Je ni kweli?

Sina majibu ya kitaalam lakini kuna watu wameathirika kisaikolojia kwa kutofanya tendo la ndoa. NKuna jamaa yangu alikutana na dada mmoja nchini China, alikuwa anajibu kwa ukali sana kila akimuuliza swali baadae akabadili upepo na kuongelea mambo ya mapenzi. Yule dada alikataa kumsikiliza mwanzoni lakini baade akawa mchangiaji mkubwa sana na ndipo alipomuuliza jamaa yangu kama ni raha kufanya mapenzi. Alikuwa na miaka 31 lakini hajawahi kufanya tendo la ndoa. Jamaa yangu alihisi kuwa tatizo lake liko hapo ndo maana anajibu kwa ukali,....... baada ya dozi ya kibongo ya wiki moja yule dada alibadilika sana ......... Akawa muungwana na mstaarabu sana............nadhani hayo ndo madhara.
 
Kwa ndume hakuna madhara, kwa jike anaweza akapoteza uwezo wa kufikiri kimaantiki.
 
Makusudio ya ( ngono) kwa wale waliowa lakini sio zinaa Ni hivi Mambo Matatu

(1) kuhifadhi nasaba (kufanya ukoo uendelee)

(2) Ktoa Maji amabayo yanadhuru kuyazuwiya katika mwili tu yakawa huyatoi.

(3) Kukidhi Matamanio, na kupata Ladha ya jimai (Ngono)

Mambo hayo matatu ndio Makusudio hasa ya ngono. Ama Ma Dokta wanaona kwamba ngono ni mojawapo ya sababu za kuhifadhi Afya ya Mtu. Mtu akizuwiya kutowa Manii kwa kutofanya Ngono muda mrefu sana wa kudumu humzushia Mtu Maradhi mabaya, mfano kama wasiwasi,Wazimu,na Maradhi mengineyo.

Kwa hivyo yatakiwa Mtu ajilazimishe Mambo Matatu.
(1) Asiache Mwendo awe anatembea tembea kila siku.
(2)Asiache Kula chakula ili chango zake zisifungane Tumboni.
(3)Asiache Ngono kwa mke wake, Kwani Kisima kisichotekwa maji yake, maji hupotea yakawa hayatoki tena.
 
Mkuu nimekugongea asante!
 
Nadhani ufafanuzi mzuri umetolewa labda cha kuongezea tu, huyo aliye katika umri wa kufanya ngono lakini hafanyi ni kwa ridhaa yake ( kaamua kukaa hivyo kama mapadri) au unashindwa kumpata mwenza kutokana na sababu moja au nyingi! kama ni sababu ya pili, nadhani anaweza athirika kisaikolojia kwa kiasi flani
 
Back
Top Bottom