Naombeni Msaada wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni Msaada wenu

Discussion in 'JF Doctor' started by Yusuph Salehe, Nov 14, 2010.

 1. Y

  Yusuph Salehe Member

  #1
  Nov 14, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rafiki yangu anatatizo la kupiga punyeto yaani anadai hayawezi kupita masaa sita hajapiga punyeto naombeni ushauri nimuambie madhara yake, na afanye nini kuepukana na tatizo hilo. Ahsante
   
 2. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  shauri yake mkono ukipinda
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  1) Madhara ya kupiga Punyeto kutakuletea Madhara baadae kama Kutokuja kufurahia Tendo la ndoa na Mpenzi wako. Hamu ya kufanya mapenzi itapungua halafu Unaweza kutochukua muda Mrefu kufanya mapenzi shahawa zako kutoka kwa haraka (Premature ejaculation)

  2) Ata perfomance kiusomaji itashuka kwani kuendelea kupiga Punyeto kunaharibu mtu Kisaikolojia.

  3) Maradhi ni rahisi kukupata kama Kansa ya Korodani (prostate cancer) kwani unakua unaingiza idadi kubwa ya vitu visivvo hitajika katika uume (carcinogens).


  Punyeto
  Ni nini?
  Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.
  Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine.
  Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi kama utatumia njia mbali mbali za kujitomosa na kujipa papasa ya kujistarehesha.
  Hakuna mtu anayezaliwa akijua jinsi mwili wake unavyoitikia msisimko wa kimapenzi. Inakubidi kujifunza kwa majaribio salama.
  Na, kwa vile kila mtu yuko tofauti, njia nyengine ya kujua jinsi unavyoweza kumstarehesha mpenzi wako, ni kujifunza kutoka kwako mwenyewe.

  Shughulika zaidi na sehemu ambazo zinasisimka kwa urahisi.

  Unaweza kufikia kilele cha starehe yako kwa kuitomasa tomasa **** au kisimi, lakini kutakupa hamu kubwa na ashiki, na kufikia kutoshelezwa vya kutosha, kama utapapasa pia sehemu nyenginezo za mwili wako.

  Kwa nini punyeto huonekana kuwa makosa?

  Msimamo wa dini nyingi na watu wengi ni kuwa punyeto ni dhambi, mwiko, jambo lililokatazwa, jambo lisilokubalika kabisa.
  Lakini wanasanyansi wanasema ni jambo salama kiafya na dhana zilizopo kulihusu, ni imani za kibinafsi na chaguo la mtu.
  Wanaume wengi na wanawake hupiga punyeto maishani mwao, kwa sababu huwafanya wakajisikia vizuri na huondoa dhiki za mihemko ya kimapenzi bila kujiingiza katika ngono na mtu mwengine.
  Pia hofu ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ikiwemo virusi vya HIV ni kichocheo tosha kinachopelekea baadhi ya watu kupiga punyeto.
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  nimekukubali Doc. hapa nimejifunza mengi, nitaenda kuelimisha rika, nawajuwa wengi sana wenye hili tatizo
   
Loading...