Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Matumizi ya miti shamba na tiba za kienyeji yameongezeka sana. Kwa kawaida, watu hutumia tiba hizi kwa magonjwa ya kudumu ambayo dawa za kawaida zimeshindwa kutibu. Watu pia huzitumia kwa ajili...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Tuberculosis rates highest in 30 years (Reporting by Kate Kelland; Editing by Steve Addison) Cases of tuberculosis in Britain reached their highest level for 30 years in 2009 with 9,040 cases...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu maboga yamekuwa yanajulikana kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kutumika kama dawa, vilevile chakula hicho kina protini yenye nguvu ambayo inaweza kupambana na magonjwa mbalimbali...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
UFAHAMU WA UKIMWI NA MBINU ZA KUJIKINGA KWA MTAZAMO WA KIISLAMU IMETAYARISHWA NA: SHEIKH MUHAMED SULEIMAN AL-TIWANY IMAMU WA MSIKITI WA IBADHI SOKONI CHAKE-CHAKE PEMBA. YALIYOMO Utangulizi...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
tiba inayopatikana katika Kitunguumaji Kitunguumaji ni aina ya mboga ya yungiyungi. Ni mboga yenye harufu kali inayochangamsha. Anaeikitumia kitunguu maji ajihadhari kukitumia baada ya...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Wanajamii, naomba mnisaidie kama kuna mtu anafaham wapi ninaweza kupata tiba au tiba ya hili tatizo mama yangu akitembea, visigino umuuma, na akikaa vinauma kwa ku''pwita", alikwenda hospital...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
The colder weather is beckoning us back to our kitchens. Break out the spices to bring warmth, robust flavor, and a bounty of health benefits, including higher energy, increased immunity, and...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa nakula chakula kidogo sana matokeo yake sinenepi, kama unanijua uwezi kunitofausha wakati nipo shule na sasa ninavyofanya kazi naomba kusaidiwa mawazo.
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Alcohol 'More Dangerous than Heroin' Alcohol is more dangerous than illegal drugs like heroin, ecstasy and crack cocaine, according to a new study. Researchers rated alcohol the most dangerous...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ki ukweli nimetamani kutoa pongez kwa menejiment kufuatia uwepo wa forum hii ambapo wajumbe wenyewe tuna-share knowledge and experience
0 Reactions
1 Replies
1K Views
What I am fond of concerning fitness centers usa habit is that it is speedy but not trouble-free, for persons of us who don't boast tons of instant to pay out going to the gymnasium. This is an...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Experts Target The Source Of Human Worry Scientists have for the first time pinpointed the "worry centre" of the brain in a discovery that could lead to new, more effective treatments for...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Wapendwa nana JF; Nakumbuka mwaka jana au juzi Morogoro mjini kulitokea varangati kubwa sana baina ya wazazi na walimu wa shule za msingi baada ya watoto kupewa dawa za kichocho na wengine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ource: Yahoofriends A professor at CCNY for a physiological psych class told his class about bananas. He said the expression "going bananas" is from the effects of bananas on the brain...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza nawaombarazi kwakua hapa simahala pake lakini naimani kuwa wengi hupitia sana hapa Nduguzangu mimi na mwanangu huwa anasumbuliwa na kifua kwa muda mref juzi hopitali wamegundua kuwa ana...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
wanajamii nawasalim wote kwa ujumla nikiwa naimani tumejaliwa kuiona siku hii nyingine tena, jamani mie nakabiliwa na tatizo la kutokwa na vipele mara baada ya kunyoa ndevu na hata studio pia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Za leo wandungu, jamani naombeni mnisaidie mimi na kitu shingoni kimevimba na natakiwa kufanyiwa operation. Ila kila mda ukifika na cancel nakuweka tarehe nyingine. Shida yangu kuu ni kuogopa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Heshima Kwenu! Imetokea (kwa mujibu wa daktari) kwamba miscarriage inapotekea haswa kwa mimba za umri wa chini ya miezi 3 lazima asafishwe.Naomba kufahamishwa je, Mosi, Inawezekana kusafishwa...
0 Reactions
1 Replies
23K Views
Wadau naomba mwenye kujua matatizo ama dalili kuwa kimeo(tule tudude tunaokaa juu ya ulimi na karibu na koo) kwamba kinahitajika kukatwa ni nini!namishukuru wadau kwa msaada wenu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu nina tatizo la meno kushindwa kula vitu vya baridi au vya moto. Nimejaribu kutumia sensodyne za aina nyingi, Aloe, whitedent harbour sijui,,lakini sina afadhali, kwani ninapotumia na kuwa...
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Back
Top Bottom