
THE GOOD, THE BAD AND THE UGLY SIDES OF MASTURBATION! Devil’s advocates have been trigger-happy to promote masturbation as a good thing to have happened to a human body! Instant sexual...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Madakatari; Wakati tukiwa wadogo na tunaendelea kukua tulikuwa tukiambiwa kuwa baada kujisaidia ni muhimu sana kuchughulia uone kinyesi chako kilivyo. Ukiona kinaelea ujue huna matatizo na tumbo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani neno "virusi" limeingia katika lugha. Wengi huandika "Virusi vya UKIMWI", "virusi vya kompyuta". Lakini hii ina matata. Nimeshaona watu wanaoandika "virusi vya kompyuta ni hatari; wiki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
When I was growing up, I spent a lot of time with slabs of meat on my face. As kids, my brother Eric and I fought like wild animals. He still sports a scar above his lip from a cut I...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jakaya Mrisho Kikwete Burhani Yakub, Tanga SERIKALI imesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo, Serikali yake itaelekeza nguvu zake kupambana na tatizo la kansa ya shingo ya kizazi ili...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Bugiri A three-month-old baby has died from suspected jiggers’ infestation in Mufumi village in Nankoma Sub- county, Bugiri District. Nine others, including six members from the baby’s...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
This is amazing, he died of pancreatic cancer in 2008, but wrote a book 'The last lecture" before then, one of the bestsellers in 2007. What a legacy to leave behind. In a letter to his wife Jai...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina mtoo wa mwaka mmja amekuwa akisumbuliwa na pneumonia kila baada ya wiki mbili.Najitahidi kumvalisha nguo nzito kukiwa na baridi kakini haisaidii.Amechomwa X-pen mpaka ****** yamekakamaa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Young Black women are significantly more likely to self-harm than people from other ethnic groups, according to new research. People from Black and minority ethnic groups are also less likely...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenzenu ninatatizwa na maelekezo yanayotelewa na wafamasia au wauzaji ktk maduka ya dawa sehemu mbalimbali na hasa hizi famasi zilizo nje ya mji. Ukifanikiwa kusoma maelekezo katika box la chupa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi ni kipindi gani kiafya kwa pande mbili kinafaa kizingatiwe kwa wenza kukutana baada ya mama kujifunguawengine wanasema miezi mitatu,wenginer siku 40 nini hasa muda mzuri kiafya siyo kiustarrabu
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Waungwana kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza na kutopata jibu. Leo hii naomba mnisaidie jibu. Mara kwa mara nisomapo habari kuhusu ubakaji (siyo kuwa nashabikia vitendo hivyo) waandishi...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Cerebral malaria may have passed from gorillas to us By Katie Alcock Science reporter, BBC News Humans may have originally caught malaria from gorillas, scientists say. Until now, it was...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cancer Fighting Foods/Spices The National Cancer Institute estimates that roughly one-third of all cancer deaths may be diet related. What you eat can hurt you, but it can...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom